kukumega
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 1,134
- 485
Nashukuru kwa michango,
Nikiangalia saa saizi ni saa tatu na dk saba, ndo ametoka kuingia siyo muda mrefu , kutoka wapi? Kwa mama!!!!!,
Tulikubaliana anaenda kuna mgonjwa anaenda kumtazama pale home, ni kweli. tumewasiliana vzr hadi mida ya saa nane mchana, saa kumi na moja namchek hapatikani mama hapatikani mdogowake anapatikana akanipa niongee nae, ananambia umeme umekatika na simu hazikuwa na chaji, unaondoka saa ngapi, ooh mume wangu nitachelewa coz kuna tatizo mama kapata, aah mbona hukunambia mapema, aah kupitiwaaaa!! Kimasikhara kama tunataniana!! Na.siyo mara ya kwanza hii late coming kutoka home kwa mama!!! Huyu ni mke wangu!! Sasa kwann asimshauri kwamba mwambie mumeo kwamba kuna tatizo coz inaonekana halijatokea ghafla halafu siambiwi ni tatizo gani'!!
Wananiona mi ni easy taker au vp????!!!!
Aah Mamdenyi, ndo mnavoshauriana na mama zetu wakwe hivo!!!!!?
Daa! Pole sana Mkuu hii inaumiza sana. Na ukute kwa wakwe zake hata kuwajulia hali haja wahi.