Malipo ni hapa hapa duniani

Kuna nyuzi nyingine zinafaa kusomwa ukiwa na stress, maana zimekaa Kifutuhi zaidi kuliko ukweli ulivyo...
 

wait until,"the end of beginning"
 
Wewe unawalaani uzao wako mwenyewe, asikudanganye mtu utakopojaziwa wajukuu wasio na baba na watoto wenye ukimwi utakumbuka tu

kwenye avatar yako naona upo vizuri ngoja niku"pm" tumalizie maongezi huko!!!
 
Hahaha naona umeongea kwa hisia Kali, pole kwa yaliyokukuta......

Ushauri wa bure, ni bora uvuruge vuruge na ufanye kimbunga cha uharibifu ili usije kulia na kupata machungu km hayo uliyonayo kijana.
Mjini mabazazi kibao, shauri yako.
 
Kama wa kwangu yuko mahali anavurugwa basi ngoja na mimi niendelee kuwavuruga hao wa wenzangu...
 
Wakijiweka kuharibiwa wataharibika na wakitulia hakuna wakuwaharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…