Mama Fulani, Nitakupenda Mpaka Kifo Kitakapotutenganisha!


Alfred

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Messages
1,403
Likes
1,500
Points
280
Alfred

Alfred

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2008
1,403 1,500 280
Najua Bado sijakuoa ila Nina uhakika wa Kukuoa Kwa Mapenzi yake Mwenyezi Mungu!

Ulikuja Katika Maisha yangu wakati ambao nahitaji mapenzi ya mwanamke kwa kiasi kikubwa!

Ni wewe uliyerudisha Nafsi ya upendo iliyopotea baada ya kutokea kuumizwa na wanawake niliowahi kuwapenda!

Ni wewe uliyerudisha thamani ya upendo ndani ya Nafsi yangu!

Mwili na Nafsi yangu imenenepa kwa sababu yako, umenifanya kuwa bora mpaka wanawake wengine wananitamani!

Siku zote nakuombea kwa Mwenyezi Mungu azidi kukupa uzima wa Afya ya mwili na roho!

Si Juzi ulinambia Nisome wakorintho 1, 13...4-7, nimesoma mama na kilichomo mle ntakitimiza!

Nami Nakuahidi, Nitakupenda Kama Mke Wangu, Nitakulinda Kama Binti Yangu na Nitakuheshimu Kama Mama Yangu!

Nitakupenda Mpaka Kifo Kitakapotutenganisha!

Ni mimi Alfred!
 
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
20,763
Likes
21,431
Points
280
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
20,763 21,431 280
Mkuu pole sana. Mgaa gaa na upwa...!
 
Tater

Tater

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
4,329
Likes
10,609
Points
280
Tater

Tater

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
4,329 10,609 280
Hiyo Wakorinto inasemaje!?
 
conor

conor

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Messages
236
Likes
293
Points
80
conor

conor

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2017
236 293 80
Dogo umejulia mapenz ukubwan...leo kakuambia ya wakorintho kesho utajua sumu ya panya inauzwa kias gani

Empty set kabisa
 
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,458
Likes
7,645
Points
280
zipompa

zipompa

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,458 7,645 280
hahahahahaha mapenzi yakiwa kwenye kilele unaweza toa ahadi zote mkuu, ngoja yayumbe kidogo ndo utajua utampenda milele ama.
 
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
3,077
Likes
5,745
Points
280
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
3,077 5,745 280
Mithan bd haijafka hata baraza mshaanza kusumbua
 
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
6,803
Likes
4,223
Points
280
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
6,803 4,223 280
We ni ka ndezi..unapenda mwanamke ww..??? Unajua hao viumbe ww??unashauriwa alaf unaleta kiujuaj

Ngija akunyee ndio utamjua Dk Shika Vizur
Mbona povu mkuu? Unataka kutuambia umetembea na wanawake wote hapa duniani?

Yani wewe kukutana na malaya akakutenda ndo unataka sisi tusiwapende wake/wapenzi wetu?
 

Forum statistics

Threads 1,250,869
Members 481,514
Posts 29,748,909