Wazo zuri, lakini unajua kuna malipo JF inakamuliwa?Mie sioni kama ni vyema kuwepo na malipo ya matangazo ndani ya JF.
Wazo zuri, lakini unajua kuna malipo JF inakamuliwa?
Wow! Great, ni jambo jema. Nitaufikisha ujumbe....!Well huyo ambaye anatulipia siku zote tunaomba aendeleze hiyo sadaka yake na sisi tutaendelea kumuombea mungu amzidishie.
Matangazo mimi binafsi siyapendi na siyataki hapa JF. Kuhusu Jf kukamuliwa, Well huyo ambaye anatulipia siku zote tunaomba aendeleze hiyo sadaka yake na sisi tutaendelea kumuombea mungu amzidishie.
Like i said I hate ads. Since I always Put my money where my mouth is, Nimeamua kufadhili JF kimtindo. Sasa Mods ile title ya Premium Member mbona mmeninyima wakati mshiko mmesha kamata?
Please sort this out. I have a transaction ID if you want.
Lastly I would like to introduce you all to the one and only Premium member
Allah's Slave.
Hahahaha!!!...Umeliwa hela yako mfanyikazi wa Mungu!!!
Hapo sasa ndiyo majinaficho yatakapo ezuliwa
Hapa UK magazeti kama The Sun na Daily Mail yanauzwa 40p, kuna mengine ya bure kama the londonpaper na Metro. Bila matangazo haya magazeti yasingeuzwa kwa bei ndogo kama hiyo au kutolewa bure. Hela itakayopatikana kwenye matangazo itachangia kwa kiasi kikubwa kusubsdize gharama za uendeshaji wa JF na kuwapunguzia mzigo watu wachache ambao wamekuwa wakijitolea kuubeba huu mzigo kwa muda mrefu sasa.
Binafsi I believe hili ni suala lisilohitaji mjadala,it has to get started. We cant afford to keep on operating by relying on 'wasamaria wema' only.