Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,697
- 106,861
Then kama mtu hajitamvua how she/he worth tunamwitaje.. labda hajui potential yakehapana.hata unachodhani umemzidi hujamzidi.
kwa sababu umesema wewe,sio watu wengine.
Then kama mtu hajitamvua how she/he worth tunamwitaje.. labda hajui potential yakehapana.hata unachodhani umemzidi hujamzidi.
kwa sababu umesema wewe,sio watu wengine.
Kweli kabisa mkuu sijui hata kwanini yuko rigid vile.kweli Kiba anazingua, yani hayupo flexible kabisa!
Hicho nilichokitaja!
Anakua anawatumia mara mbili,moja kama meneja,mbili kama mgegedo wa free PMbona anapenda mameneja wanawake tu?
Hajitambui afu anawanyima usingizi hahahahaaaa asiyejitambua ni yule asiyeelewana na babake na wazaz wenzake wote wawili not KING KIBAUsipo jitambua nani atakutambua???
Alikiba hajitambui....
Ndio nacho ni kujitambua ,abdu kiba umenisoma au Sauti ni ndogo.........?Kuna kitu ambacho unamzidi?
Kila mtu ana maisha yake na ni muhimu kutambua....ila i once said " Kinachomuangusha huyu bwana ni uswahili uswahili huku akidhani ndio soko linavyotaka" !
Kanuni ya masoko inasema "zalisha kwa ajili ya soko, usizalishe kwa ajili yako"
labda tunamlazimisha kiba aishi maisha ambayo yeye binafsi haoni kama kuna haja.
kiba amefanikiwa lakini nina uhakika sio kupitia music,so bado anauchukulia music kama hobie tu.tusimlazimishe,kwanza tunamzungumzia mpaka anapata kick.