mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,867
- 8,271
Kwa anayejua utaratibu wa kupakia mizigo ya nyumbani kwenye maloli yanayoenda Kyela,Mbeya je kwanza huwa yanaegeshwa wapi hapa jijini Dar na gharama zake zikoje?na uaminifu kwenye kufikisha mizigo ukoje.Mwenzenu naisoma namba kwa hiyo nimeamua kujirudia zangu kijijini kuanzisha kilimo cha mihogo.