Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

Habarini za usiku wapendwa

Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Tafuta hela mzee, atarudi
 
Kuwa na mtoto nae sio kigezo cha kuweza kuwasiliana nae. Anayejua mtoto wa nani ni mama mtoto usilazimishie mawasiliano kwa kigezo cha kuwa na mtoto nae.
Kama unahitaji kuwa nae mtafute yeye mwenyewe mana si ajabu huko mbele ukaambiwa wakati unajiona unaweka mimba wiki mbili nilikutana na rashidi ndio aloweka. Kuna siri kubwa mioyoni mwao.
Pia misemo haidanganyi..like a mother like a daughter..Tafuta hela na maisha yako ukiwa na pesa penzi linakuja huendi kuutafuta uso wake kwao, atakuja kujionyesha mwenyewe alikuwa wapi na maelezo kibao.

U single mother unaanzaga taratibu kama maumivu ya kichwa.
 
Pesa hazina uhusiano na suala la mimi kuhitaji ustawi bora kwa mtoto wangu wewe subili siku ukiwa na familia ndio utajua namaanisha nini kua uyaone
Naona post zako nyingi ni mtoto wangu mtoto wangu...kwenye hii dunia kuwa flexible man. Usijipe assuare kwa kila kitu. Jiandae kisaikolojia siku ukiambiwa sio wako usije ukatafuta force up
 
Mimi siko negative na sina mawazo negative kama wewe hivyo naamini kitu ninacho kiamini
 
Kuwa na mtoto nae sio kigezo cha kuweza kuwasiliana nae. Anayejua mtoto wa nani ni mama mtoto usilazimishie mawasiliano kwa kigezo cha kuwa na mtoto nae.
Kama unahitaji kuwa nae mtafute yeye mwenyewe mana si ajabu huko mbele ukaambiwa wakati unajiona unaweka mimba wiki mbili nilikutana na rashidi ndio aloweka. Kuna siri kubwa mioyoni mwao.
Pia misemo haidanganyi..like a mother like a daughter..Tafuta hela na maisha yako ukiwa na pesa penzi linakuja huendi kuutafuta uso wake kwao, atakuja kujionyesha mwenyewe alikuwa wapi na maelezo kibao.

U single mother unaanzaga taratibu kama maumivu ya kichwa.
Kwaio mkuu haitakiwi kabisa kufanya jitihada yoyote ile.
 
Mimi siko negative na sina mawazo negative kama wewe hivyo naamini kitu
Rule no. 1.
Never trust anybody. Hata we mwenyewe usijiamini pia. Mama ako mzazi anaweza kukukana au kukuficha taarifa fulaninkwa maslahi yake. Mke ndio kabisaaaa hutakiwa kumuamini. Kwakuwa hukuzaliwa nae na alikulia mazingira tofauti mkakutana ukubwan kujenga maisha.

Usijipe uhakika wa kitu kama vile we ndio ulibeba mimba.

Ulimwengu una mengi. TRUST ME.
 
Tatizo wewe unaamini kwenye kushindwa tu kwaio hatuwezi kua sawa mimi siko kama wewe be positive
 
Kwao nimeenda hayupo na kuna taarifa nimesikia kwamba ameenda nje ya mkoa japo sina uhakika nazo mimi mwenyewe nawaza nimpotezee kwasababu hataki mawasiliano labda siku akihitaji matumizi ya mtoto atanitafuta yeye mwenyewe
Una uhakika kuwa uyo mtoto ni wako kweli??
 
Habarini za usiku wapendwa

Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke wangu na wote hawatoi ushirikiano simu hawapokei wala kujibu sms yani ni kama hawataki mawasiliano kabisa na wakati tuna mtoto pamoja

Naomba msaada kwa mwenye uzoefu na mambo haya
Kaka pole kwa yaliyokukuta.

Consideration.
Ushauri huu ni unaohusiana na kama kosa lililomfanya aondoke ni lipi. Kama ulifumaniwa huu ushauri haukuhusu kuwa king'ang'anizi mpk arudi ila km n kupishana mambo mengine basi soma hapa......!

kwa vile umeshatumia busara sana mpk kwenda kwao mwanamke mama ake akamtorosha manake yeye na mwanao inaonesha yafuatayo.
1. Wamekuzoea sana yawezekana una ukaribu sana na ukweni jambo ambalo linawafanya wakuone huna maamuzi.
2. Mama mkwe wako ni mswahili na kuna uwezekano mkubwa kamlea mtoto wake(mkeo) katika Uswahili.
3. Utakuwa unaombaga sana msamaha mpaka mkeo anaona huwezi ishi bila yeye.

Cha kufanya..
Maadam ushakosea hutakiwi kukosea tena. Kama una uhakika uko nyumbani wana uhakika kuwa utawatafta fanya maamuzi kama mwanaume. Usipige simu wala kuwatumia sms wala usitume hela hata mia. Jaribu kwa week 1,2 mpk mwezi utanpa majibu.
 
Nashukuru sana mpendwa nitafanyia kazi ushauri wako kwasababu nikupishana mambo madogo madogo tu nataka nifanye io ya kunyamaza hata kwa mwezi mmoja nione
Kaka pole kwa yaliyokukuta.

Consideration.
Ushauri huu ni unaohusiana na kama kosa lililomfanya aondoke ni lipi. Kama ulifumaniwa huu ushauri haukuhusu kuwa king'ang'anizi mpk arudi ila km n kupishana mambo mengine basi soma hapa......!

kwa vile umeshatumia busara sana mpk kwenda kwao mwanamke mama ake akamtorosha manake yeye na mwanao inaonesha yafuatayo.
1. Wamekuzoea sana yawezekana una ukaribu sana na ukweni jambo ambalo linawafanya wakuone huna maamuzi.
2. Mama mkwe wako ni mswahili na kuna uwezekano mkubwa kamlea mtoto wake(mkeo) katika Uswahili.
3. Utakuwa unaombaga sana msamaha mpaka mkeo anaona huwezi ishi bila yeye.

Cha kufanya..
Maadam ushakosea hutakiwi kukosea tena. Kama una uhakika uko nyumbani wana uhakika kuwa utawatafta fanya maamuzi kama mwanaume. Usipige simu wala kuwatumia sms wala usitume hela hata mia. Jaribu kwa week 1,2 mpk mwezi utanpa majibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom