Malizia sentensi hii uonavyo.....

Malizia sentensi hii uonavyo.....

cpendi kuona...Simba wakif****wa na kuto***wa na TP Mazembe....


Yaani wakifungwa na kutolewa.

Lakini nimeona.

hapa! Sijui mbona hizi nukta za chini zinazidi maneno tajwa?
 
....Watu wakitumia vibaya uhuru wa kutoa maoni kwa kusema hovyo hovyo!
 
viongozi wa nchi tajiri kama Tanzania wakiwaambia wananchi wao ni maskini
 
Maelfu ya watu wakiamini kunywa kikombe kimoja kitawaponya saratani na ukimwi.
 

Katiba ikiandikwa kwa matakwa ya watawala badala ya matakwa ya wananchi
 
trafiki ananisimamisha barabarani
 
Mwanamke akizaa nje ya ndoa na kumsingizia mumewe amefanana na mtoto.
 
Back
Top Bottom