Malkia Elizabeti Uingereza ni Mungu!

Malkia Elizabeti Uingereza ni Mungu!

Unashangaa ya malkia Tanzania kuna dini humwabudu Raisi wa Zamani wa marekani George Bush jnr kama Mungu Na Agustino Lyatonga Mtema kama Mtume Na nabii wa Mungu George Bush.Na ina wafuasi wenye majina Na hadhi kubwa Tanzania.Inaongozwa Na Bibi mmoja wa Mbeya Bush Na Mtema sijui kama wanalijua hilo.
Isee hii ndio mara ya kwanza kuisikia liko wapi kanisa hilo nikajumuike
 
akili za wana ccm utazijua tu, mara MUNGU, mara MUNGU mbariki malkia,
 
Hauruhusiwi kumshika na hata akisalimiana na Binadamu anatumia ,,gloves” maalumu, sababu ni kwamba yeye ni Mungu au ni muwakikishi wa Mungu, Malkia Elizabeti ndiye Mkuu wa Kanisa la Uingereza au ,,anglican church” , ni kama vile Baba Mtakatifu wwnu Papa alivyo mkuu wa Ukatoliki, hata wimbo wa Taifa wa Uingereza unasema ,,god bless the queen” maana yake kupitia yeye Malkia wote mmebarikiwa.

Kama unaamini Papa anateuliwa na Mungu kukuongoza kwa nini isiwe Malkia Elizabeti ambaye ans nafasi sawa na Papa kwenye Kanisa la Uingereza?
God bless the Queen ni mungu mmbariki malkia na sio kwa maana uliyotoa hapo
 
Back
Top Bottom