Kwanini usiende kushitaki polisiNipo nyumbani kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asubuhi wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndani naona nikimwambia akae vizuri ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
Imagine uko nyumban kwenu afu unakosa jinsi ya kumwambia kweli?Nipo nyumbani kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asubuhi wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndani naona nikimwambia akae vizuri ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
Nyumba ya kupanga wanapikia sebuleni kila mtu kwake.Ushauri wangu ni kuwa, wewe mtoto wa kiume usishinde nyumbani! Hasa maeneo ya Jikoni!
Pia kuwa na adabu, usitafute laana!
kwani kipi hukijui?
Kumbe ndie huyu!!! Moja atakua mpenda kukojoa peku Mzuri,pili anatuletea Sana'a wakati hapa bagamoyoUache ujinga mara umemaliza form six umempa mimba house girl mara umemaliza chuo
House girl ana mimba yangu
Crazy as$ queer
TatiZo sio mama mdogo tatizo watu wa huo Mkoa ni shidaaaahh.. Usiogope hizi zama za ukweli na uwazi hivyo mchane live tu kuwa ajieheshimu ikishindikanika tumia mtu alieenda Umri amfikishie ujumbe kuwa anachofanya sioNipo nyumbani kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asubuhi wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia sana nguo zake za ndani naona nikimwambia akae vizuri ananiuliza kipi sijui? Naomba mnisaidie nimfanyaje?
Ipo. Kama unatumia bible kasome walawi 18:20kwa mama mdogo hakuna laana
Mama mdogo nionee huruma![emoji24][emoji24][emoji24]He he he he he... Makubwa haya