Malipo hapa duniani Moto mkubwa Israel

Malipo hapa duniani Moto mkubwa Israel

⭕️ Mioto mikubwa katika Yerusalemu inaambatana na dhoruba kali ya upepo.

Idhaa ya 14 ya Israel inasema kuwa moto huo ulizuka kwa kitendo cha uchokozi, na sio cha ghafla.

Idhaa ya 13 ya Israel inathibitisha kwamba uvamizi huo ulikamata "washukiwa" 3 kutokana na moto katika mji wa Jerusalem unaokaliwa kwa mabavu. Kikosi cha kuzima moto cha Israeli kinafichua kuwa moto huo ulikula dunam 10,000 za Milima ya Jerusalem.


View: https://x.com/me_observer_/status/1917584443650498741?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hatari
 
Hii ni habari njema sana tu. Karma never forget the adress.
 
BREAKING, Vyombo vya habari vya Kiebrania: Wimbi la moto linahamia Ukingo wa Magharibi. Je, wachomaji moto wa Kiyahudi walichoma moto karibu na makazi ya Al-Humra, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi, ili kuwalaumu Wapalestina? Upepo umefanya mambo kuwa mabaya zaidi.

Moto huo ulizuka katika ardhi nyuma ya ukuta huko Faroun, kusini mwa Tulkarm.

Uongozi wa Kiyahudi umeshindwa kuzuia moto huo na wanategemea Ufaransa, Uhispania na nchi zingine kuuzima.

View: https://x.com/truthtellerftm/status/1917685676008497408?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Yahudi Jeusi la Makete eti limekasirika kusikia mabwana zake wamepata majanga ya moto😂😂

View: https://x.com/marionawfal/status/1917836389179072945?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw


Acha wafe shenzi we. Mimi ni mkush, m Ethiopia , mtoto wa HAMU.
Mtu kutoka MIZRAIM (ardhi ya watu wenye ngozi iliyoungua na jua)
Mimi ni mtitu, mnaijeria.

Hizo kunge kutoka middle east Sina vinasaba navyo hata katika mavazi.

Kwa ASILI Mimi bibi zangu walivaa ngozi wakijifunika sehem za utupu tu na upande wa nyuma walifunika tak moja moja wakaliacha liwe Mali ya jamii Sasa wao wa middle east hujifunika majuba siwafaham kwakweli.


Kongo wanakufantoka nazaliwa hata Leo naskia tu wanakufa hakuna mtu kawahi kushadadia. Hao kenge weupe tondo loveto waendelee kuuwana tu mi nipo paleee.
 
Taifa teule hilo la mashoga hivi yule Mungu wao anaye jibadilisha rangi kama kinyoga 1=3 kashindwa kulitetea taifa lake linawaka moto.

Yule yahudi mwenye majina kama utitiri yuko wapi aje kutuambia vipi mungu wao kachia taifa teule lake liwake moto 😄 🤣

Wakanisani noma sana hawajui Mungu ni Allah peke yake hana mtoto wala habadiliki cha ajabu hata bibilia zao zinawambia Mungu habadiliki na pia hio hio bibilia fake yao inawambia hakuna aliye muona Mungu akaishi au aliye wahi kusikia sauti yake sa wangapi walimuona Yesu na walimsikia afu Yesu anabadilika kama kinyoga wanavyo dai wakristo hahaha



View: https://youtu.be/dz7gw5lh4qs?si=jpTbvFEuytMGl5IY

Taifa teule wanaomba msada Greece. Italy na Croatia 😄 🤣

Yaani moto unawaka Israel uku unashambulia wakristo. Wakati wewe huyo huyo unasema waisrael hawataki wakristo. Mbona unakua kahaba Kama allah aliyeandaa mamalaya 72 kuwagawia Malaya wezake
 
Back
Top Bottom