Mama kufua kufuli la mtoto wa kiume

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Kuna siku mdau mmoja hapa MMU alileta mada ya mama kufua kufuli ya mwanae wa kiume,kusema kweli yalisemwa mengi,nakumbuka ilifikia mahali mashambulizi yalipamba moto dhidi ya mtoa mada hadi akaingia mitini.Ili kuonyesha kwamba kumbe mama kumfulia mtoto wa kiume kufuli haimaanishi 'vinginevyo' nawaletea nukuu niliyoichota toka gazeti la 'daily news' la leo ukurasa wa 4.
Nanukuu:
'.......In italy they are known as bamboccioni.....last year a government minister (in Italy) admitted that his mother washed his underwear and made bed for him until he was 30.......'
mwisho wa kunukuu.
 
vitu vingie 2navitia ugumu sie wenyewe,sasa mama kukufulia chupi kuna ubaya gani? Ki2 cha ajabu Tz nchi nyingine ni jambo la kawaida mno.
 
Hakuna tatizo ila kuna umri kwa huku kwetu inabidi kijana afue mwenyewe cz utaendaje bafuni then usifue kufuli lako?? Vinginevyo km ni mgonjwa!
 
Kule wenzetu wana washing machine, imagine mama yangu pale kwa mtogole uani kakaa bize anafua kufuli ya bro na joto la daa lazima itakuwa na uvundo lol sipati picha, mi nashauri mtu akienda kuoga amalize biashara zake zote
 
sawa sawa,nafuliwa chupi na mama mkwe kila siku,sioni la ajabu nayeye haoni ajabu.
Ila ingekuwa anafua kwa mikono sijui ingekuaje
 
Mama kufua kufuli la mtoto wa kiume= Something is wrong with the mother
Mtoto wa kiume kufuli lake kufuliwa na mama yake=Something is wrong with the boy
 
Kule wenzetu wana washing machine, imagine mama yangu pale kwa mtogole uani kakaa bize anafua kufuli ya bro na joto la daa lazima itakuwa na uvundo lol sipati picha, mi nashauri mtu akienda kuoga amalize biashara zake zote

Asante...
 
Back
Top Bottom