Maloli/Fuso za kubeba mizigo kwenda Kyela mbeya

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,253
Kwa anayejua utaratibu wa kupakia mizigo ya nyumbani kwenye maloli yanayoenda Kyela,Mbeya je kwanza huwa yanaegeshwa wapi hapa jijini Dar na gharama zake zikoje?na uaminifu kwenye kufikisha mizigo ukoje.Mwenzenu naisoma namba kwa hiyo nimeamua kujirudia zangu kijijini kuanzisha kilimo cha mihogo.
 
Nenda kidogo chekundu utapata utaratibu kule zipo Lori au Fuso za kutosha au fika Soko la ndizi hapo Tandale Mkuu
 
Pale Jangwani pia huwa nayaona malori mengi tu jaribu kwenda kuulizia kiongozi.
 
Kwa anayejua utaratibu wa kupakia mizigo ya nyumbani kwenye maloli yanayoenda Kyela,Mbeya je kwanza huwa yanaegeshwa wapi hapa jijini Dar na gharama zake zikoje?na uaminifu kwenye kufikisha mizigo ukoje.Mwenzenu naisoma namba kwa hiyo nimeamua kujirudia zangu kijijini kuanzisha kilimo cha mihogo.
Gharama so kali Sana, unaweza lipia 70,000/- hadi 100,000/-
 
Kidongo chekundu kariakoo wapo, wanabeba mizigo ya wafanyabiashara wa Kyela na Tukuyu , hata mimi nimewahi safirisha tani 2 kwa 140,000
 
Siku hiz wametolewa pale kidongo chekundu wopo jangwani pale hata ukitaka za kwenda kwenu Nyasa zote zipo.,
 
Back
Top Bottom