Mama mkwe na mke wangu

Mama mkwe na mke wangu

nadhani huyo shemeji yetu hakulelewa na single mom tena mwenye frustration.

hahahahahaha, wanawake design hiyo mkitofautiana kidogo tu huyo anabeba mizigo kurudi kwa mama yake nyumbani....hawana uwezo hata kidogo wa kukabili changamoto za maisha....
 
inaelekea ww ni mpya kabisaa kwny ndoa hata mtoto hamjazaa bado hujui ndoa changamoto zake

Aaa, ukiangalia toka mada yangu ilipoanza na namna umekuwa ukija na hoja zako na the way nakujibu, na unavojibiwa na wengine, nadhani huhitaji mtu wa tatu kukwambia kwamba ww ndo mgeni na maisha hayo, infact haujawahi ishi na mwanamke hata mwezi mmoja!!!

so, let the grown ups talk while you listern and get experience, coz you never know what tomorrow might bring!!!

Na kwamba hata mtoto hatujapata,,, !! For your information, mwezi wa kumi na mbili mwishoni nimeenda Habib bank kulipa school fee ya mtoto wetu!
 
niko ndan ya ndoa miaka 6 sasa utaniambia nn tatzo dogo unalileta hapa bado hujakutana nayo bado utaanzisha nyuzi daily za mkeo hapa
 
niko ndan ya ndoa miaka 6 sasa utaniambia nn tatzo dogo unalileta hapa bado hujakutana nayo bado utaanzisha nyuzi daily za mkeo hapa

Daah!!! 6Yrs!!!! Ndo unakuwa na maoni na mawazo hayo!!!?
anyway, ukubwa na udogo wa tatizo ambalo siyo physical unalipima vp?? Soma maoni ya watu wengine pia then ujione kama ulinielewa from the very beginning!!

na inategemea na vipaumbele vyako na plan yako na katiba yako ktk serikali yako (yaani familia yako) ndiyo utaweza kuona jambo gani linakuwa tatizo ktk ndoa yako!

As for me that is a very big obstacle ktk kuifanya nyumba yangu Paradise!!
 
poa labda kwako ni tatzo ila mm sijaona kama kuna ttzo lolote ikiwa hamna shuruti zozote za ndoa zilizovunjwa au kutokea kwa utovu wa nidhamu sioni km ni tataizo km natekelezewa yote yanayostahiki kuwa na ushoga na mama yake ni bora zaidi
 
Usichoke, inawezekana ni mahusiano waliyokuwa nayo hata kabla hujamuoa. Unajua wengine ndio wale wanaoitwa mtoto wa mama au baba, yaani anapendwa mno na mzazi naye anampenda mno mzazi wake kiasi kwamba wanakuwa zaidi marafiki kuliko mzazi na mwanae kiushauri, kumliwaza pale anapokwazwa, n.k. n.k. Mahusiano ya hivyo hayawezi kuvunjika katika kipindi kifupi. Je ndiye binti wa kwanza kuzaliwa kwa mama yake? Anao ndugu wengine nyumbani? Nenda naye taratibu, atabadilika.
 
Nikwambie kitu!
PIGA QAAZ,baaaaas uanaume wa mwanaume wa ndo upo hapo bila kusahau
KIDHI MAHITAJI YAKE KIUCHUMI.
kupo mahali unapwaya kiume!no offense!
 
af mkeo hajui matokeo ya wewe kujiskia hiv maskin!!!
nakuelewa sana ujue!
wanawake tumeshazizpea hix kwa waume na mama zao!
 
Inawezekana Hana la kuongea zaidi nawe kuliko Mamaye jaribu kujenga mawasiliano ya kirafiki na ku share life matters then atahamia Kwako.Kimsingi huna jipya kama Mume
 
Cha muhimu hapo kama umepanga hama,nenda kaishi mbali kidogo na mkweo hizo route za kumfanya mpaka achelewe kurudi zitapungua sana
 
Bimkubwa midfielder kisheti anatoa huku anapokelea pale mara katanua uwanja.
 
Mimi sidhani kama kupigiana simu ni ishu sana. Ishu hapa ni kuelewa na kutambua jinsi ya kuwapa wote mda wao. Kila kitu na wakati wake ba mahala pale.

Lakini pia, kadri mnavyoongea kila dakika ndivyo mnavyoshawishika kuambiana umbea ambao huenda hata mambo ya siri ya chumbani unamwambia mama, which is bad of course.
Nadhani kila mmoja na maelze yake alolelewa kwa lakini mie kwanza naanzia wapi? Mzazi wangu NAMPENDA SANAAAA hasa Mama, na inshallah nionge nae hata mara 100 kwa siku bado ntakua na hamu nae lakini akiwepo mumewangu nyumbani mda wake anapata na hata mkwe wangu akija kwangu anakua na mwanawe sikufichi sichukii kua eti mbona mda mwingi wanaongea? tena mie ndio namwambia toka na mama wendenae mkatembe na mulize kama kuna chochote hajafurahia ili nijirekebishe sio kwa lolote nataka watoke peke yao ili yule mama afurahi staki ahisi kua mtoto wake ameoa na hana time nae...............
 
Ni mama yake sawa, na ni mama yangu kwasababu ni mkwe wangu na nampenda kweli! She is nice.
Sasa tatizo nikwamba ni marafiki wa mnoo na binti yake, I think she is the one who makes my wife happy kulikoni mimi, ni mama yake sawa lakini mie ni mume wake.

Nadhani mama ana nafasi kubwa katika maisha yake kuliko mimi.

Simu wanapigiana hata mara nne kwa siku inaniboa.

She is too close hadi najisikia kama hatujakua coz as if she is watching over us.

Ikumbukwe kwamba kikwetu so long as nimeoa, jina la mwishoni la mke wangu linakuwa langu.

Na mwenzangu anaonekana yupo happy, anaona kawaida na ukaribu huo, yaani hakuna tofauti na alipokuwa nyumbani na sasa alipoolewa.

Na mie nataka that independent family.

Nahisi kuchoka

Ndoa siyo jela ndugu yangu even if she is married to u, u don't have right to choose friends for her. Hapa ndo wengi wanapokosea just be thankful kwamba she gets that satisfaction from her mama. It is common to most marriages but kept under carpet kwa sababu za uwoga.
 
Ni mama yake sawa, na ni mama yangu kwasababu ni mkwe wangu na nampenda kweli! She is nice.
Sasa tatizo nikwamba ni marafiki wa mnoo na binti yake, I think she is the one who makes my wife happy kulikoni mimi, ni mama yake sawa lakini mie ni mume wake.

Nadhani mama ana nafasi kubwa katika maisha yake kuliko mimi.

Simu wanapigiana hata mara nne kwa siku inaniboa.

She is too close hadi najisikia kama hatujakua coz as if she is watching over us.

Ikumbukwe kwamba kikwetu so long as nimeoa, jina la mwishoni la mke wangu linakuwa langu.

Na mwenzangu anaonekana yupo happy, anaona kawaida na ukaribu huo, yaani hakuna tofauti na alipokuwa nyumbani na sasa alipoolewa.

Na mie nataka that independent family.

Nahisi kuchoka

Hujagusia tabia za mama mkwe wako. Kama tabia zake ni positive, hamna tatizo!
Lakini kama hakifanyiki kitu mpaka apate ushauri wa mama yake, hapo kuna tatizo kubwa.
 
Ayaya kuolewa ntarudi nyumban kutembea, msemo huu una maana yake hao wanaokwambia n kawaida kesho yakikukuta ndo Wa kwanza kucheka. Kifupi bro hapo kuna tatizo bora angekuwa anapiga misele kwenu au mjulishe mke anatakiwa hata kwenda kwako apate ruhusa sio amaamka tu oo naenda kwetu
 
.....huwezi tenganisha binti na mama yake, wewe utabaki mume na yule atabaki kuwa mama yake.

Mie mwenyewe mtoto wa mama hata nikiuzika nikiongea na mama naona nafarijika na kuwa na furaha.

Huyo mkeo ana bond nzuri na mama yake. Kama unapata haki yako kama mume ya tosha, mwache mkeo afurahi na mama yake.

Poor advice
 
Nahisi mawasiliano katika ndoa yenu siyo mzuri! Yaani wote ama mmoja wenu hayupo open kwa mwenzake!!
 
Me sijui maisha ya ndoa. ..but kiuhalisia nahisi iyo nyumba ya wife wako broh haina mzee...coz ni wazee wachache wenye busara wanaweza kukaa na mke wa mtu hadi saa tatu na sio kwa mara moja.... ila na wewe unatakiwa ujitathimini kwani tunaweza piga kelele kumbe wewe ndo chanzo cha hayo yote...
Wanaotoa comment zisizoeleweka achana nao nashindwa kuelewa ni hisia zinawatawala au labda wajui ndoa ni nini au ndo ile kuna watu hata wafanyiwe nini kazi yao kuponda kujifanya wanajua kuongea pumba kubishabisha
 
kwa mm hta aongee mara mia lkn akija kwangu vitu ntakavompa atasahau muda huo km kuna mama ndo ibidi ufanye hvo mpk ukiondoka ukienda kazini aende kwa mama yke

Acha mbwembwe wewee...unajua ku.to.mba wewe au unajitia makelele tu?...kigezo gani kimekufanya ujionr unajua ku.t.o.mba zaidi ya wanaume wote hapa?

Ni kitu relative sana mzee...na k.u.m.a huwezi ikomoa...

Na hii kumdharau mwenzio kana kwamba hajui kum.t.i.a mke wake sio sahihi...kama msichana hakufeel hata ung'oe k hakufeel tu.

Ongelea jinsi ya kumsaidia sio unajitapa
 
Wayward man pees in mother-in-law's grave during burial to settle scores.

Revenge, it is said, is best served cold. That is exactly what a man did to his dead mother-in-law a week ago in Gakambura village in Embu East County. The middle-aged man, only identified as Gatwe, in drunken stupor, shocked villagers when he decided to settle scores with his late mother-in-law in style; he lowered his trousers, whipped out his ‘willy' and directed jets of urine into her grave, leaving everyone outraged.

According to locals, the drunk man had been complaining to his friends at drinking dens about his overbearing mother-in-law. He is said to have expressed his hate for the old woman to his friends, claiming he dislikes her because of her strictness and that she controls his family. When the old woman passed on, the wayward man is said to have sold two goats and deposited the proceeds to a local brewer, where he ‘celebrated' the death by drinking himself silly - daily till her burial. During the day of the burial, instead of participating in the communal digging of the grave, the man's only contribution is said to have come in as free booze to those doing the job. When one of the grave diggers questioned his generosity and the abundant beer he was offering, Gatwe laid bare the long-held hatred he had for his mother-in-law.
"Drink my good friend, ours is not a house of hunger. I am little by little telling the good angels above a big thank you for hearing my prayer by taking away this woman and reinstating my rule of law as the head of this family," said Gatua, rather coldly at the shock of grave diggers and other present members of his family. It was in that moment that Gatua lost his mind and began saying unsavory things about the deceased. "Make the grave even deeper, so that she is deep and far from us and doesn't hear a thing including the last trumpet, he said. However, it was at that juncture that the family elders intervened, stopped the merry, and led Gatwe away.

Shock and embarrassment
During burial time, all had been well, complete with a church service up until Gatwe arrived from the watering hole. He staggered to the grave site, and apart from him singing off key at the top of his voice, there was nothing else to betray his ill intentions. He insisted that he must be one of the pall bearers, a wish he was granted. Unknown to many, he wanted to have a chance to position himself strategically so as to serve his mother-in-law the icy revenge by giving her what some called a ‘warm send-off'.

And just after the priest said the last ‘ashes to ashes' prayer and it was time to fill the grave, poop hit the fun with Gatwe peeing in the grave, leaving everyone in shock and embarrassment. Efforts to stop him hit a snag because when anyone tried to restrain him, he directed the pee in their direction. It was after he ran out of urine that villagers restrained and whisked him away. Those present condemned the act, and called for Gatwe's cleansing, lest the entire village is visited by bad omen from the deceased curse.
 
Back
Top Bottom