Mama mkwe na mke wangu

Mama mkwe na mke wangu

kwa mm hta aongee mara mia lkn akija kwangu vitu ntakavompa atasahau muda huo km kuna mama ndo ibidi ufanye hvo mpk ukiondoka ukienda kazini aende kwa mama yke
 
kaka sote tumeoa, wakwe hawaingilii maisha yang. wanaheshimu. na namwambia mke wangu. ```wewe umeolewa`` basi usiiweke usiku, pole pole ongea nae ajue anatakiwa ajue wewe n kiongoz.




mke wangu mm hana ujanja, namliki. lkn si kwamba hali shwari noooo. Natakiwa nisome kla mara namna ya kupata mbinu.

she is bloody wife

mtu kuongea na mama yake kila saa nikuingiliwa ndoa?hivi ndoa kuingiliwa ndo maana yake ni hii?
 
ungekua unaambiwa baby leo mama amenizuia nilale kwake hpo sawa
 
na ww usiongee na mama yko wala usiende kwa mama yko unajua ukitoa amri sio ifatwe upande mmoja inafatwa na wote wawili
 
mtu kuongea na mama yake kila saa nikuingiliwa ndoa?hivi ndoa kuingiliwa ndo maana yake ni hii?

Umeoa? We ni mwanaume?
Umesoma na kuelewa vzr kabisa nilichokiandika na umeelewa hata yale ambayo nime imply ktk maelezo yangu??

kama ni ndiyo, basi ww ni sawa na baadhi ya wanaume wanaooa na kukubali kwenda kuishi under the same roof na wazazi wa mke wake yaani wakwe zake!! Na ukawa confortable kabisaaa!!

Sasa ww huwezi kuelewa , coz you are not my type, you are not in my shoes!! Piga kimyaaaaa
 
zaa hlf ujue huo ukaribu una maana gani?wivu tu unaokusumbua mtu kuwa karibu na mama yake ndo inakuaje kwani?umemnunua mzima mzima?hebu ondoa fikra potofu
Pole! Huwaelewi wala huwajui binadamu wewe.
 
km unataka akudekee ww piga mashine sawasawa sio mchezo mchezo

Daaah wee jamaaa ndicho unachowaza hicho kwani ameoa kwa ajili hiyo tu mbona k.u.m.a zipo kibao mtaani.hata me kwa upande mmoja nipo na mtoa mada namwonea huruma sana wanawake nenda nao kwa ujanja usikariri
 
na ww usiongee na mama yko wala usiende kwa mama yko unajua ukitoa amri sio ifatwe upande mmoja inafatwa na wote wawili

Kabla sijaoa nilikuwa naongea na mama kila siku, at least haikuwa mara nyingi kwa siku but kila siku, aidha nipige au yy apige, ilikuwa kawaida yetu'!! Note that

Baada ya kuoa, mama alinambia "mwanangu umekua, na utakuwa na familia, unahitaji kutumia muda wako mwingi kuifikiria familia yako kwakuwa tayari hiyo ni familia inayohitaji plan na misingi yenu ila kwa uahauri mwanangu nipo"

Siyo kama simpigii mama simu au hanipigii simu, but kwasasa imepungua idadi, coz am no longer a crying baby calling my mam most of the time!!!!!

Sisemi na yy iwe hivo, hapana! but nataka tofauti iwepo kati ya wale wadogo zake na yeye!!

kuna mambo ambayo yapo ktk ndoa ya wakwe zangu ambayo siyataki kwangu yawepo, yaani sitaki familia yangu iwe image ya aidha familia ya wazazi wangu au wazazi wake!!!! nataka iwe ya kwetu peke yetu!!!!

sasa naona unakuja mara nyingi na hoja nyepesi, ndo maana nakuuliza hivi umeelewa hasa ninachozungumza? Umeoa? Kama umeoa si umeweka misingi ya familia yako unataka iweje?? Au ww vyovyote vile pouwaaa!!????
 
Ishi na mwanamke kiakili

sasa si bora awe close na mama yake kuliko apate shosti shangingi amuuunganishe na vibuzi?

jaribu kumnunulia mama mkwe zawadi umpe mkeo ampelekee uone utakavyo pendwa zaidi..........

anza na hiyo kwanza aliyokushauri THE BOSS pia jaribu kumsindikiza mara mojamoaja au kumfuata kwa mama kwa kigezo labda kuna sehemu munapitia au usiku sa hz na mzoeshe mama awe anakuja hapo kwako naamini utaona mabadiliko
 
ujue nashangaa sana wakuu yani mm nije nimuoe dada yako then nimpige marufuku mazoea na mamaake inaingia kweli akilin?huyo mkwe ndo kakutunzia leo hii marufuku ustuzingue kabisaaaaaa


Msome vizuri mtoa mada yeye anamalalamiko yake tena zaidi ya hayo anasema kuwa binti kuwa karibu na mama yake haoni shida,tatizo ni pale kumrudia usiku kila siku vizingizio mama yake anamatatizo yeye kama mumewe anakosa mda wa kuenjoy naye.je wajua pale kanisani wakati wa kufunga ndoa wanaambiwaje?? Mtoa mada hajafunguka zaidi hofu yake ipo je ni kweli mida hyo ya kurudi mkewe huwa anatoka kweli kwa mama yake? UKIONA MTU MZIMA ANALIA MBELE ZA WATU UJUE KUNA JAMBO
 
kwa mm hta aongee mara mia lkn akija kwangu vitu ntakavompa atasahau muda huo km kuna mama ndo ibidi ufanye hvo mpk ukiondoka ukienda kazini aende kwa mama yke

Nimejisumbua bure kujibu baadhi ya michango yako, kumbe ndo ulipoishia ufahamu wako ktk masuala ya familia!!!
Pole.
 
Hili suala linaumiza bana unaoa lkn mkeo masaa 24 ni mamaa,Mnapanga kitu pamoja then baadaye anamwambia mama yake,kupiga piga simu kila mara kwa mama, Sio poa hii.Mpe mumeo nafasi ya kwanza thn wengine later.

UKIONA MTU MZIMA ANALIA MBELE ZA WATU UJUE KUNA JAMBO ,poleeee sana mtoa mada nahisi unayo mengi ya kusema ila umeamua kuyaficha kulinda ndoa yenu
 
ukiamua kuelezea matatizo ya ndoa kwa watu usifiche madamu umeamua mwaga kila kitu ili usionekane ndo wale wale umeskia eeh?
 
inaelekea ww ni mpya kabisaa kwny ndoa hata mtoto hamjazaa bado hujui ndoa changamoto zake
 
Mimi sidhani kama kupigiana simu ni ishu sana. Ishu hapa ni kuelewa na kutambua jinsi ya kuwapa wote mda wao. Kila kitu na wakati wake ba mahala pale.

Lakini pia, kadri mnavyoongea kila dakika ndivyo mnavyoshawishika kuambiana umbea ambao huenda hata mambo ya siri ya chumbani unamwambia mama, which is bad of course.

Anyway labda tunatofutiana.Hivi unampigia mamako simu kwa siku ata mara kumi kila siku wanakua wanaongea nini .Kisemo chako na umbea utakuwepo.
 
mtoa mada anaomba ushauri. toa ushauri na sio fresh unaanza kwa kukandia ili ahamaki alaf unajifanya ndio unatoa ushauri na maneno ya kejeli. yaan akili zako hazifanyi kazi mpk zishinikizwe.

wakat mwingine ni bora ku seek advice kwa usiyemjua kabisa kuliko jamii unayofahamiana nayo.
 
Back
Top Bottom