monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,633
Nitarud baadae!
utayaona ya Baba Jesca
Sawa, ila najua kwa nini unajishtukia kwa kiwango cha kutokwa ushuzi...mimi sina kumbukumbu ya vyeti feki wala wafanyakazi hewa huko Mugabeland.Eeeeeeeh
Ila pole kwa kuwa zuba mfata mkumbo.. mkatekwa wote haswaaaaa
Mkuu umetapika kwaniNizaid ya kinyaa
Sawa, ila najua kwa nini unajishtukia kwa kiwango cha kutokwa ushuzi...mimi sina kumbukumbu ya vyeti feki wala wafanyakazi hewa huko Mugabeland.
Unajua maana ya kubwa jinga?