Kuna kozi ya Kiswahili (kuandika na kusoma) inafundishwa bure kabisa wahi offer hiiKwanza.. mulimutarifu muda gani kabla.. kuwa mushenga haendi tena..
Pili.. kwanini hujamuliza mchumba.. akakuwambia ilikuwaje na aibu uliyowapa..
Tatu.. kwani wewe hapana kufahamu.. mushenga akienda mahala.. anaweza kuwa wenyeji walijiandaa na kuita watu wa karibu.. washuhudie..
Naunga mkono hoja.Tia mimba huyo binti, mambo mengine yatajiset mbele huko
Ndo kilichompata shangazi yangu huyu alomkataa ana upendo kwa kila mtu sasa anaishije vyema na familia yake,binamu yangu hana meno lwa mkong'oto na matunzo sifuriNiliwahi kukataliwa siku za nyuma! Leo hii nikikutana na wale ndugu wanatamani ardhi ipasuke wajifiche
Hata Mimi huyi huwa simuelewi yani[emoji38][emoji38]Kuna kozi ya Kiswahili (kuandika na kusoma) inafundishwa bure kabisa wahi offer hii
Mhutu huyo mkuuHata Mimi huyi huwa simuelewi yani[emoji38][emoji38]
Doooh ni vyema wazazi au walezi wakajiweka pembeni kuliko kuwaamulia watoto waoNdo kilichompata shangazi yangu huyu alomkataa ana upendo kwa kila mtu sasa anaishije vyema na familia yake,binamu yangu hana meno lwa mkong'oto na matunzo sifuri
"Amalock" ndio nin mkuu?Nenda na amalock au V8 then thank me later
Wakuu tutafute hela kwanza kabla hatujafikiria kuoa,
Hapo nimekosea spelling"Amalock" ndio nin mkuu?
Hahaa ushauri wa kibeberuTia mimba huyo binti, mambo mengine yatajiset mbele huko
Mtoa mada atakua Mpare au Mjita na kipato Cha kuungaTatizo kabla ya ndoa duh mkuu binti anafahamu sababu halisi mwambie akupe ukweli. Mkwe hawezi wakwepa kiasi hicho either hapendi kabila lako au huna kipato akitakacho.