Malipo yaanze

Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,229
662
Invisible; Jambo Admin; Moderators; Super Members; JF members.

Nafikiri ni wakati muafaka kukawa na malipo kwenye matangazo madogo madogo i.e. £22.00 kwa tanngazo kwa mwezi kama unalipa kutoka nje na Shillingi 20,000.00 kama unalipa bongo. Mnaonaje?
 
Naunga mkono hoja hiyo.
Kiasi cha malipo kinaweza kujadiliwa kwa kuangalia aina, kusudio au uzito wa tangazo husika.
 
This will not work. Mkisha turn hii section kuwa advertisement section mimi binafsi na watu wengi hawataingia humo. Sasa point ya ku advertise inapotea.
 
Tuangalie umuhimu wa tangazo, kama ni la biashara then linaweza kutolewa ushuru. Lakini kama ni taarifa tu haina haja.
 
Wazo zuri, lakini unajua kuna malipo JF inakamuliwa?

Matangazo mimi binafsi siyapendi na siyataki hapa JF. Kuhusu Jf kukamuliwa, Well huyo ambaye anatulipia siku zote tunaomba aendeleze hiyo sadaka yake na sisi tutaendelea kumuombea mungu amzidishie.
 
Matangazo mimi binafsi siyapendi na siyataki hapa JF. Kuhusu Jf kukamuliwa, Well huyo ambaye anatulipia siku zote tunaomba aendeleze hiyo sadaka yake na sisi tutaendelea kumuombea mungu amzidishie.

Hahaaha, watu wengine bwana, Kwa nini wewe usichukue jukumu la kulipia gharama zote za JF alfu sisi tutakuombea mungu akuzidishie.

Kama matangazo inabidi yawekwe ilituendelee kuitumia JF for free muweke tu. Wasiotaka matangazo wafadhili JF basi.
 
Mimi sijaelewa naomba kueleweshwa; matangazo yanayozungumziwa hapa ni yepi? Yale ambayo watu wanayapost kama thread au ni haya yanayotangaza used japanese vars?
 
Suala la kulipia sioni kama ni baya...jamani tujue ya kwamba hao waendeshaji wanahitaji sembe mezani kwa ajili ya watoto mwisho wa siku.....
Nafikiri hoja ya kuwa ilipiwe au isilipiwe ishapita "ILIPIWE" ila sasa sub hoja ni kuwa itozwe kiasi gani na mporomoko huu wa uchumi katika soko la dunia?
 
Like i said I hate ads. Since I always Put my money where my mouth is, Nimeamua kufadhili JF kimtindo. Sasa Mods ile title ya Premium Member mbona mmeninyima wakati mshiko mmesha kamata?

Please sort this out. I have a transaction ID if you want.

Lastly I would like to introduce you all to the one and only Premium member
Allah's Slave.
 
Hahahaha!!!...Umeliwa hela yako mfanyikazi wa Mungu!!!
 
Hapa UK magazeti kama The Sun na Daily Mail yanauzwa 40p, kuna mengine ya bure kama the londonpaper na Metro. Bila matangazo haya magazeti yasingeuzwa kwa bei ndogo kama hiyo au kutolewa bure. Hela itakayopatikana kwenye matangazo itachangia kwa kiasi kikubwa kusubsdize gharama za uendeshaji wa JF na kuwapunguzia mzigo watu wachache ambao wamekuwa wakijitolea kuubeba huu mzigo kwa muda mrefu sasa.
Binafsi I believe hili ni suala lisilohitaji mjadala,it has to get started. We cant afford to keep on operating by relying on 'wasamaria wema' only.
 
JF members ambao wamenunua au kufanya biashara na makampuni yanayotangaza hapa watuambie wamefanya hivyo mara ngapi na kwa kiasi gani ili na wengine wapate changamoto ya kuweka matangazo.
 
Back
Top Bottom