Hello the prince, umejiridhisha vya kutosha kuhusu wakazi wengi wa mji wa Jerusalem ni kina nani? Unaweza kudhani kwamba Wayahudi wana adhibiwa kumbe story ikawa tofauti. Shauri yako.
Watu wenye misimamo mikali ya kidini humu ambao hua napenda sana kusoma nyuzi zenu, mpo kama 3 hivi, kuna wewe,
Webabu na yule anae letaga habari +ve za Israel, nyie ndio huaga nazisoma sana habari zenu, wengine huaga nazipotezea. Hebu tupitie pitie kidogo historia ya hawa watu, Waarabu, Wayahudi, Washirazi, Waajami, Jordan na hata Lebanon.
Kwa ufupi, hawa watu ni ndugu na ugomvi wao wala sio DINI kama ambavyo ma sheikh wengi wanavyo jaribu kupotosha maamuma wao; Wayahudi waishio Israel, 18% yao ni Waislamu kama ambavyo wapo Wakristo wa Kipalestina as well. Nimesoma uzi 1 wa kaka
Webabu akiwashauri Waarabu waungane na kuiangamiza Israel, nikacheka tu. Nendeni mkafatilie historia vizuri ya mji wa Madina uliopo Saudi Arabia, utashangaa sana kwamba wakazi wa mji ule kwa zaidi ya miaka 1000 iliopita walikua Wayahudi, hawa walikimbia Uyahudini kwenda kuyaponya maisha yao pale, kama ambavyo wengine walikimbilia mataifa ya Ulaya ambao wengi wetu humu tunawa husisha Wapoland. Watu walio msaidia "mtume" Mohammed asiuawe pale kwao Makkah walikua Wayahudi waishio mji wa Madina, now to differentiate between Arabs na Jews is coming to be so difficult; refer lile shambulio la Alqaeda la September 11, 2001; why hakuna Myahudi aliye athirika pale WTC ilihali kulikua na Wayahudi zaidi 2000 waliokua wanafanya kazi kwenye jengo lile? Ndio jambo linalo msumbua sana Iran hadi sasa; kila anacho kipanga kuwahusu Jews, habari zake zinavuja haraka sana kwa Mossaid, anajua kama wapo Wayahudi but how to recognize them? Mtihani uko hapo; wana Sali pamoja msikitini, wapo pamoja Ikulu, jeshini na hata kwenye mipango ya nuclear wapo. Narudia tena kaka
Ritz Umejiridhisha kuhusu idadi ya watu wanao ishi Jerusalem kwa wingi ni kina nani? Sawa sawa na kupiga moto mji wa Dar ukitegemea kuwaadhibu Wazaramo 😃 😀