Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,530
Mtoa mada atakua Mpare au Mjita na kipato Cha kuunga
mkuu kuna siri gani katika hayo makabila
Mtoa mada atakua Mpare au Mjita na kipato Cha kuunga
Kwa nini unafikiri kila mtu anaweka hela benki?Tangia umeanza kutafuta hela. Una hata milion 50 bank?
Me nadhani atume kwanza washenga, wakienda kupigwa beat ndiyo afuate ushauri wako huo.Kuna watu ni wajinga, wewe ni mmoja wapo. Sasa bapo kinachokuumiza kichwa ni nn?? Hujui kutongoza? Wewe hapo unachotakiwa kufanya ni kupotezea tu, wsla usijishughulishe na chochote, watakutafutaga wenyewe. Au unamtegema sana huyo demu alafu kakupa masharti ya kumuoa???
Na mimi nimeshindwa kuamini! Coco original kabisa nimjuaye mimi, au wamem huck huyu binti?Kuna kozi ya Kiswahili (kuandika na kusoma) inafundishwa bure kabisa wahi offer hii
mkuu kuna siri gani katika hayo makabila
Na mimba nayo si unajua inavyotafutwa?Tia mimba huyo binti, mambo mengine yatajiset mbele huko
Huko lumumba fc wengi warundi,hapo ukimuuliza atakuambia kwao kigomaKuna kozi ya Kiswahili (kuandika na kusoma) inafundishwa bure kabisa wahi offer hii