Malipo ni hapahapa duniani

Malipo ni hapahapa duniani

Kweli kabisa mkuu, katoa mimba zangu mbili japo kwa ushawishi wangu mwisho wa siku mi ndio nimekula kibuti. Hapo wa kulaumiwa nani? Kwanza mimi ndio namlaani kila siku, I had my future in her kaniharibia mipango yangu. Mshenzi sana Winnie
hahahahahaaaa,mkuu kina winnie si watu wazuri hawa,always ni shake well before use.Umenichekesha kweli eti mimba zako katoa tena kwa ushawishi wako na bado kakupiga kibuti...halafu huo ulemavu wa kizazi ulomuachia anaenda kuhangaika nao mtu mwengn huko mbele ya safari.
Ahsante.
 
Aisee mkuu kwanza hiyo dhambi ya kushawishi na kushiriki kuua katubu mara moja
Ila hapo kwenye kibuti pole sana maana ndo haki sawa kwa wote alimaarufu equal rights zilipotufikisha
Wanawake wa siku hizi watemi kuliko waume zao
Aisee Heshima kwa mzee ana busara sana akitaka kumwambia bi mkubwa tumia akili husema tumia maarifa
 
hahahahahaaaa,mkuu kina winnie si watu wazuri hawa,always ni shake well before use.Umenichekesha kweli eti mimba zako katoa tena kwa ushawishi wako na bado kakupiga kibuti...halafu huo ulemavu wa kizazi ulomuachia anaenda kuhangaika nao mtu mwengn huko mbele ya safari.
Ahsante.
Mkuu Winnie alinizingua, alihisi sitamuoa wakati kiukweli nilitaka nimuoe kabisaaa. Hicho kilema nilishamuambia niko radhi kukibeba mimi mwenyewe. Siku kadhaa baada ya kunipiga kibuti nilimuambia hivyo hivyo, namuonea huruma endapo hatazaa, na ikitokea sijui itakuaje? Angeacha tu mzigo wangu nibebe mwenyewe tu.
 
hao wanawake wataratibu namna hiyo mnaoweza kudumu miaka mitano wanapatikana kijiji gani?!
 
Huwezi kutoa hukumu kwa suala la mapenzi kwa kutumoa mifano michache uliuowahi kushuhudia.Inahitaji kutafiti kwa kina.Hata hivyo mlengo wakovunaashiria kuwa baadhi hiathirika na kujikuta wakifanya malipizi kwa wasio wahusika iwe kwa bahati mbaya au kusudi
HILO si jambo la kuendekezwa hata kidogo.
Pole kama yalikukuta
 
Asante kwa maoniii... yako.
 
Bila shaka mtoa mada ndo yamekukuta haya. Pole mwaya wanaume ni wadanganyifu
 
Back
Top Bottom