samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,968
Nisamehe.Umenifananisha. Sijui unazungumza nini.
Nisamehe.Umenifananisha. Sijui unazungumza nini.
Same to wanaume,si wote wapo hivyoHawaja fanya zuri ila. Sio wote wapo hivo..
Duwa la kuku halimpatagi mwewe kaa ukijuaMALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI.
Kuna vitu Vingine tuwe waangalifu jamani huwezi kukaa na mtoto wa watu miaka zaidi ya mitano umemtoa mimba zaidi ya 2 leo kakosea tu kidogo umefura humtaki tena.
Kumbe unataka Kuoa na Ushampata wa kumuoa ulikuwa unamlia timing tu umtafutie sababu na sasa umeipata. Kakuvumilia kipindi upo majalala na alikua anakutoa pesa za nauli anazopewa na wazazi wake kwa ajili ya matumizi yake., umemlaza guest za buku 5, umempeleka kumlaza kwa washikaji umeomba short time room. Hujui kama alikua anavaa ped au tambara. Wewe ulikuwa unawaza uroda tuu. Na alikupa utamu bila kinyongo.
Anyway utamuacha utamuoa huyo uliyempata, lakini jua tu kuna Mungu na Yote haya anayaona. So whatever happen usije ukabaki kusema "Every thing happens for a reason"
Sababu tayari ni hii nenda ukiijua huyu unamuacha hana jinsi atalalama na kulaani tu.
Tuwe Na Roho za Huruma jamani kumbe ndio maana watu wanabreak miezi mi4 tu baada ya ndoa.
kumbe ni kwakuwa behind humu kuna watu hawawaombei mema Unakuta Ndoa inaunguruma Usiku Mchana ni Machafuko tu hakuna ahueni. Kumbe chanzo ni laana za wanadamu wenzako.
Kumbuka na wewe una dada wakifanyiwa hivo utajisikiaje?
Kumbuka utapata watoto wa kike wakifanyiwa hivo itakuwaje?
Mwanamke mpaka kufanya ukatili mara nyingi kuna big reason behind. Japo sio wote kuna wengine ni wakatili tuu kutokana na maisha walio kulia. Ila wengi wao ni kwa ajili ya wanaume.
Wanawake wanathamani kumbuka ndio waliotuweka tumboni miezi 9, wengine wamejifungua kwa operation. Kakunyonyesha leo umekua wa kwanza kuwanyanyasa.
Unatumia lugha kali za nguoni.
MALIPO DUNIANI.
DuuuhDuwa la kuku halimpatagi mwewe kaa ukijua
OkkkkkAlways Karma is a bitch...
ndio ulipizeHawa?wengi wao Hawachelewi kukwambia wewe sio level yake!
Asante kwa kusomaasante tumekusikia mkuu
thred yako is gender biased. irekebishe halafu uirudishe hapaHawaja fanya zuri ila. Sio wote wapo hivo..
Na wewe unataka haki sawa.thred yako is gender biased. irekebishe halafu uirudishe hapa
Wanateseka duniani hawajiulizi kwanini.Malipo ni hapahapa duniani akhera kuhesabiwa... wote wake kwa waume laana nyingine tunajitafutiaga tu za ziada... kwanini umtende mwenzako vibaya???
Faida yako ninini?
Asante kwa maoni yako mazurii.Biblia imeandika , enyi waume, ishini na wake zenu kwa akili, haikukosea hakuna viumbe walu walu kama wanawake yaani kwanza hawana mapenzi ya kweli kabisa , kwani hata leo katika wanawake 100 walio na wapenzi wao utakuta 2 au 3 ndio wapo kwenye uhusiano/ndoa kwa upendo toka moyoni, lakini walio bako wote wapo kwenye uhusiano/ndoa kwa ajili mwanaume anakitu vulani , na hapo hapo anakuwa na mchepuko wake anao upenda anakula naye urodaa,
Kweli kabisa mkuu, katoa mimba zangu mbili japo kwa ushawishi wangu mwisho wa siku mi ndio nimekula kibuti. Hapo wa kulaumiwa nani? Kwanza mimi ndio namlaani kila siku, I had my future in her kaniharibia mipango yangu. Mshenzi sana WinnieHao wanawake unaowaongelea siyo hawa wa leo hawa Mimba wanatoa wenyewe na kibuti wanakupa
Hawataki uwagande
Thats business mkuu!
Hahaha. Sasa umemtoa mimba mbili. Asubiri atolewe ya tatu? Ungeoa sasa mzae...cKweli kabisa mkuu, katoa mimba zangu mbili japo kwa ushawishi wangu mwisho wa siku mi ndio nimekula kibuti. Hapo wa kulaumiwa nani? Kwanza mimi ndio namlaani kila siku, I had my future in her kaniharibia mipango yangu. Mshenzi sana Winnie