Mama BIG kiboko ya wanawake mavuvuzela

acha tu
naskia et teamo wale mbuz +visusio+supu yake vimemfanya awe mfup...!!!!
roya roy et kankalia kimya.....!!!!!!

:tape::tape::tape::tape: au kiwango kilipitiliza hivi pale ukuona makalio ya mbuzi kati ya teamo na roya mmoja wao atakuwa amekula
 
acha tu
naskia et teamo wale mbuz +visusio+supu yake vimemfanya awe mfup...!!!!
roya roy et kankalia kimya.....!!!!!!
hahahaha!
roya nilishamwambia kwamba HANA CHAKE!.......
hata mimi cimu zangu hapokei
 
Mama big karibu loh.........ila taratibu maana naona wababa weshaanza kuchetuka.... kusikia sikio moja lazibwa kwa ulimi usijeshangaa wengine wakawasingizia wake zao kuwa ni mavuvuzela wakataka uwazibe masikio
 
na sisi tuaziba pale jirani na .....................
 
Mtu chake....hapa Mama Big hupenyezi

60-big-mama.jpg
 
Mama big karibu loh.........ila taratibu maana naona wababa weshaanza kuchetuka.... kusikia sikio moja lazibwa kwa ulimi usijeshangaa wengine wakawasingizia wake zao kuwa ni mavuvuzela wakataka uwazibe masikio

Asante sana usijali mama Big hana kazi kama wake za watu mtawapenda na kuwajali waume zenu
 
Maneno ya mkosaji hayo au unataka huduma nini umeshinda uanzie wapi! Njoo nikupe copy ndo utajua kama ni mayowe au!
Mmmh mama B! Hiyo huduma yako unatoa hata kwa wamama wenzio?
 
Cha ajabu ma sugarmammy kama mama big hawavishwagi pete licha ya maujuzi yao.

Pete ya nini naogopa kuwa vuvuzela chini na juu...na huduma zetu zipo special kuanzia mifukoni mpaka kitandani...twaitwa darling honey asali pipi nk wao wanaitwa mama fulani na wanamajukumu yanaowazidi vimo kufua kupika wao kisa pete? Lol na bado waume zao wanakuja kwetu kupata raha utamu na maneno mazuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom