Mama Lwakatare acha ulaghai

Mama Lwakatare acha ulaghai

faloyce2001

Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
24
Reaction score
12
Mama Lwakatare kwa kutumia ulaghai na kofia ya kuwasaidia watoto yatima aliuziwa nyumba za shirika la bima pale tabata Bima.

Alidanganya kuwa anataka kufungua kituo cha watoto yatima ili auziwe kwa bei bwerere. Alichofanya baada ya kuuziwa ni kuchukua watoto kumi wa ndugu zake na kuwaweka pale kwa muda wa miaka miwili kisha akawarudisha makwao. Kwa sasa anataka kufanya lile eneo kuwa chuo kikuu cha st Marys.

Wadau hebu niambieni kuna chembe ya Mungu ndani ya mama huyu?
 
loh mwacheni mama wa watu ajinywee bia zake baridi jioni argh nyie vipi bwana,

Tanzania kila kitu kinawezekana
 
sasa hamtaki chuo kianzisshwe jamani? si bora huyo kuliko hayo mafisadi yanaiba mabilioni yanaenda kuyahifadhi huko marekani? lakini simtetei kivile.
 
Jamani akianzisha chuo kikuu,atacreate employment.Sasa lipi baya hapa?
 
Mume wangu ,nimetembea na nabii na mtume na baba-source- mwingira mke wa muumini
 
3323433647_73cf047316_z.jpg
 
Mama Lwakatare kwa kutumia ulaghai na kofia ya kuwasaidia watoto yatima aliuziwa nyumba za shirika la bima pale tabata Bima.

Alidanganya kuwa anataka kufungua kituo cha watoto yatima ili auziwe kwa bei bwerere. Alichofanya baada ya kuuziwa ni kuchukua watoto kumi wa ndugu zake na kuwaweka pale kwa muda wa miaka miwili kisha akawarudisha makwao. Kwa sasa anataka kufanya lile eneo kuwa chuo kikuu cha st Marys.

Wadau hebu niambieni kuna chembe ya Mungu ndani ya mama huyu?

Anyanganywe hiyo sehemu. Jizi kubwa
 
Jamani akianzisha chuo kikuu,atacreate employment.Sasa lipi baya hapa?

labda employment kwa waganda na wakenya ndio anaowapenda yy, kama alvyowajaza kwenye shule zake za st marys
 
sasa hamtaki chuo kianzisshwe jamani? si bora huyo kuliko hayo mafisadi yanaiba mabilioni yanaenda kuyahifadhi huko marekani? lakini simtetei kivile.

kwanini atumie mgongo wa watoto yatima? Hata kama angefanya investment ya kuajiri Tz unemployment wote bado deni kwa Mungu na kwa waTz wote linabaki pale pale, isitoshe she act as woman of God
 
Inaelekea wakuu mnakua sna data za huyu mama ndo maana aling'aka bungen juu ya jamiiforum.
 
Back
Top Bottom