Mama mkwe kajichimbia naona shida kumtoa

Habari za hapa watu wa jukwaa hili

Nimeona nifike hapa niandike duku duku langu

Mama mkwe amekuja home kwa ajili ya kumsaidia mwane ambae mimi ndio barafu ya moyo wangu (my wife) ulezi mtoto ambe tumepata hivi karibuni, lengo kwa mujib wa wife ni kutusaidia ulezi hadi pale mtoto atakapojiweza au kwa sharti la kama tungepata mlezi basi pia angeodoka.

Lakini wadau hivi naandika muda umeenda sana na hana mpango wa kuchomoka tuko naye pika pakua na sasa mpaka anadai room yake.

nataka nijarib kuongea na wife mkwe ataondoka lini lakini naogopa kuja kusema namfukuza mamake au simpend mkwe wangu. kwaio hili jambo laninyima raha na uhuru pale ndani na ukweli naumia sn ata ku-enjoy na wife.

Nilikuwa na tabia nikishaingia ndani nakuwa navaaga vingua vifupi vifupi kama pensi na wakati mwengine tumbo wazi kwa ajili ya upepo upepo lakin sasa nikijarb tu mkwe huyo uso kwa uso sina amani najisikia aibu sana inabidi muda wote nikiwa ndani niwe full-aquip.

Tumepanga tulete mlezi wa mtoto na wife lakini wife na yeye anasema ata mlezi akija na mama yake ataendelea kuwepo.

Huyu mama tayari ni age kidogo na hana mume kama vile maisha yake anataka yawe pale kwangu.

Wadau naomba ushauri kwa kweli
Kitu pekee ambacho waoaji wengi huwa hawakijui ni kujiandaa kisaikolojia kuwalea wazazi wa pande zote.
Wafundaji wamefeli hapa.Mwanamke unayeoa tambua ana wazazi aliowategemea na wanachoka hivyo lazima warudi kumtegemea kama mtoto waliyewekeza nguvu kwao.

Ukimuoa mwanamke kama haupo tayari kulea wazazi wake kwa namna yotote basi ujue wewe bado hujafikia kuoa ni mbabaishaji.Ni ukweli usiofichika kila mtu ni mzee wa kesho.

Jambo la msingi hapo ni nyinyi kukaa na mkeo mjue namna nzuri ya kuishi na huyo mama yenu ili mpate thawabu kwa Mungu na si kumnyanyapaa.
Ukweli ndiyo huo kama wengi hamkuujua.
 
Habari za hapa watu wa jukwaa hili

Nimeona nifike hapa niandike duku duku langu

Mama mkwe amekuja home kwa ajili ya kumsaidia mwane ambae mimi ndio barafu ya moyo wangu (my wife) ulezi mtoto ambe tumepata hivi karibuni, lengo kwa mujib wa wife ni kutusaidia ulezi hadi pale mtoto atakapojiweza au kwa sharti la kama tungepata mlezi basi pia angeodoka.

Lakini wadau hivi naandika muda umeenda sana na hana mpango wa kuchomoka tuko naye pika pakua na sasa mpaka anadai room yake.

nataka nijarib kuongea na wife mkwe ataondoka lini lakini naogopa kuja kusema namfukuza mamake au simpend mkwe wangu. kwaio hili jambo laninyima raha na uhuru pale ndani na ukweli naumia sn ata ku-enjoy na wife.

Nilikuwa na tabia nikishaingia ndani nakuwa navaaga vingua vifupi vifupi kama pensi na wakati mwengine tumbo wazi kwa ajili ya upepo upepo lakin sasa nikijarb tu mkwe huyo uso kwa uso sina amani najisikia aibu sana inabidi muda wote nikiwa ndani niwe full-aquip.

Tumepanga tulete mlezi wa mtoto na wife lakini wife na yeye anasema ata mlezi akija na mama yake ataendelea kuwepo.

Huyu mama tayari ni age kidogo na hana mume kama vile maisha yake anataka yawe pale kwangu.

Wadau naomba ushauri kwa kweli
Kabla sijakushauri. Naomba kufahamu. Tabia ya uchoyo ulijifunza ukiwa na miaka mingapi ?
 
Ukipenda boga....
Bila huyo mama Huyo mwanamke usingemuona.mpende mama WA mkeo ana baraka Zake kwako[emoji124][emoji124][emoji124].
 
Sasa muheshimiwa umeoa au umeolewa,mwanaume ndo kichwa cha familia wewe ndio mwenye maamuzi ya nani aishi kwako,mwambie wife amchane mama ake live kama mbwai iwe tu.KWA NINI UISHI KWA KUJIBANA BANA KWAKO!!!
 
Maisha ni haya haya,muache mama mkwe akulelee vizuri watoto...hakuna haja ya kutafuta msaidizi.Kama una eneo kubwa jaribu kujenga nyumba ndogo kwa ajili ya wageni.Ili wewe uwe huru katika kufurahia uumbwaji wa mkeo.
 
Kwa ninavyofahamu wamama wa upande wa mke huwa hawapendi kukaa kwa wakwe zao kabisa. Yawezekana mama anaona kuwa msaada aloitiwa autoe bado anahitajika autoe. Hawajaonyesha kutokuhitaji msaada wake tena. Na kama ni uzao wa kwanza ndio kabisaaaa!!!!
Unadhani hivyo? Mambo yamebadilika sana ndugu yangu, sio zile zama mama akimwona mkwe anajificha, na kijana akimwona mama anakuwa na adabu zote. Mambo yamebadilika sana mtu wangu.
 
Habari za hapa watu wa jukwaa hili

Nimeona nifike hapa niandike duku duku langu

Mama mkwe amekuja home kwa ajili ya kumsaidia mwane ambae mimi ndio barafu ya moyo wangu (my wife) ulezi mtoto ambe tumepata hivi karibuni, lengo kwa mujib wa wife ni kutusaidia ulezi hadi pale mtoto atakapojiweza au kwa sharti la kama tungepata mlezi basi pia angeodoka.

Lakini wadau hivi naandika muda umeenda sana na hana mpango wa kuchomoka tuko naye pika pakua na sasa mpaka anadai room yake.

nataka nijarib kuongea na wife mkwe ataondoka lini lakini naogopa kuja kusema namfukuza mamake au simpend mkwe wangu. kwaio hili jambo laninyima raha na uhuru pale ndani na ukweli naumia sn ata ku-enjoy na wife.

Nilikuwa na tabia nikishaingia ndani nakuwa navaaga vingua vifupi vifupi kama pensi na wakati mwengine tumbo wazi kwa ajili ya upepo upepo lakin sasa nikijarb tu mkwe huyo uso kwa uso sina amani najisikia aibu sana inabidi muda wote nikiwa ndani niwe full-aquip.

Tumepanga tulete mlezi wa mtoto na wife lakini wife na yeye anasema ata mlezi akija na mama yake ataendelea kuwepo.

Huyu mama tayari ni age kidogo na hana mume kama vile maisha yake anataka yawe pale kwangu.

Wadau naomba ushauri kwa kweli
KAMA KUNA MAMBO HAYAHITAJI MSONGO WA MAWAZO BASI NI KUWEKA SAWA MAMBO Y FAMILIA, UKWELI NA UWAZI SIKU ZOTE UNAMUWEKA HURU MTU, KWANZA POLE SANA KWA KADHIA HIYO ILIYOKUKUTA ILA NADHANI NJIA NZURI ITAKAYOKUSAIDIA NI KUTUMIA BUSARANA HEKIMA ZAIDI KUMUONDOA NA SIO MANENO NENO AMA VISA, NADHANI HEKIMA YA WAZI NI KUMUWEKA WAZI NINI WAHITAJI KWA MALEZI MAZURI YA FAMILIA YAKO, NA KAMA AMEANZA HADI KUDAI ROOM YAKE SI MBALI SANA ATAANZA NA KUDAI BAADHI YA VITU ALIVYOVIKUTA NI VYAKE, AMBUKIZI HILI LITAMFIKA HATA MKEO NA MATOKEO YAKE ITALETA MGOGORO NDANI YA NYUMBA, ALIKUJA KWA AJILI YA UZAZI, NA ANAKUNYIMA UHURU KWA SASA BAADA YA UZAZI KUISHA NI VEMA KUWEKA WAZI MSIMAMO WAKO ILI MAMBO YAENDE SAWA KABISA.
 
Usiku na mchana mama mkwe akiwepo piga game za maana mpaka mkeo apige kelele kama zote. Hiyo hali itamfadhaisha mkweo na kuona aibu mpaka ataondoka tu.

Jiongeze kijana.
 
STAREHE ZIPO NA SHIDA ZIPO,LAKINI MAMA MKWE KUENDELEA KUWEPO HAPO KWAKO NI ISHARA YA KWAMBA HUDUMA UNAZOZITOA NI NZURI NA BORA HATA HUKU AISHIPO HAZIPATI ,HONGERA KWA HILO...KILA LENYE KHERI NAWE LITAKUUDHI SANA HAPA DUNIANI,MREJEE MOLA WAKO KISHA KUWA MTU WA IBADA MUOMBE ALLAH AKUJAALIE SUBRA ILI USIWE MWENYE KUCHUKIA UMUONAPO MAMA MKWE WAKO..JITAHIDI KUONESHA HUNA TATIZO JUU YA UWEPO WAKE HAPO KWAKO HILO LITAMFANYA AWE HURU SANA AWAPO HAPO ..KWA HALI YEYOTE ILE ULOKUWA NAYO JITAHIDI MPATIE MARADHI KWA KADRI YA UWEZO WAKO..MAMA MKWE NI MAMA YAKO JITAHIDI KUCHEKA NA KUFURAHI HATA KAMA UNAUMIA KIASI GANI ,HUENDA RIZIKI UNAYOIPATA HUKU KATIKA PIRIKA ZAKO NI MATOKEO PIA YA UWEPO WA HUYO MAMA HAPO...MKIRIMU MGENI KUNA FADHILA KUBWA SANA MBELE ZA ALLAH....

Haya uliyoandika hapa ndiyo yaliyo kichwani kwangu na moyoni mwangu muda wote lakin kila nikijaribu kuvumilia nahisi kwa mbali hapo mbele kidogo kutaleta mpasuko kwenye ndoa nafikiria hapo tu., naziona dalili saa nyengine wife hutoa maneno maneno mbele ya mamake japo letu ni moja lakini nakuwa nahofia sana.
 
JITAHIDI SANA KUKWEPA HALI YA MAUMIVU YA MOYONI ,ANZA KUONA NI KAWAIDA ,UTAZOEA TU NA THEN UTAKUWA HAPPY SANA...USIUMIE KWA GHARAMA UNAZOZITUMIA MOYO WAKO UHISI FARAJA KWA KUAMINI KUWA UNAMSAIDIA MTU MWENYE KUHITAJIA MSAADA,MKUU MIMI NATAMANI NIKAE NA WAKWE ZANGU NYUMBA MOJA LAKINI HAAJAWAHI KUNITEMBELEA ,MARA NYINGI HUJA NA KUONDOKA ...UKILIZOEA HILI MKUU UTAKUWA HAPPY SANA ...
 
Hapa mama angekuwa wa mwanaume maoni yangekuwa tofauti kabisa na yanayotolewa hapa.
Jamani, mama mwenye hekima hata kukaa kwa kijana wake wa kiume hawezi.
Sembuse kwa binti yake mwenye mume humo ndani!!
Akimaliza shida zilizomleta huwa wanaomba kuondoka haraka Sana.!!
 
Mimi nimeoa mke. Sijamuoa yeye na mama yake. Simple like that
Sio kila mzazi(familia) inafanya mnavyofanya nyie, kumbuka ulivyooa umeingia kwenye familia yenye hulka tofauti na za kwenu. Lazima ukubaliane na hali utakayoikuta. Kwa wazazi waelewa ni rahisi mno, a week or two is enough kumtembelea mtoto, lakini kama sio wa ustaarabu huo ishi na furahia maisha na wazazi wako.
 
Dalili zinaonesha mkeo ndiye anayetaka mama yake aendelee kuwepo ndiyo maana alikuambia hata mkipata maid, bado mama ataendelea kuwepo.
Hivyo, anza na mkeo. Mfanye aelewe umuhimu wa mama kuwaachia nafasi, arudi kwake akaendelee na shughuli zake.
[/Q
Huu sasa mtego. Usipokaa vizuri laana ushaipata. Jichunguze, ni nini haswa kinakukera. Uhuru wa kukaa tumbo wazi au uso wa mama mkwe ndo unakukera?? Ninavyojua, kwangu sioni shida yake kukaa hapo kama ukiweza kumdhibiti mapema. Kama ulikuwa unakaa kifua wazi na mkeo hata kwa mamako ungeweza kukaa hivyo. Iweje uone soni kwa mkwe??
Swali, Je, mkeo ndo mtoto pekee kwao? Ka jibu ni hapana, kwa nini ang'anganie kwao?

Nazidi kuumia kichwa, watoto anao lakini nahisi mzigo umeniangukia mimi 100%, saa zote nahimizwa kuna chumba nikimalizie finishing ili mama apate chumba chake kabisa kabisa
 
Habari za hapa watu wa jukwaa hili

Nimeona nifike hapa niandike duku duku langu

Mama mkwe amekuja home kwa ajili ya kumsaidia mwane ambae mimi ndio barafu ya moyo wangu (my wife) ulezi mtoto ambe tumepata hivi karibuni, lengo kwa mujib wa wife ni kutusaidia ulezi hadi pale mtoto atakapojiweza au kwa sharti la kama tungepata mlezi basi pia angeodoka.

Lakini wadau hivi naandika muda umeenda sana na hana mpango wa kuchomoka tuko naye pika pakua na sasa mpaka anadai room yake.

nataka nijarib kuongea na wife mkwe ataondoka lini lakini naogopa kuja kusema namfukuza mamake au simpend mkwe wangu. kwaio hili jambo laninyima raha na uhuru pale ndani na ukweli naumia sn ata ku-enjoy na wife.

Nilikuwa na tabia nikishaingia ndani nakuwa navaaga vingua vifupi vifupi kama pensi na wakati mwengine tumbo wazi kwa ajili ya upepo upepo lakin sasa nikijarb tu mkwe huyo uso kwa uso sina amani najisikia aibu sana inabidi muda wote nikiwa ndani niwe full-aquip.

Tumepanga tulete mlezi wa mtoto na wife lakini wife na yeye anasema ata mlezi akija na mama yake ataendelea kuwepo.

Huyu mama tayari ni age kidogo na hana mume kama vile maisha yake anataka yawe pale kwangu.

Wadau naomba ushauri kwa kweli
Kwa ujumla wazazi kama siyo shida au ugonjwa wanapaswa tu kuwatembelea vijana wao na kurudi kwenye hiya zao kwenye maisha yao ya kawaida. Vijana wanapaswa kuwasaidia wazazi huko huko waliko siyo kuja kuishi mjini na watoto wao. Kwa hiyo, hata mimi mama yangu au mama mkwe; au baba yangu/baba mkwe sitaki waje waishi kwangu. Wazee wenye nidhamu na misimamo na maisha yao hawawezi kuhamia kwa vijana wao.
 
Mke wako ana shuhuli gani mkuu?
Kama hana shuhuli fungua biashara ili awe anaenda huko biasharani lakini pia atakachokula / tumia mlezi wa mtoto ndicho anachokula/tumia mkweo. Fikiri taratibu.

Pole sana na hongera kwa mgeni.
Hahahaha hapo kwenye hongereni nimecheka sana
 
Back
Top Bottom