Mama kaniambia

Mama kaniambia

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,438
Reaction score
857,734
Mama kaniambia kuwa pombe ni 'adui' yangu! Maandiko yananiambia nimpende 'adui' yangu! Nimechanganyikiwa!!! nifanyeje jamani? Nichukue uamuzi gani? Nimsikilize nani?
 
Ukipenda adui yako na rafiki yako utamfanya nini?
 
Back
Top Bottom