Mama aolewa na mwanaye baada ya kumpa ujauzito

Mama aolewa na mwanaye baada ya kumpa ujauzito

Single mother wa humu leo wangeipata pata japo Bado tutachambwa lkn km ni Zimbabwe wamepunguza speed
Hahahahahah ila hata huo usingo maza jamani ndo uzae na mwanao hivi unaanzaje kwa mfano Yarabi
 
1 Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
Mambo ya Walawi 18 :1

2 Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
Mambo ya Walawi 18 :2

3 Nanyi msifanye matendo kama yale ya nchi ya Misri mliyokaa; wala msifanye matendo kama yale ya nchi ya Kanaani, nitakayowapeleka; wala msiende katika amri zao hao.
Mambo ya Walawi 18 :3

4 Mtazifanya hukumu zangu, nanyi mtazishika amri zangu, ili mwenende katika hizo; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
Mambo ya Walawi 18 :4

5 Kwa ajili ya hayo mtazishika amri zangu na hukumu zangu; ambazo mtu akizitumia ataishi kwa hizo; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 18 :5

6 Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 18 :6

7 Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.
Mambo ya Walawi 18 :7

8 Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.
Mambo ya Walawi 18 :8

9 Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.
Mambo ya Walawi 18 :9

10 Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.
Mambo ya Walawi 18 :10

11 Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.
Mambo ya Walawi 18 :11

12 Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.
Mambo ya Walawi 18 :12

13 Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.
Mambo ya Walawi 18 :13

14 Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.
Mambo ya Walawi 18 :14

15 Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.
Mambo ya Walawi 18 :15

16 Usifunue utupu wa mke wa nduguyo; maana, ni utupu wa nduguyo.
Mambo ya Walawi 18 :16

17 Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.
Mambo ya Walawi 18 :17

18 Wala usitwae mwanamke pamoja na nduguye, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, huyo wa pili atakapokuwa yu hai.
Mambo ya Walawi 18 :18

19 Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.
Mambo ya Walawi 18 :19

20 Usilale na mke wa mwenzio, ukajitia unajisi naye.
Mambo ya Walawi 18 :20

23 Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.
Mambo ya Walawi 18 :23

24 Msijitie unajisi katika mambo hayo hata mojawapo; kwa maana hizo taifa nitakazozitoa mbele zenu zimekuwa najisi kwa mambo hayo yote;
Mambo ya Walawi 18 :24

26 Kwa hiyo mtazishika amri zangu na hukumu zangu, wala msifanye machukizo hayo mojawapo; yeye aliye mzalia, wala mgeni aketiye kati yenu;
Mambo ya Walawi 18 :26

27 (kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi😉
Mambo ya Walawi 18 :27

29 Kwani mtu awaye yote atakayefanya machukizo hayo mojawapo, nafsi hizo zitakazoyafanya zitakatiliwa mbali na watu wao.
Mambo ya Walawi 18 :29

30 Kwa ajili ya hayo yashikeni mausia yangu, ili kwamba msifanye kabisa desturi hizi zichukizazo mojawapo, zilizotangulia kufanywa mbele zenu, wala msijitie unajisi katika mambo hayo; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
Mambo ya Walawi 18 :30
 
Zimbabwe akili zao zote anazo Mugabe na pia anakufa na akili za Wazimbabwe.
 
Mtu anapeleka mashine alipotokea? Duuuuuuuh Hizi ni dalili za wazi kabisa tupo mwisho Wa dunia
 
Ukistaajabu ya Mussa
Utayaona ya Farai Mbereko(23)na Betty Mbereko(40)

Hivi kweli unapata wapi ny#ge/ ujasiri wa kusimamisha gushe na kuangaza kumgegeda mama yako mzazi?

Dah!!wacha nipite tu....
 
Kweli siku za mwisho zimekaribia mama na mwana kulana mpaka kuoana
 
zim-marry.jpg

Betty Mbereko na mwanaye, Farai Mbereko.

BETTY MBEREKO (40) mwanamke anayeishi Mwenezi huko Masvingo, Zimbabwe, ameolewa na mwanaye wa kumzaa aitwaye Farai Mbereko mwenye umri wa miaka 23.



Katika hali hiyo ambayo ilitokea mwanzoni mwa mwezi huu wa Oktoba, mama huyo anategemea kupata mwanaye ambaye pia ni mjukuu wake. Mwanamke huyo amekuwa mjane kwa miaka 12 iliyopita ambapo amekuwa akiishi na mwanaye huyo.



Alithibitisha hivi karibuni kuwa ana ujauzito wa miezi sita na hivyo akaona afadhali “aolewe” na mwanaye kwani hakutaka kuolewa na mmoja wa wadogo wa marehemu mumewe, aliosema wanamtamani.



Betty aliishangaza mahakama ya kijijini kwake aliposema alianza kuzini na mwanaye miaka mitatu iliyopita. Alisema baada ya kutumia fedha nyingi kumsomesha Farai baada ya kifo cha mumewe, aliona ana haki ya kufaidi fedha ya mwanaye na si mwanamke mwingine.



“Tazama, nilihangaika kumsomesha mwanangu na hakuna aliyenisaidia. Sasa mwanangu anafanya kazi na watu wanasema nimefanya kosa. Acha nifaidi mazao ya jasho langu,” aliiambia mahakama hiyo.

Farai alisema yuko tayari kumwoa mama yake na atalipa mahari kwa babu na bibi zake, ambayo baba yake hakuimalizia.



“Nafahamu baba alikufa kabla ya kumalizia mahari; niko tayari kuilipa Ni yema kutangaza kinachotokea kwani watu lazima wafahamu kwamba ni mimi nilimpa ujauzito, bila hivyo watasema ni mzinifu,” alisema Farai.

Lakini kiongozi wa kijiji hicho, Nathan Muputirwa, anasema: “Hatuwezi kuruhusu hili litokee kijijini kwetu, kwani hii ni dalili mbaya. Hapo zamani watu hawa walistahili kuuawa lakini leo hii hatuwezi kwa sababu tunaogopa polisi.”

Aliwaonya wawili hao wavunje ndoa yao au waondoke kwenye kijiji hicho ambapo walichagua uamuzi wa pili, na tangu hapo wameondoka kijijini hapo.
Kwa hili!!!........!,naona sasa dunia imefika mwisho kabisaa!!

Mmmmmmh!.
 
Back
Top Bottom