Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

I know a couple (wote n marafiki zangu tokea tukiwa chuo undergraduate) jamaa n msukuma, binti mchaga wa Rombo. Walidate kwa miaka 5, na Moja ya sababu jamaa kusubiri n aweze kumsoma binti vema na alikua ashapewa somo tokea zamani akiwa sekondari kua usije oa mchaga na ndugu zake wa karibu lakin yule Dada alimprove wrong vitu vingi na jamaa alimpigania na alikua tayari kwa lolote na alimpigania Sana binti aliamini jamaa kampenda kweli kweli and she was right na akawa anajisifia saaana kwa marafiki zake.

Balaa likaja Dada alipomaliza masters na kupata kazi nzuri shobo za ki harakati zikawa nyingi,kujiamini Sana na hata akikosea she still challenge jamaa badala ya kukubali kua kakosea anakomaa tu na she wants to be right yaani (egotistical).

Fast toward, Wali Achana 2018 April (jamaa alimwacha) Dada akabembeleza had kutaka kujiua jamaa akamrudia December same year, then December 2019 jamaa akamuacha mazima mpaka Leo. Na plan ilikua March 2020 akatoe Mahali, July harusi na comment Yake ilikua hivi.

"Kwa izi tabia zake xxxxx me sitamweza, tutashindwana apate mtu ambae atamweza, mimi nmejaribu nmeshindwa ni bora kuvunja uchumba kuliko kuvunja ndoa"

Hizo tabia ndo ulizozisema kwenye post yako. Since that time jamaa Hana time tena na ma binti wa kichaga japo ndo weng anaokutana nao na ni wazuri. Cha kushangaza, watu wengi ambao waliokua wanaijua couple Yao tokea chuo, jamaa akikutana nao wakimuuliza akiwaambia situation weng husema "yule xxxxx angekusumbua tu" n kama vile watu wa pemben walishaisoma ramani Sema hakukua na mtu wa kumwambia directly.

Nb: jamaa yupo vizuri financially na yeye Ana masters, na alikua kamzidi binti kipato na exposure tena mbali tu kwa Sasa n bonge Moja la senior bachelor.

So izo tendency za ubabe na u much know wadada wa kichaga wanazo Sana.

NI KWELI NAMI NATOKEA MIKOA HIYO,

IKO HIVI:

WANAWAKE WENGI/WOTE WA KICHAGA WANAMALEZI KAMA WANAUME FLANI HIVI, TENA BORA UKAISHI NA MWANAUME KULIKO MWANAMKE WA KICHAGA.

HAWANA ZILE SIFA ZA UKIKE KIKE KAMA WANAWAKE WENGINE, NA UKIOA MCHAGA LAZIMA UWE NA MWANAMKE WA PEMBENI (NI LAZIMA, CHUNGUZA). HUYU ATAKUFANYA UONEKANE MWANAUME NA ATAKUKAMILISHA KWENYE MAHITAJI YA SEX.

NA NDOA ZENYE KUDUMU ZA WACHAGA NI ZILE ZA WAO KWA WAO, KWANI UTAMADUNI WA JEURI, KIBURI,DHARAU NA UKATILI NI SEHEMU YA MAISHA YAO.LAKINI HIZI ZA MCHANGANYIKO NA MAKABILA MENGINE HAZIDUMU, KWANI TABIA HIZO NI SUMU KALI KWENYE UPENDO. ZINGINE ZIPO TU KWA SBB YA MACHO YA WATU.

NI KWELI HAWA WATU WANAONGOZA KUOLEWA/KUOA NA NI HAWA HAWA WANAONGOZA KWENYE TALAKA. SEMA KWENYE TALAKA HAKUNA MBWEMBWE KAMA HARUSINI.
PITIA TAARIFA ZA MIGOGORO YA NDOA NA TALAKA ZA KKKT, RITA, MAHAKAMA ZA MWANZO, NDOA ZA HAWA WATU SIO, NI CHACHU SANA.

SIONGEI KWA UBAYA, NI VEMA WAO KWA WAO WAKAOANA, KINYUME NA HAPO JIANDAE KWA NDOA NGUMU!
 
Dada.... Mm pia ni mchaga wa marang, nimeptia situation inayofanana kias flan na yako.... Ntaeleza kwa ufup sanaaa..... Kwa upande wng niliwahi kuwa kwnye relationship flan na mtoto wa kisambaa aliyekulia moshi kias kwamba unawezasema ni mchaga hapo nipo mwaka wa kwanza chuo na kwa kuwa huwa nina experience ya kukaa kwenye mahusiano muda mrefu, nilijiwekea probability kuwa kama ataendana na vision yang bas ntamuoa, hvyo nilimshrikisha mama kuwa nina mahusiano ambayo nataman yafkie tamat ya ndoa.... Mama alipohoj nliyenae ni wawap... Nikamwambia ni msambaa bas.... Akisisitiza kuwa nisioe tofaut na mtu wa nyumban {mchagga}..... Sikutaka kuchukua maamiz ya haraka haraka kumwacha yule binti mana tulipenda xanaa.... Japo kuna baadhi ya mapungufu niliyabain kwake yalio kando kdgo na vision yang juu ya mwanamke ntakaye muoa... Ghafla mahusiano yalidhoofu hatamaye nikaingia kwenye mahusiano mengine na mchaga (frm machame).... Nikawa naye kwnye mahusiano kwa miaka mi 3had namaliza chuo.... Kipnd chote hcho aliprove kuwa ndio mwanamke ninayemuhitaj ktk maisha yang kama mke (wife produt not only material) nilimjilisha mama tena kwa mara nyngine tena kwa kuwa ndiye aliyetulea kwa % sanaa... Kwamba ninaye mchumba mchaga ss lakin alipojua ni wa machame bas alinikata maain kabxa baada ya kusema hanifai kabsaaa... Nilihisi kupoteza dira mana niliona kama ananiyumbisha tu nilichoamua ni kuingia ktk moyo wng na dhamir yang na kuamua kuwa nimeshajithbishia kuwa ananifaa kwa 90% bas sikurud nyuma kwa kuwa nilijua kuwa hata nikimuoa yule mama atakaye mkubal bila nafsi au moyo wng kumkubal bas ntaishia kumlaumu mama hata akiwa kaburin..... Bal ntakaye mridhia mm bas ntakuwa tayar kwa yote yatakayonipata.... Bas hapo ndio nilposonga mbele kuelekea ndoa japo kwa ugum sana mana hata dada zng na baadh ya ndugu walikuwa kinyume kabxa na mm juu ya hlo suala lakin nilikomaa na mungu pia nilimshirikisha pa1 na mke wng hyo Mtarajiwa (wakat huo 2018)...alinipa ushrikiano zaid ya 100% tenaa baada ya kujua kuwa mama hakumridhia kisa ni mmachame..... Tuliptia mengi sanaaa sanaaa sanaA ya kuumiza tukapgwa vta sanaaa....lakin hata haikuweka ufa ktk nia ya mahusiano yetu..... Yan kila hata ilikuwa mbinde mbinde tu hadi tunafunga ndoa.... Harusi nilisimama ktk nafas zote za kamat...... Maajab ya mungu harusi ilienda poaa sanaaa japo % kubwa my family members hawakuhudhuria nikiwatoa wazaz na dada yetu mkubwa ambao mwshowe walinielewa...... Ndio nilifunga na binti niliyetoka nae mbal kiamisha..... Japo dada zng na baadhi ya ndugu walinitabiria maisha ya shida shida ktk ndoa ukizingatia ckuwa na kaz maalum, kwamba hata miez sita hatutamaliza (nilikuwa muhangaikaj tu)....
Finally ndoa tulifunga, mungu akatujalia mtoto handsome sana wa kiume.... Maisha bora, tumejenga, na neema nyingzo nying.......

Note..... Nimefupsha mnoooo...

Point yang ya msingi BINTI..... Maamuzi ya kuwa ndoa ni nying wawil.... Hasa zaid kwa upande wa mwanaume (mchumba wako.) kama kwel anakupenda na ameshakuchagua ww bas inampasa kuwa na msimamo bila kuyumbishwa na yyote.... Mzaz abaka kama mshaur tu...... Na si kumuamulia kijana wake ili kuepusha lawama juu yake.... Pia aheshimu mahusiano yenu.... Lakin pia atambue mungu hakutubagua hvyo kukukataa au kukuona ww hufai wakat mwanae kakupenda ww ni dhambi kubwa.......

Niishie hapo kwa ufup sanaaaa lakin kwasabab sipend kutyp muda mrefu.... Kuna mengi sanaa sijaandka......
Ndoa bado changa sana.! Sidhan Hata miak 2 imepita
 
Habari zenu wapendwa?

Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba.

Baada ya hapo wakualiana na wazazi harusi iwe mwezi wa 4 mwaka huu Ila baada ya muda mama yake akamwambia naomba harusi mfanye mwezi wa 7 nataka nijipange sherehe iwe kubwa tukamkubalia kupeleka hadi wa 7 Ila Cha kushangaza juzi kipindi wamekaa kwenye kikao Cha kuandaa kamati ya harusi mama mtu akasema harusi isogezwe tena iwe mwezi wa 10

Baada ya mwanae kumbana mama yake kuwa kwanini kila cku unapeleka mbele akamwambia sitaki uowe mwanamke wa kichaga ndomana nafanya hivi, kiukweli mwanae alichukia sana kuskia hiyo kauli akanipa mrejesho kuwa mama yake hataki anioe kisa mimi mchaga Ila kwakuwa nakupenda tumeshirikiana mambo mengi siwezi kukuacha tutafunga ndoa mwezi wa 8 bila hata ndugu zake kuwepo atasimamia shoo mwenyewe bila msaada wa ndugu zake nikamwitikia sawa

Ila hapa nawaza usikute huu uamuzi ameuchukua sababu ya hasira nahisi Kama akitulia atanibadilikia asikilize ndugu zake aniache na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimetoka naye mbali kanipotezea muda na hivi kapeleka hadi mahari kwetu watu wanasubiri harusi.

Kama akinibadilikia sijui hii aibu tutaibebaje na familia yangu, nimechanganyikiwa mpaka nawaza sijui nimbebe tu mimba ili azidi kuwa na msimamo aogope kupoteza mke na mtoto!,

Ila nakosa jibu huyu mama simuelewi kwanini ananifanyia hivi Kama alikuwa hataki niolewe na mwanae kwanini hakumzuia kipindi anapeleka mahari wakamsapoti apeleke, kinachoniumiza ni aibu kwetu mahari imeenda alafu ikitokea tukiachana kisa mama yake aibu itakuwa kubwa Bora hata angekuwa hajapeleka mahari.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje kulishinda hili jaribu lililopo mbele yangu, Ndugu zangu Bado sijawambia Kama Kuna huu mgogoro maana hata sijui watalipokeaje nachanganyikiwa Mimi jamani
Ana haki kwani wachaga hawafai hata kudate. Wana tabia ya kuingiliana ndugu kwa ndugu.
 
Mkaka hataki kumsikiliza mama yake. Je, atafanya kweli? Tusubiri mrejesho.
Bora umejua mapema na huyu mkaka aoe kwengine, huyo mama angekusumbua sana kwenye ndoa yako na inavyonekana huyo mwanaume anamsikiliza mama yake zaidi,bora umejua mbichi na mbivu mapema, ndoa yako ingekua ngumu sana
 
I know a couple (wote n marafiki zangu tokea tukiwa chuo undergraduate) jamaa n msukuma, binti mchaga wa Rombo. Walidate kwa miaka 5, na Moja ya sababu jamaa kusubiri n aweze kumsoma binti vema na alikua ashapewa somo tokea zamani akiwa sekondari kua usije oa mchaga na ndugu zake wa karibu lakin yule Dada alimprove wrong vitu vingi na jamaa alimpigania na alikua tayari kwa lolote na alimpigania Sana binti aliamini jamaa kampenda kweli kweli and she was right na akawa anajisifia saaana kwa marafiki zake.

Balaa likaja Dada alipomaliza masters na kupata kazi nzuri shobo za ki harakati zikawa nyingi,kujiamini Sana na hata akikosea she still challenge jamaa badala ya kukubali kua kakosea anakomaa tu na she wants to be right yaani (egotistical).

Fast toward, Wali Achana 2018 April (jamaa alimwacha) Dada akabembeleza had kutaka kujiua jamaa akamrudia December same year, then December 2019 jamaa akamuacha mazima mpaka Leo. Na plan ilikua March 2020 akatoe Mahali, July harusi na comment Yake ilikua hivi.

"Kwa izi tabia zake xxxxx me sitamweza, tutashindwana apate mtu ambae atamweza, mimi nmejaribu nmeshindwa ni bora kuvunja uchumba kuliko kuvunja ndoa"

Hizo tabia ndo ulizozisema kwenye post yako. Since that time jamaa Hana time tena na ma binti wa kichaga japo ndo weng anaokutana nao na ni wazuri. Cha kushangaza, watu wengi ambao waliokua wanaijua couple Yao tokea chuo, jamaa akikutana nao wakimuuliza akiwaambia situation weng husema "yule xxxxx angekusumbua tu" n kama vile watu wa pemben walishaisoma ramani Sema hakukua na mtu wa kumwambia directly.

Nb: jamaa yupo vizuri financially na yeye Ana masters, na alikua kamzidi binti kipato na exposure tena mbali tu kwa Sasa n bonge Moja la senior bachelor.

So izo tendency za ubabe na u much know wadada wa kichaga wanazo Sana.
Mnawaonea bure wachaga.
Si wote wenye Tabia hizo.
 
Ndoa bado changa sana.! Sidhan Hata miak 2 imepita
So wataka kusemaje!?!?.... Mana kuna ndoa hazimaliz wiki kadhaa, mwez au mwaka.... Mm nshakata miwil na wala siwaz kama mtu aliyekata tamaa.... Am vry positive my friend, nipo committed and ready kwa lolote ktk maisha yang ya ndoa since i choose to follow my heart........on top of all namjua niliyenae vzur zaid kuliko ww....
 
Ndoa bado changa sana.! Sidhan Hata miak 2 imepita
Ooh nimesahau kukuuliza yako ni ana miaka mingap?! Mana kuna zenye miaka 10 na bado zimevunjka...... Ndio si jambo la kuchukulia kibinadamu xana mana ni sheria ya muumba hvyo anatakiwa kuhusika sanaa ili kuitunza.... Na wala si mashindano.... Haijalish kabla gan....
 
# Ndoa si jambo........... (correction)
 
Habari zenu wapendwa?

Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba.

Baada ya hapo wakualiana na wazazi harusi iwe mwezi wa 4 mwaka huu Ila baada ya muda mama yake akamwambia naomba harusi mfanye mwezi wa 7 nataka nijipange sherehe iwe kubwa tukamkubalia kupeleka hadi wa 7 Ila Cha kushangaza juzi kipindi wamekaa kwenye kikao Cha kuandaa kamati ya harusi mama mtu akasema harusi isogezwe tena iwe mwezi wa 10

Baada ya mwanae kumbana mama yake kuwa kwanini kila cku unapeleka mbele akamwambia sitaki uowe mwanamke wa kichaga ndomana nafanya hivi, kiukweli mwanae alichukia sana kuskia hiyo kauli akanipa mrejesho kuwa mama yake hataki anioe kisa mimi mchaga Ila kwakuwa nakupenda tumeshirikiana mambo mengi siwezi kukuacha tutafunga ndoa mwezi wa 8 bila hata ndugu zake kuwepo atasimamia shoo mwenyewe bila msaada wa ndugu zake nikamwitikia sawa

Ila hapa nawaza usikute huu uamuzi ameuchukua sababu ya hasira nahisi Kama akitulia atanibadilikia asikilize ndugu zake aniache na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimetoka naye mbali kanipotezea muda na hivi kapeleka hadi mahari kwetu watu wanasubiri harusi.

Kama akinibadilikia sijui hii aibu tutaibebaje na familia yangu, nimechanganyikiwa mpaka nawaza sijui nimbebe tu mimba ili azidi kuwa na msimamo aogope kupoteza mke na mtoto!,

Ila nakosa jibu huyu mama simuelewi kwanini ananifanyia hivi Kama alikuwa hataki niolewe na mwanae kwanini hakumzuia kipindi anapeleka mahari wakamsapoti apeleke, kinachoniumiza ni aibu kwetu mahari imeenda alafu ikitokea tukiachana kisa mama yake aibu itakuwa kubwa Bora hata angekuwa hajapeleka mahari.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje kulishinda hili jaribu lililopo mbele yangu, Ndugu zangu Bado sijawambia Kama Kuna huu mgogoro maana hata sijui watalipokeaje nachanganyikiwa Mimi jamani
If you are destined to marry that man, he will surely be your husband, jipe muda na silazimishe
 
aibu ni ya muda tuu....ndoa ni maisha bibie.......umenogewa na ukuni unatafuta sababu za kulazimisha au kujiaminisha kwamba ndie chaguo lako.......mwambie mama yako hali halisi....babako atapewa taarifa....litajadiliwa litapita.....ila mahari lazima uirudishe.....kama wamekula wazazi wako uitafute irudi kwa wenyewe......la sivyo ndoa utaisikia kwa mengeleni kwa jirani tuu....ukijistukia makunyanzi hayooo....zungumza na MUNGU wako.......yeye ni muaminifu....hata katika hili atakuvusha...
 
Habari zenu wapendwa?

Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba.

Baada ya hapo wakualiana na wazazi harusi iwe mwezi wa 4 mwaka huu Ila baada ya muda mama yake akamwambia naomba harusi mfanye mwezi wa 7 nataka nijipange sherehe iwe kubwa tukamkubalia kupeleka hadi wa 7 Ila Cha kushangaza juzi kipindi wamekaa kwenye kikao Cha kuandaa kamati ya harusi mama mtu akasema harusi isogezwe tena iwe mwezi wa 10

Baada ya mwanae kumbana mama yake kuwa kwanini kila cku unapeleka mbele akamwambia sitaki uowe mwanamke wa kichaga ndomana nafanya hivi, kiukweli mwanae alichukia sana kuskia hiyo kauli akanipa mrejesho kuwa mama yake hataki anioe kisa mimi mchaga Ila kwakuwa nakupenda tumeshirikiana mambo mengi siwezi kukuacha tutafunga ndoa mwezi wa 8 bila hata ndugu zake kuwepo atasimamia shoo mwenyewe bila msaada wa ndugu zake nikamwitikia sawa

Ila hapa nawaza usikute huu uamuzi ameuchukua sababu ya hasira nahisi Kama akitulia atanibadilikia asikilize ndugu zake aniache na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nimetoka naye mbali kanipotezea muda na hivi kapeleka hadi mahari kwetu watu wanasubiri harusi.

Kama akinibadilikia sijui hii aibu tutaibebaje na familia yangu, nimechanganyikiwa mpaka nawaza sijui nimbebe tu mimba ili azidi kuwa na msimamo aogope kupoteza mke na mtoto!,

Ila nakosa jibu huyu mama simuelewi kwanini ananifanyia hivi Kama alikuwa hataki niolewe na mwanae kwanini hakumzuia kipindi anapeleka mahari wakamsapoti apeleke, kinachoniumiza ni aibu kwetu mahari imeenda alafu ikitokea tukiachana kisa mama yake aibu itakuwa kubwa Bora hata angekuwa hajapeleka mahari.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyaje kulishinda hili jaribu lililopo mbele yangu, Ndugu zangu Bado sijawambia Kama Kuna huu mgogoro maana hata sijui watalipokeaje nachanganyikiwa Mimi jamani
Kosa lako umezaliwa mchaga na kiherehere cha moyo wako umempenda mmakuwa😂😂😂😜!
Ushauri: rekebisha moja kati ya makosa hayo 👆😂😂😂😜!
 
That's your theory and ain't nothing wrong believing in that. Labda nikutane na wachaga wenye attitudes tofauti but bado sijakutana nao.

Kama we n mchagga pole Sana, it's not personal attack to chagga tribe just life tu.. So no pressure baby
Mimi siyo mchaga na wala sitokei huko kaskazini.
Haya maneno nimekuwa nikiyasikia sana..hadi nilipobahatika kwenda chuo,nikakutana na wachagga wengi sana kanisani.
Hizi sifa mbaya zinazosemwa juu yao wala sikuwahi kuziona kwa miaka yote niliyoishi nao hapo.

Yawezekana mchagga wa huyo jamaa alikuwa na shida lakini hii si sababu ya kuconclude kwamba wachagga wote wana matatizo.
Huo ni ubaguzi mkuu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi, hili nmeliona hata kwa mabinti wa kichagga nlio date nao.. So I can affrim kua kuna issue apa. Japo sio wote ila weng wapo kwenye ili kundi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom