Kumbe Mama Watoto Upo Huku JF na WEWE?View attachment 320814
Kumbe mshafunga ndoa hongera sana!!! Upo fasta na mtoto wa pili mshapata ndo maana ma mkwe kaingilia kati una speed sana
Nenda kamuombe ushauri mkeo or baba mkwe wakoHivi Juzi Juzi Mama Mkwe Wangu Alikuja Kunitembelea Hapa Kwangu Akitokea Huko Mbwinde. Nilifurahi Sana Kwa Kuwa Ni Muda Sana Umepita Hatujaonana.
Mama Mkwe Hakupoteza Muda Akanipa " Mwongozo " Mzito Na Uliotukuka Kuwa " Nisimzalishe " Tena Mwanae Kwani Watoto Wawili Tuliozaa Mpaka Sasa Wanatosha Na Ni Marufuku Kumzalisha Tena Mwanae Ambaye Ni Mke Wangu Kipenzi Wa Ndoa Na Akafika Mbali Zaidi Baada Ya Kusema Ole Wangu Nikiuke Mwongozo Wake. Hakika Ilikuwa Ni Surprise Ya Nguvu Kwangu Na Ambayo Sijaitegemea Ingawa Hajanieleza Sababu Za Kunizuia Kutafuta Mtoto Wa Tatu. Mama Mkwe Anataka Kucontrol Ndoa Yangu Kwa " RIMOTI " akiwa Mbwinde.
Wakuu Naombeni Msaada Wenu, Maana Mpaka Mama Mkwe Anakuja Mke Wangu Hakunishirikisha Chochote ( Kama Kweli Alikuwa Na Tatizo ) Yeye Akaamua Kumtumia Mama Yake, Sasa Nimekosa Imani Na Mke Wangu Na Nafikiria Kumuacha Ili Aweze Kuongozana Na Mama Yake Pindi Atakaporudi Mbwinde Maana Anaweza Hata Akaniua Kwa Mwendo Huu. Nifanyeje Wakuu Maana Alichofanya Mama Mkwe Mpaka sasa Anaongoza 3-0 Dhidi Yangu Yaani kwa Lugha Nyingine Amenikamata Pabaya Mno Kunakotukuka!!
NIMEKUVULIA KOFIA WATU MNAJUA KUFUATILIA NA KUMBUKUMBU ZA AJABUView attachment 320814
Kumbe mshafunga ndoa hongera sana!!! Upo fasta na mtoto wa pili mshapata ndo maana ma mkwe kaingilia kati una speed sana
a.k.a Popoma,jamaa nampa hongera kwa kuwa mtu mwenye ID nyingi Jf kuliko watu wote.
Chai hiiSpeed haswa halafu maswala ya "mapene" inaelekea hayajamnyookea sana kijana ndio maana mama mkwe kaamua kutoa Memo!
Mke WANGU KiPENZI NDIO KAMWAMBIA MAMA YAKE AJE Anipe Mwongozo
Mi nahisi ni Galadudu.
Hahah, inawezekana mkuu, kuna uzi humu anaomba ushauri kuna kadenti alikuwa anakapa lift ya kuelekea shule kila asubuhi, sasa kale kadenti kakawa kanataka kumlipa jamaa fadhila mshkaji akawa anakakwepa, sasa akawa anaomba ushauri..
Kwa case ya kitoto vile wala sishangai yeye kupewa maelekezo na mama mkwe wake[emoji23] [emoji23] [emoji23]