Malumbano kati ya Msanii Alikiba na Meneja wake (Seven Mosha) juu ya mwenendo wa Alikiba hasa utoaji wa nyimbo yatapelekea Seven kufukuzwa?

labda tunamlazimisha kiba aishi maisha ambayo yeye binafsi haoni kama kuna haja.

kiba amefanikiwa lakini nina uhakika sio kupitia music,so bado anauchukulia music kama hobie tu.tusimlazimishe,kwanza tunamzungumzia mpaka anapata kick.
 
Denvers, mtu mpaka amepata mafanikio aliyo nayo unasemaje hajitambui??

labda kama kutojitambua ni sababu ya kufanikiwa kwake na si vinginevyo.
 
Meneja mpya wa Kiba anatakiwa awe na uzoefu na maswala ya kandanda, na sio music

#steven karibu usafini.
 
Kakiba ni kapumbavu sana zamani..kalivyokuwa kanaishi kariakoo hata kujichanganya na wana ilikua kazi yeye kukaa ndani tu kuangalia movie na kina Zabibu
 
Kila mtu ana maisha yake na ni muhimu kutambua....ila i once said " Kinachomuangusha huyu bwana ni uswahili uswahili huku akidhani ndio soko linavyotaka" !

Kanuni ya masoko inasema "zalisha kwa ajili ya soko, usizalishe kwa ajili yako"

Hakika
 
labda tunamlazimisha kiba aishi maisha ambayo yeye binafsi haoni kama kuna haja.

kiba amefanikiwa lakini nina uhakika sio kupitia music,so bado anauchukulia music kama hobie tu.tusimlazimishe,kwanza tunamzungumzia mpaka anapata kick.

Pengine kweli lakini sijaona mafanikio yake nje ya Music!
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom