Malipo ya king'amuzi cha Dstv yanatisha

Its simple logic, a problem means an opportunity to make a business. Naimani siyo pekee yako unayepata shida kama hiyo kwa hiyo ukianzisha kampuni itakayoweza kutoa huduma kwa bei nzuri, you must make money!!
 
Dstv siku hizi kila kukicha wanapandisha gharama ya malipo ya king'amuzi chao, je kampuni hii imeshakuwa ya kifisadi? Kwa sasa malipo yamefikia shilingi 180,000/: kwa mwezi, huu c unyonyaji! Hawaoni kwamba tunawafanyia Kazi wao, ama kweli kaburu ni kaburu hata ukimpaka rangi habadiliki. Wadau nauliza hakuna mamlaka inayoweza kuzibiti unyonyaji huu?. Nawasilisha.

Inategemea na package unayolipia. King'amuzi ni 169,000; Package ziko za USD 45, USD 20 na USD 10. Ile ya USD 10 channels zake nyingi ni za kiswahili. Hizo bei nimeanda kwa dealer wao leo nikaamua kununua cha Startimes kwa TShs 106,000 pamoja na miezi sita. Wingi wa vipindi kwangu si lolote kwani muda mwingi niko kazi watoto shule

Yaah ni kweli kabisa hizi gharama ni za juu sana. labda tuwacheki hawa jamaa wapya wa ZUKU watakuja ni jipya gani labda kuwasheki hata kidogo hawa jamaa washtuke.

Kama nao wanakuja na king'amuzi na dish itakuwa balaa, itabidi vingine viwekwe darini.
 
Hawa jamaa ni wezi na wajenga matabaka wakubwa. Na hapo unaambiwa kuna mamlaka za serikali zinazomlinda mnunuzi/mlaji! Wakati wa GTV hawa Dstv walishika adabu.
 
Hawa jamaa ni wezi na wajenga matabaka wakubwa. Na hapo unaambiwa kuna mamlaka za serikali zinazomlinda mnunuzi/mlaji! Wakati wa GTV hawa Dstv walishika adabu.
Ikumbukwe Gtv siku ikitokea kampuni nyingine hawa Dstv tunawazika kama ttcl.
 
wenzi wamechakachua dstv wanaangalia bure, we unahangaika na kulipia. njoo mjini dar uone watu wanacheki kitu bureeeeeeee! tafuta mbadala wa abu dhabi sprts wao ni cheap mfano hakuna

Mkuu Naomba unipe details Za hawa Abu dhabi sports. Nahitaji kuhamia huko asap.
 
TCRA wanakimbizana na akina Tigo tu. Hawa Dstv hawawagusi kabisa. Kwa nini wamewaachia kutoza malipo yao kwa dollar?
 
TCRA wanakimbizana na akina Tigo tu. Hawa Dstv hawawagusi kabisa. Kwa nini wamewaachia kutoza malipo yao kwa dollar?

TCRA wanaweza kushirikiana na tume ya ushindani kuwabana MultiChoice Tanzania katika viwango vya tozo pekee na sio katika matumizi ya fedha za kigeni katika malipo. Kurekebisha hili Tanzania inahitaji kupitia upya sheria ya fedha za kigeni ya mwaka 1992
 
Dstv siku hizi kila kukicha wanapandisha gharama ya malipo ya king'amuzi chao, je kampuni hii imeshakuwa ya kifisadi? Kwa sasa malipo yamefikia shilingi 180,000/: kwa mwezi, huu c unyonyaji! Hawaoni kwamba tunawafanyia Kazi wao, ama kweli kaburu ni kaburu hata ukimpaka rangi habadiliki. Wadau nauliza hakuna mamlaka inayoweza kuzibiti unyonyaji huu?. Nawasilisha.
watanzania hawajui haki yao mimi nimegoma kulipia takribani miezi mitano sasa juzi juzi walinipigia kwa nini sijalipia, niliwaambia sina hela ya kuchezea na wakakata simu. Naamini kabisa wataeje dstv wakiamua kulazimisha bei ishuke inawezekana kabisa
 
Back
Top Bottom