HOJA Malipo ya Polisi nayo yawe kwa Control Number

HOJA Malipo ya Polisi nayo yawe kwa Control Number

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Habari wakuu
Mapendekezo njia ya malipo Kwa control number ya police,
Ikiwa dawasa na parking unaweza kulipia kidogo kidogo kama una deni la maji au parking kwanini Police pia wasije ma mfumo huo huo kulipia baada kumuandikia dereva fain 30000 aweze kulipia kidogo kidogo inasaidia kulipa kama huna pesa yote.
 
Back
Top Bottom