Mama Janeth Magufuli, shikamoo!

Hongera sana Mama Janet, Mungu akuzidishie maisha ya hekima na inabidi uzao wako ubarikiwe zaidi na zaidi.
 
anakwama sana aisee yaan anataka atoke kama alivyoingia?
Ajifunze kwa kina Salima, Anna, Hillary Clinton, Dlamini zuma, Laura Bush na Michelle Obama
Analipwa mshaara kubwa sana ma marupurupu kibao , kuiba ni asili ya mtu tu
 
Mwambieni mumewe, mnamuogopa? Ila nawahakikishieni. Mkitaka Janet awaombee kwa Magufuli hamtafanikiwa kamwe, huo ndio ukweli. Changanyeni akili zenu za kustaafu na za kuambiwa.
Huyo mama katumika tu jina lake kumvuta muhusika aje asome na kuwasikiliza ombi lao wastaafu.

Mbona ujumbe umeshafika. Ukubwa dawa wastaafu noma, mikono juu kwa mbinu hii.
 
Hebu mwambieni alipe hela za wastaafu.
 
Hivi kwan ni kabila gan huyu mama?amezubaa..hachangamkii fursa...! mie ningekuwa first lady muda huu ningekuwa na Kampuni inayoeleweka Dubei huko!
Kwa hivi unavyoandika, baada ya mumeo kuwa rais angeachana na wewe. Uelewa mdogo!!
 
ahhhhhahah sio yy tu mcha Mungu mkuu...aache uzubaifu achangamkie fursa bwana we..ukumbuka ana watoto...nan hapend luxury life mzee baba?

kule kila siku kunatema mkuu "tunahila" tu
 
Sikiliza, wewe kuwa mpole haimaanishi ukikutana na simba atakuhurumia.
Hii ni kanuni muhimu katika ulimwengu huu wa ubepari.
Kama wewe hupigi dili usidhani kwa kutokupiga kwako dili ndo utahurumiwa.
Tembea kifua mbere
 
Karoho kakifisadi kamebana ndani yako mkuu.

ndo shida yetu watz...huwa najuta kuwa mtz...mtu unawaza kuzitumia fursa vyema maskini wa akili mnawaza ajab ajabu..nyie ndo mkiona tajiri amefilisika roho zenu zinafarijika..mfano Manji..mlifurahi na roho zenu...lol...!
 
Sikiliza, wewe kuwa mpole haimaanishi ukikutana na simba atakuhurumia.
Hii ni kanuni muhimu katika ulimwengu huu wa ubepari.
Kama wewe hupigi dili usidhani kwa kutokupiga kwako dili ndo utahurumiwa.
Tembea kifua mbere

umemaliza...! hela ukiitafta hata kizaz chako cha 3 kitakuwa na michirizi ya hela ....ss amezubaa na wajukuu wataishi kimaskini..kisa kutafta sifa never aisee!
 
Huyo mama katumika tu jina lake kumvuta muhusika aje asome na kuwasikiliza ombi lao wastaafu.

Mbova ujumbe umeshafika. Ukubwa dawa wastaafu noma, mikono juu kwa mbinu hii.
Mmh, kuna watu wana akili!
 
ndo shida yetu watz...huwa najuta kuwa mtz...mtu unawaza kuzitumia fursa vyema maskini wa akili mnawaza ajab ajabu..nyie ndo mkiona tajiri amefilisika roho zenu zinafarijika..mfano Manji..mlifurahi na roho zenu...lol...!
Mkuu fursa ni fursa,na ufisadi ni ufisadi havichangamani kama maji na mafuta.Kwanini Manji tu na si Bakhresa au Dewji au Marehemu Mengi, na hata si Rostam. Fursa za kifisadi ndio huishia kama Manji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…