Malisa GJ: Rais Samia anawakaanga MATAGA

Hapa Dj Mbowe ameumia sana kuona Mama Samia hayuko tayari kumsaliti Magufuli.
Mbowe amefoka Twita kwa uchungu sana.
Sidhani kama ataenda kwenye hicho kikao atakachoitwa ikulu.

Nyumbu ni nyumbu kwa akili ya Malisa anqdhqni Samia ni rais anayetokana na Chadema!!!
Mfate magu kaburini anaoza huko.
 
Siasa za vyama vya upinzani zinasikitisha sana,sioni dalili za chama cha upinzani kushika Dola.

Kutokana na katiba yetu na baadhi ya sheria zetu,zinaweka mazingira magumu ya demokrasia ya vyama vingi,kiasi kwamba hakuna usawa katika mizani ya ushindani.

Kwenye awamu ya tatu wapinzani walikuja na baadhi ya madai ya kimsingi kabisa,wakitaka mabadiliko ya katiba na mabadiliko ya baadhi ya sheria za jamhuri na kanuni zinazosimamia sheria mbalimbali hasa za kiuchaguzi ili kuweka mizani ya kidemokrasia sawa.

Matokeo hatukuyaona zaidi waliishia kuvurugana tu,wakigombea ruzuku mwisho kusambaratika kabisa,hadi kufika uchaguzi wa 2005,hawakuwa na mgombea urais mwenye nguvu wala hawakuwa na agenda inayoeleweka hivyo hata madai yao kukosa nguvu,hivyo mgombea Urais wa CCM wakati huo mh. Kikwete kushinda kiulaini kabisa.

Katika miaka mitano ya kwanza ya awamu ya nne,wakaachana na madai ya katiba,na marekebisho ya sheria za uchaguzi na kanuni zake!!wakaja na agenda ya kuibua ufisadi iliyoasisiwa na katibu mkuu wa chadema enzi hizo DK Slaa.Agenda hio ikapata umaarufu sana,wananchi wakawaelewa,uchaguzi wa mwaka 2010 wakaleta changamoto kubwa kwa chama cha mapinduzi japo walishindwa ila walipata wabunge si haba.

Miaka mitano ya pili ya awamu ya nne wakaibua agenda yao ya toka awamu ya tatu, ya kutaka mabadiliko ya katiba wakaanzisha maandamano nchi nzima, mpaka mh.kikwete akakubali mchakato wa mabadiliko ukaanza,japokuwa walishindwa kujipanga vizuri mchakato ukafia njiani,tena mmoja wa aliesababisha mchakato ufie njiani ndie alikuja kuwa mgombea wao wa Urais mwaka 2015, na mwingine leo ndio mh. Rais wa jamhuri ya muungano wa awamu ya sita.

Mwaka 2015,kwenye uchaguzi mkuu katika hali isiyo ya kawaida dakika za mwisho kuelekea uchaguzi!! wakaleta mtu ambae wengi hawakutalajia ambae amekulia na kulelewa kwenye chama cha mapinduzi,ambae siku zote walikuwa wanamsema ni fisadi mkubwa.

Mtu mliekuwa mnamsema ni fisadi,mnamleta ili asimamie agenda yenu ya kukomesha ufisadi!!maajabu makubwa!! Mwisho wa siku wakokosa agendas ya kusimamia kwenye uchaguzi,wakaishia kuvurugana na mwisho kupoteza uchaguzi wenyewe, na CCM kuibuka mshindi kupitia kwa mgombea wake Hayati Magufuli.

Miaka mitano ya kwanza ya awamu ya tano, ilikuwa migumu sana kwao maana walikosa kabisa agenda,licha ya kupata wabunge wengi wakakosa namna ya kujipanga wakawa wanatoka bungeni hovyo bila sababu,wakakosa mbinu ya kupambana na utawala wa Hayati Magufuli,ambae alionyesha kutekeleza mambo mengi hivyo wananchi wengi walijenga imani nae,hasa baada ya wao kushindwa kusimamia agenda yao ya ufisadi waliokuwa Wana jaribu kuihubiri miaka yote.

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020,japokuwa walikuwa na mgombea mzuri upande wa chadema ila walikuwa hawana sera zinazoeleweka,zaidi mgombea wao alikuwa anahubiri tu madhara yaliyompata kutokana na kupinga sera za Hayati Magufuli!!kuliko kuwaeleza wananchi hatawafanyia nn?!!kuwaletea maendeleo.

Tunajua uchaguzi huo ulikuwa na changamoto kubwa sana,ila changamoto zingine zilisababishwa na wao kushindwa kujipanga na hasa kujifunza CCM uwa inafanya nini hasa inapokaribia kwenye uchaguzi mkuu!!walitegemea CCM ipate mpasuko,wanasahau CCM ndio mabingwa wa sayansi ya siasa. Na ili kukabiliana nao inabidi ufanye siasa za kisayansi zaidi pia ili uweze kuwashinda.

Leo tunaona wengi wa wapinzani wakishangilia kuondoka kwa mtawala wa awamu ya tano, Hayati Magufuli,ila wanasahau kuwa CCM ni ile ile ambayo inajibadili kama kinyonga,mama yetu mh.Rais Samia,kipindi cha kampeini uko mbeya alinukuliwa akisema kuwa:hata wananchi wasipoipigia CCM kura lakini wajue ndio itakayotangazwa na ndio itakayoongoza serikali!!na kweli tuliona CCM ikitangazwa kushinda katika baadhi ya majimbo na kata katika mazingira yaliyozua maswali mengi.

Lakini leo hii wapinzani hao hao ndio wanaomshangilia mama mh.Rais wakidai wana imani nae sana,hasa baada ya hotuba yake,pale aliposema atawaita ikulu waje wajadiliane nae!! Sasa maswali ni mengi je mama mh.Rais.hajui madai yao?!!je toka waanze kwenda ikulu enzi za mh kikwete ni nini walichokuwa wanajadili mpaka leo hawajawahi kupata muafaka?!!je sio kwamba ni mbinu za kisayansi za CCM kupoozesha washindani wake?!!

Wapinzani hawana agenda kiasi cha kutaka huruma ya mtawala ili wafanye siasa zao?!! Maswali ni mengi ila tunachoweza kuona ni kuwa wapinzani bado hawajawa na watu wakufanya siasa za kweli,wanachotaka tu ni huruma za mtawala ili wapate ruzuku na opportunities nyingine za kisiasa kwa manufaa yao na familia zao kwa mgongo wa upinzani.
A.k.a Taga kubwa. Umeandika pumba tupu.
 
Kwa jicho la tatu ni kama nchi inapumua sasa, mwendazake aende zake nchi ilikosa hewa wewe unavuta pure oxygen na ka kikundi kake ka watekaji na wauaji.
 
naamini ukosoaji ukizidi kuliko uwezo wa kujirekebisha na kuficha makosa ya kukosolewa.

Watu watabinywa tu kwa kuchoma sindano na kupuliza kama awamu za nyuma kabla ya Baba lao.

Hakunaga nchi kila mtu anabwabwaja tu alafu anaangaliwa. Tofauti ni jinsi anavyonyamazishwa tu. Hata snowden na assange walishughulikiwa na baba la demo

Aiseeh!!! mzee Baba salute kwako,mashabiki wa siasa za Bongo mihemko mingi kuliko tafakuri!!
 
Inafanana na mlipowahi kusema Magufuli ni best president na anafuata sera za chadema...

Hii ilikuwa kumponda JK.

Soon mkamgeuka na kumuita dikteta.

Nasubiri mlete chorus "Afwadhali ya Magufuli"
Malisa amemaliza kila kitu! Ushamba na ujinga ni Tatizo sana Kwa mataga
 
Yani sas hivi vijana wa bavicha wanademka balaa!

Bila shaka sasa tuko o
Pamoja katika kujenga nchi hakuna cha Lisu wala beberu wake amsterdam
 
Chadema wana bahati mbya ya raslimali watu.......poleni sana watani zetu!
... ambao JPM alitumia mamilioni ya fedha za walipa kodi kuwanunua

Hakuishia hapo JPM ambae alikua na akili za JIWE kama alivyojinasibu akafikia hatua ya kununua rasilimali watu ya CHADEMA kwa gharama kubwa sana ya kuvunja KATIBA ya nchi plus kiasi kikubwa cha pesa (Ref: Wabunge wa COVID-19)

Hapa namaanisha bei yao ilikua kubwa sana kiasi pesa pekee hazikutosha ikabidi katiba isiginwe ili kufikia bei ya hao Jamaa kana kwamba hiyo haokutosha yaani PESA na KATIBA ikabidi wapewe vyeo ambavyo UVCCM waliosugua matako Lumumba kwa miaka zaidi ya 30 hawajawahi hata kuota kupata vyeo hivyo (Ref: Mwita Waitara, Godwin Mollel)

Kwa haliyo hivi utashindwa kuamini kuna wengine bei yao ilikua kubwa sana kiasi walishindwa kufika bei ili kumaliza biashara kwa sababu hao bei yao ilikua ni DEMOKRASIA ambayo CCM hawakua na hiyo kitu kwahiyo wakashindwa (Ref: Mbowe, Lissu)
 
... ambao JPM alitumia mamilioni ya fedha za walipa kodi kuwanunua

Hakuishia hapo JPM ambae alikua na akili za JIWE kama alivyojinasibu akafikia hatua ya kununua rasilimali watu ya CHADEMA kwa gharama kubwa sana ya kuvunja KATIBA ya nchi plus kiasi kikubwa cha pesa (Ref: Wabunge wa COVID-19)

Hapa namaanisha bei yao ilikua kubwa sana kiasi pesa pekee hazikutosha ikabidi katiba isiginwe ili kufikia bei ya hao Jamaa kana kwamba hiyo haokutosha yaani PESA na KATIBA ikabidi wapewe vyeo ambavyo UVCCM waliosugua matako Lumumba kwa miaka zaidi ya 30 hawajawahi hata kuota kupata vyeo hivyo (Ref: Mwita Waitara, Godwin Mollel)

Kwa haliyo hivi utashindwa kuamini kuna wengine bei yao ilikua kubwa sana kiasi walishindwa kufika bei ili kumaliza biashara kwa sababu hao bei yao ilikua ni DEMOKRASIA ambayo CCM hawakua na hiyo kitu kwahiyo wakashindwa (Ref: Mbowe, Lissu)
 
naamini ukosoaji ukizidi kuliko uwezo wa kujirekebisha na kuficha makosa ya kukosolewa.

Watu watabinywa tu kwa kuchoma sindano na kupuliza kama awamu za nyuma kabla ya Baba lao.

Hakunaga nchi kila mtu anabwabwaja tu alafu anaangaliwa. Tofauti ni jinsi anavyonyamazishwa tu. Hata snowden na assange walishughulikiwa na baba la demo

Naona unataka kutakatisha matendo ya dhalimu, lakini shida ni kuwa hayafit kwenye tabia za mama.
 
Dig Deeper-Hotuba ya Mama

Na Malisa GJ

Kimsingi mama anaisuka Tanzania mpya, lakini hataki sindano iwaume sana wale chawa wa mwendazake, hivyo anachoma halafu anawapuliza kwa kuwaambia kuwa yeye na mwendazake ni kitu kimoja.

Wakishangilia anaongeza sindano nyingine. Wakishtuka anapuliza tena anawaambia mwendo ni uleule alioacha mwendazake. Wanabwatuka tena kushangilia, anaongeza sindano nyingine. Yani mama ana akili sana.

#Mosi; Ameahidi kuimarisha uhusiano wa kimataifa na kufungua balozi mpya kwenye nchi mbalimbali. Uhusiano wetu kimataifa uliingia doa kwa miaka 6 ya mwendazake. Tulifeli ktk diplomasia. Yeyote aliyekua na mawazo tofauti na sisi tulimuita beberu. Hatukutaka kuchangamana na dunia hata vikao vikubwa kama WEF au UN hatukutaka kushiriki. Tulikosa exposure nyingi ambazo zingetusaidia kupiga hatua.

Mama kasema uhusiano utaimarishwa. Hakuna tena "blahblah" za mabeberu. Tutashirikiana na mataifa mengine kwa maslahi mapana ya Tanzania yetu. Dunia inasogea sisi hatuwezi kubaki nyuma. Kwa hiyo lazima tushirikiane na dunia lakini kwa kulinda maslahi yetu, bila kukubali masharti yatakayoharibu utu wetu. Yeyote anayetaka kushirikiana na sisi aheshimu misingi yetu ya utaifa.

Hiki ni kitu ambacho tumeshauri kwa muda mrefu lakini mwendazake hakutaka kabisa kushauriwa. Leo mama amefanya yaleyale ambayo tulishauri, lakini ili kuwapooza "chawa" akasema yeye na mwendazake ni kitu kimoja. Wakashangilia.

#Pili; Mama ameahidi kuukuza demokrasia na utawala wa sheria. Na katika kuonesha anamaanisha AMEOMBA WATANZANIA WAIKOSOE SERIKALI. Hili ni jambo kubwa sana. Yani Rais wa nchi anawaomba wananchi mkosoe serikali. Haijawahi kutokea. Mama kaweka rekodi. Mwendazake hajawahi kukubali kukosolewa, achilia mbali kuomba wananchi wamkosoe. Hiyo kwake ilikua "future imposible tense".

Ukosoaji ulikua ni dhambi kubwa hata kama unakosoa kwa nia njema. Muulize mdogo wangu Kumbusho Dawson alipokosoa ujenzi wa mabweni baada ya kupata nyufa nini kilimtokea? Kuna watu wamefungwa wengine wamepigwa, na kufanyiwa vitendo vya kikatili kwa sababu tu ya kukosoa serikali.

Leo Mama kasema kukosoa ruksa. Hii ni ishara kwamba anapenda mawazo mbadala. Kwahiyo wakosoaji tumepewa ruksa ya kujiachia ili mradi tusivunje sheria za nchi. Tukosoe kwa misingi ya kujenga (constructive critisism). Hii ni sindano kali kwa chawa lakini ili kuwapooza akawaambia mimi na mwendazake ni kitu kimoja. Wakashangilia.

#Tatu; Mama kaonesha nia ya maridhiano kwa kukubali ombi la viongozi wa upinzani kukutana nae. Amesema atakutana nao muda mfupi kuanzia sasa. Hii ni habari njema maana nchi hii ni yetu sote na inahitaji mawazo ya kila upande ili kupiga hatua. Wakati wa mwendazake kuna watu walijimilikisha nchi. Wakajiona wao ni wenye nchi na wengine ni wapangaji. Wakaamini wao ndio wenye haki ya kutoa maoni, na si mtu mwingine yeyote.

Sasa Mama kasema atakutana na viongozi wa upinzani kwa ajili ya maridhiano, ili tusonge mbele tukiwa wqmoja. Nachowashauri kwenye meza ya maridhiano wasisahau Katiba mpya. Mchakato uendelee pale kwenye rasimu ya Warioba. Akifanya hivyo ataacha legacy kubwa sana kwa taifa hili. Katiba mpya pia itatupa Tume huru ya uchaguzi na mengine mengi kwa maslahi ya taifa letu.

Mwendazake hakutaka maridhiano kabisa na hata viongozi wa upinzani walipomuomba kukutana nae aliwapuuza. Chawa wakatukana upinzani eti mlizoea kuitwa Ikulu kwenda kunywa juice wakati wa JK lakini JPM hana muda huo, yuko busy kujenga SGR. Sasa mama kasema SGR itajengwa na Ikulu tutaitwa. Na safari hii hatutakunywa juice tu, hadi futari tutakula. Na tukitoka tutawaambia mama na mwendazake ni kitu kimoja ili mpige nduru 🤣.

#Nne; Mama amevihakikishia vyombo vya habari uhuru wao. Mambo ya waandishi kukamatwa, kupigwa, kutekwa, yamefika mwisho. Vyombo vipo huru kuandika na kuripoti habari yoyote yenye maslahi kwa taifa ili mradi vinafuata sheria za nchi. Mwendazake alizika kabisa uhuru wa vyombo vya habari, tangu alipowaambia "hamna freedom to that extent". Mama kafungua huo mnyororo rasmi kuanzia leo.

#Tano; Mama ameahidi kuboresha maslahi ya watumishi wa umma, kwa kupandisha vyeo na mishahara. Huu ni mfupa uliomshinda mwendazake. Kwa zaidi ya miaka 6 watumishi hawakupandishwa madaraja wala kuongezewa mshahara. Kila walipolalamika walijibiwa kwa kejeli kama hawataki kazi waache.

RC mmoja akasema eti angewachapa viboko. Unamchapaje viboko mtu anayedai haki yake ya kisheria? Nyongeza ya mshahara sio huruma ya kiongozi ni matakwa ya kisheria. Lakini watumishi wamedhulumiwa haki hiyo kwa miaka 6 bila huruma. Sasa mama amesema imetosha. Ameamua kuwafuta machozi.

Sambamba na hilo mama pia ameahidi ajira mpya. Katika ajira hizo walimu ni 6,000. Hapa ningependa nimshauri kidogo. Kwanini serikali inataka kuajiri walimu 6,000 wakati mahitaji ni 40,000? Idadi ya walimu waliohitimu tangu mwaka 2015 hadi sasa ni 45,000, deficit ya walimu ni 40,000. Sasa kwanini ajira 6,000? Si waajiriwe tu wote?

#Sita; Kuhusu uwezeshaji kwa vijana mama amesisitiza halmashauri ziendelee kutenga 10% ya bajeti yake kwa ajili ya mikopo kwa vijana na wenye ulemavu. Hapa ningemshauri aunde timu ya ufuatiliaji. Je halmashauri ngapi hufanya hivyo? Na je hufanya kwa kiwango kinachotakiwa? Kwa mfano kwa mwaka wa fedha 2019/20 halmashauri ya Manispaa ya Temeke ilipitisha bajeti ya Bilioni 48, ambapo Bilioni 4.8 zilipaswa kutengwa kwa ajili ya vijana. Lakini kiasi kilichotengwa kwa ajili ya vijana hakifiki hata 500M. Kuna haja ya ufuatiliaji.

#Saba; Kuhusu ATCL mama amekubali kuwa shirika linajiendeaha kwa hasara, sawa na ripoti ya CAG inavyosema. Hii ina maana zile story za mwendazake kwamba ATCL inapata faida hadi inatoa gawio serikalini zilikua drama tu. Mama ameahidi kuliwezesha shirika kwa kuliongezea mtaji, na kulifutia baadhi ya madeni ili lijiendeshe kwa tija.

Hii ndio sifa ya kiongozi bora. Unakubali penye mapungufu na unaweka mipango ya kusolve mapungufu hayo. Sio unatupiga sound kwamba shirika linatoa gawio wakati lipo hoi bin taaban.

#Nane; Mama amezungumzia kifo cha Magufuli. Amesisitiza tena kwamba kilitokana na tatizo la moyo na si vinginevyo. Amesema kuna watu wanaotoa taarifa za uchonganishi mitandaoni kuhusu kifo cha Magufuli. Amewataka watu hao waache mara moja uchonganishi huo.

Wengi tumesikia wachonganishi hao ambao wamejirekodi sauti na kusambaza kwenye mitandao wakitunga "hadithi" kuhusu hicho. Bila shaka watu hao ni wale waliomtumaini JPM kwa moyo na akili zao zote na kudhani hawezi kufa. Wakasahau kwamba nae ni mwanadamu kama sisi.

Watu hao kwa sasa wapo kwenye "denial" na ndio wanahaha kutunga story za kuchonganisha viongozi. Mama amewaomba muache. Kumbukeni ombi la mama ni amri. Sasa kama hamtaki kusikia msije kujilaumu. Achaneni na hizo drama. Ukurasa wa JPM umeshafungwa na sasa ni zamu ya Samia. Tumpe nafasi!
Mkuu naona kama Mh Lissu anaguswa na hili naye ni MATAGA siku hizi?
 
What nonsense is this mbona havihusiani na nilivyokueleza kutokana fikra zako potofu kuhusu Rasilimali Watu CHADEMA ...

Haya basi tufanye hiyo link uliyoniattach inahusika sasa huyo Jahili MAGUFULI ameyaokoa vipi hayo maisha ya watu mbona huyo aliyekua Raisi mwenza amegeuka response ya aliyekua mtangulizi wake ???

Kama kweli aliokoa maisha ya watu leo hii SSH asingekwenda tofauti na sera hiyo kama ndio ilikua response nzuri shwaini mkubwa weee

Waramba viatu wa Lumumba bana nyuso zimewashuka mnaona haya hamjui hatamshangilie lipi kwa SSH

Mmetahayari kwa aibu yooote tuliyokuwa tunayapigia kelele humu ndio haya SSH kayaokota na katangaza kuanza nayo na kuyafanyia kazi sasa hamjielewi mumshangile yeye au mtushangilie sisi PUMBAVU ZENU acheni akili mgando

Mkielezwa na werevu muelewe acheni ubishi Mxieusssszzzz!!!

NDEBILE Mkubwa weee $#%&*^/=÷#@
 
Ha
Haya ni mawazo ya Malisa,kilamtu ana mawazo yake hata mwenyekiti jana alitweet mawazo yake ambayo ni tofauti na haya ya Malisa.
L
Dig Deeper-Hotuba ya Mama

Na Malisa GJ

Kimsingi mama anaisuka Tanzania mpya, lakini hataki sindano iwaume sana wale chawa wa mwendazake, hivyo anachoma halafu anawapuliza kwa kuwaambia kuwa yeye na mwendazake ni kitu kimoja.

Wakishangilia anaongeza sindano nyingine. Wakishtuka anapuliza tena anawaambia mwendo ni uleule alioacha mwendazake. Wanabwatuka tena kushangilia, anaongeza sindano nyingine. Yani mama ana akili sana.

#Mosi; Ameahidi kuimarisha uhusiano wa kimataifa na kufungua balozi mpya kwenye nchi mbalimbali. Uhusiano wetu kimataifa uliingia doa kwa miaka 6 ya mwendazake. Tulifeli ktk diplomasia. Yeyote aliyekua na mawazo tofauti na sisi tulimuita beberu. Hatukutaka kuchangamana na dunia hata vikao vikubwa kama WEF au UN hatukutaka kushiriki. Tulikosa exposure nyingi ambazo zingetusaidia kupiga hatua.

Mama kasema uhusiano utaimarishwa. Hakuna tena "blahblah" za mabeberu. Tutashirikiana na mataifa mengine kwa maslahi mapana ya Tanzania yetu. Dunia inasogea sisi hatuwezi kubaki nyuma. Kwa hiyo lazima tushirikiane na dunia lakini kwa kulinda maslahi yetu, bila kukubali masharti yatakayoharibu utu wetu. Yeyote anayetaka kushirikiana na sisi aheshimu misingi yetu ya utaifa.

Hiki ni kitu ambacho tumeshauri kwa muda mrefu lakini mwendazake hakutaka kabisa kushauriwa. Leo mama amefanya yaleyale ambayo tulishauri, lakini ili kuwapooza "chawa" akasema yeye na mwendazake ni kitu kimoja. Wakashangilia.

#Pili; Mama ameahidi kuukuza demokrasia na utawala wa sheria. Na katika kuonesha anamaanisha AMEOMBA WATANZANIA WAIKOSOE SERIKALI. Hili ni jambo kubwa sana. Yani Rais wa nchi anawaomba wananchi mkosoe serikali. Haijawahi kutokea. Mama kaweka rekodi. Mwendazake hajawahi kukubali kukosolewa, achilia mbali kuomba wananchi wamkosoe. Hiyo kwake ilikua "future imposible tense".

Ukosoaji ulikua ni dhambi kubwa hata kama unakosoa kwa nia njema. Muulize mdogo wangu Kumbusho Dawson alipokosoa ujenzi wa mabweni baada ya kupata nyufa nini kilimtokea? Kuna watu wamefungwa wengine wamepigwa, na kufanyiwa vitendo vya kikatili kwa sababu tu ya kukosoa serikali.

Leo Mama kasema kukosoa ruksa. Hii ni ishara kwamba anapenda mawazo mbadala. Kwahiyo wakosoaji tumepewa ruksa ya kujiachia ili mradi tusivunje sheria za nchi. Tukosoe kwa misingi ya kujenga (constructive critisism). Hii ni sindano kali kwa chawa lakini ili kuwapooza akawaambia mimi na mwendazake ni kitu kimoja. Wakashangilia.

#Tatu; Mama kaonesha nia ya maridhiano kwa kukubali ombi la viongozi wa upinzani kukutana nae. Amesema atakutana nao muda mfupi kuanzia sasa. Hii ni habari njema maana nchi hii ni yetu sote na inahitaji mawazo ya kila upande ili kupiga hatua. Wakati wa mwendazake kuna watu walijimilikisha nchi. Wakajiona wao ni wenye nchi na wengine ni wapangaji. Wakaamini wao ndio wenye haki ya kutoa maoni, na si mtu mwingine yeyote.

Sasa Mama kasema atakutana na viongozi wa upinzani kwa ajili ya maridhiano, ili tusonge mbele tukiwa wqmoja. Nachowashauri kwenye meza ya maridhiano wasisahau Katiba mpya. Mchakato uendelee pale kwenye rasimu ya Warioba. Akifanya hivyo ataacha legacy kubwa sana kwa taifa hili. Katiba mpya pia itatupa Tume huru ya uchaguzi na mengine mengi kwa maslahi ya taifa letu.

Mwendazake hakutaka maridhiano kabisa na hata viongozi wa upinzani walipomuomba kukutana nae aliwapuuza. Chawa wakatukana upinzani eti mlizoea kuitwa Ikulu kwenda kunywa juice wakati wa JK lakini JPM hana muda huo, yuko busy kujenga SGR. Sasa mama kasema SGR itajengwa na Ikulu tutaitwa. Na safari hii hatutakunywa juice tu, hadi futari tutakula. Na tukitoka tutawaambia mama na mwendazake ni kitu kimoja ili mpige nduru 🤣.

#Nne; Mama amevihakikishia vyombo vya habari uhuru wao. Mambo ya waandishi kukamatwa, kupigwa, kutekwa, yamefika mwisho. Vyombo vipo huru kuandika na kuripoti habari yoyote yenye maslahi kwa taifa ili mradi vinafuata sheria za nchi. Mwendazake alizika kabisa uhuru wa vyombo vya habari, tangu alipowaambia "hamna freedom to that extent". Mama kafungua huo mnyororo rasmi kuanzia leo.

#Tano; Mama ameahidi kuboresha maslahi ya watumishi wa umma, kwa kupandisha vyeo na mishahara. Huu ni mfupa uliomshinda mwendazake. Kwa zaidi ya miaka 6 watumishi hawakupandishwa madaraja wala kuongezewa mshahara. Kila walipolalamika walijibiwa kwa kejeli kama hawataki kazi waache.

RC mmoja akasema eti angewachapa viboko. Unamchapaje viboko mtu anayedai haki yake ya kisheria? Nyongeza ya mshahara sio huruma ya kiongozi ni matakwa ya kisheria. Lakini watumishi wamedhulumiwa haki hiyo kwa miaka 6 bila huruma. Sasa mama amesema imetosha. Ameamua kuwafuta machozi.

Sambamba na hilo mama pia ameahidi ajira mpya. Katika ajira hizo walimu ni 6,000. Hapa ningependa nimshauri kidogo. Kwanini serikali inataka kuajiri walimu 6,000 wakati mahitaji ni 40,000? Idadi ya walimu waliohitimu tangu mwaka 2015 hadi sasa ni 45,000, deficit ya walimu ni 40,000. Sasa kwanini ajira 6,000? Si waajiriwe tu wote?

#Sita; Kuhusu uwezeshaji kwa vijana mama amesisitiza halmashauri ziendelee kutenga 10% ya bajeti yake kwa ajili ya mikopo kwa vijana na wenye ulemavu. Hapa ningemshauri aunde timu ya ufuatiliaji. Je halmashauri ngapi hufanya hivyo? Na je hufanya kwa kiwango kinachotakiwa? Kwa mfano kwa mwaka wa fedha 2019/20 halmashauri ya Manispaa ya Temeke ilipitisha bajeti ya Bilioni 48, ambapo Bilioni 4.8 zilipaswa kutengwa kwa ajili ya vijana. Lakini kiasi kilichotengwa kwa ajili ya vijana hakifiki hata 500M. Kuna haja ya ufuatiliaji.

#Saba; Kuhusu ATCL mama amekubali kuwa shirika linajiendeaha kwa hasara, sawa na ripoti ya CAG inavyosema. Hii ina maana zile story za mwendazake kwamba ATCL inapata faida hadi inatoa gawio serikalini zilikua drama tu. Mama ameahidi kuliwezesha shirika kwa kuliongezea mtaji, na kulifutia baadhi ya madeni ili lijiendeshe kwa tija.

Hii ndio sifa ya kiongozi bora. Unakubali penye mapungufu na unaweka mipango ya kusolve mapungufu hayo. Sio unatupiga sound kwamba shirika linatoa gawio wakati lipo hoi bin taaban.

#Nane; Mama amezungumzia kifo cha Magufuli. Amesisitiza tena kwamba kilitokana na tatizo la moyo na si vinginevyo. Amesema kuna watu wanaotoa taarifa za uchonganishi mitandaoni kuhusu kifo cha Magufuli. Amewataka watu hao waache mara moja uchonganishi huo.

Wengi tumesikia wachonganishi hao ambao wamejirekodi sauti na kusambaza kwenye mitandao wakitunga "hadithi" kuhusu hicho. Bila shaka watu hao ni wale waliomtumaini JPM kwa moyo na akili zao zote na kudhani hawezi kufa. Wakasahau kwamba nae ni mwanadamu kama sisi.

Watu hao kwa sasa wapo kwenye "denial" na ndio wanahaha kutunga story za kuchonganisha viongozi. Mama amewaomba muache. Kumbukeni ombi la mama ni amri. Sasa kama hamtaki kusikia msije kujilaumu. Achaneni na hizo drama. Ukurasa wa JPM umeshafungwa na sasa ni zamu ya Samia. Tumpe nafasi!
Halafu huyu Malisa uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana.Anachojua ni kuandika maandishi mengi yaliyojaa pumba tupu.Upupu wa Malisa ni pale anapojaribu kutuhaminisha kwa kujifariji kuwa,sasa mama SSH ,yupo pamoja na wapinzani sio mwana CCM .Huu ni ujinga na upumbavu ,mkubwa.Ni uchambuzi hewa wa ndotoni.Huyu atakuja ten,miaka minne ijayo ,akimponda mama Samia.
 
Subirini muda mfupi atakapopewa uenyekiti wa ccm hamtaandika uzi za namna hii.
 
Back
Top Bottom