Robin Van Mysterio
Senior Member
- Jul 24, 2014
- 102
- 15
hahahahaaaaa hayo usiyahesabu. Mleta mada kaongea kwa uchungu sana aiseee. I wish kila mtu angeona hapa. Labda kwa kuongeza tu kwa vile vibabu vinavyochezea binti wa watu,. Imagine na wewe siku moja unatambua binti yako anafirigiswa na Kijana wa jirani hadi anapiga kelele za msaada utajiskiaje?wapo ambao hawauzimi wanawake lakini hupata ambao wameumizwa.. hao kwa nn wamepata malipo hayo?
hahahahaaaaa hayo usiyahesabu. Mleta mada kaongea kwa uchungu sana aiseee. I wish kila mtu angeona hapa. Labda kwa kuongeza tu kwa vile vibabu vinavyochezea binti wa watu,. Imagine na wewe siku moja unatambua binti yako anafirigiswa na Kijana wa jirani hadi anapiga kelele za msaada utajiskiaje?
Huyo Msichana unayemsumbua leo na Kumchezea leo kama Mdoli Siku moja atakuja kuwa Mke wa Mtu fulani.
Uharibifu unaoufanya kwenye mwili wake kwa kulazimisha Abortions zisizo na idadi, na uharibifu unaoufanya kwenye moyo wake kwa kumchezea chezea na kumuumiza hisia zake na kumfanya awe na hisia kama za Mnara wa Askari ipo siku Mwanaume mwenzako atakuja kumuoa na kuyarithi yote uliyomfanya huyo mdada.
Je Unamjua mke wako wa kesho?
Wakati uko bize kumharibu mke wa mwenzio, Na wewe mke wako wa kesho yuko na jamaa mwingine nae anamharibu sawasawa na uharibifu unaofanya wewe.
Kabla hujaumiza Mdada wa watu Jiulize Utafurahi ukimkuta Mkeo wa kesho nae amefanyiwa Uharibifu kama unaoufanya kwa huyo mdada leo?
Treat a Woman the way you would Love your Future Woman to be treated huko aliko.
Malipo ni hapahapa duniani.
Life is too simple! EITHER YOU BECOME A PREDITOR OR A PREY! No need of being sentimental! It wont change shit! Ukichoka kuwa prey, become a preditor then!
mimi nimewavuruga weee vuruga! vuruga! yaani nimewavuruga vibaya sana! mpaka hawanitamani kuniona unajua kuvuruga yaani nimewavuruga kweli nje ndani juu chini kote nimevuruga!!!
halafu mwisho wa siku nimeoa bikira nimemtoa mwenyewe niambie malipo yangu yakwapi sasa!!!
wapo ambao hawauzimi wanawake lakini hupata ambao wameumizwa.. hao kwa nn wamepata malipo hayo?

DAWA ni kuoa BIKIRA!unaanza kuchezea mwenyewe wengine wanakula makombo
Wakiumizwa mara nyingi wanatia akili!
wapo ambao hawauzimi wanawake lakini hupata ambao wameumizwa.. hao kwa nn wamepata malipo hayo?
mimi nimewavuruga weee vuruga! vuruga! yaani nimewavuruga vibaya sana! mpaka hawanitamani kuniona unajua kuvuruga yaani nimewavuruga kweli nje ndani juu chini kote nimevuruga!!!
halafu mwisho wa siku nimeoa bikira nimemtoa mwenyewe niambie malipo yangu yakwapi sasa!!!
Yawezekana utazaa mtoto wa kike mkuu, Atafanyiwa kama ulivyofanya...