Ukiona hivo jua mfukoni panayumba na kama kwao ni mkoani jua hata nauli hana kwa wakati huo, mleta mada angekuwa na maisha ya wastan wala asingekuja hapa kulalamika.Mwambie mkeo akapumzike kwao uone kama mama mkwe atabaki.....
hayupo huru kwamba "anataka kum'banjulia mwanaye sebuleni?"Mwanaume ataachana na wazazi wake na ataambatana mkewe nao watakuwa mwili mmoja.
Hebu mueleze mke wake kuwa haupo huru nadhan atakuelewa