Mama anaupiga mwingi 😂😂

Mama anaupiga mwingi 😂😂

-ArkadHill

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2023
Posts
1,669
Reaction score
2,797
Hospitali hakuna madawa, vitanda wala vifaa tiba

Mashuleni hakuna madawati, vitendea kazi, walimu pamoja na vyoo.

Vijijini na mijini hakuna maji pamoja na miundo mbinu mibovu ya barabara pamoja na usafiri.

Makazini mishahara haitoshi na weledi umepungua kwa kiwango cha lami.

LAKINI PAMOJA NA HAYO YOTE VIPAUMBELE VIKUU INCHINI VIMEKUA NI SHEREHE PAMOJA NA MATAMASHA YA KUGAWINA PESA NA KUSIFIA "mama anaweza", "mama amefanya", "mama mitano tena"

NGOJA NA MIMI NIANDIKE MAKALA " Watanzania tupande miti" kisha nipewe mil10 pamoja na safari ya anasa huko ughaibuni kwa baideni nikale bata kidogo.
 
Hatuchezi😂
 
Mtazusha yoooooote, lakini ukweli utabaki pale pale; amejitahidi haswaaa. Asiye na mtu ana Mungu'!!!!
 
Utadhani hiyo hali imeanza aliposhika yeye madaraka!!! Kumbe hali iko hivyo hata walipokuwepo hao wanaume watano waliomtangulia
 
Back
Top Bottom