Malizia sentensi hii uonavyo.....

....nchi ikitawaliwa na Chama ambacho watawala wake hawajui kwanini watanzania ni masikini!
 
cpendi kuona...Simba wakif****wa na kuto***wa na TP Mazembe....


Yaani wakifungwa na kutolewa.

Lakini nimeona.
 
Waislam wakiungana na kuivunja bakwata na kuwa na chombo kimoja ili wawe na umoja wa mipango endelevu ktk elimu afya
 
Back
Top Bottom