Malipo hapa duniani Moto mkubwa Israel

Malipo hapa duniani Moto mkubwa Israel

Wanakumbi.

Moto mkubwa wa misitu umezuka katika maeneo mengi ya Israeli.

Israel imeomba rasmi msaada wa kimataifa kutoka mataifa kadhaa kusaidia kuzima moto huo.

Malipo hapa hapa duniani Mungu anawanyesha wanachokifanya Gaza kinatokea Israel.

View: https://x.com/currentreport1/status/1917549123919659251?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Aise hatari nimeona jinsi wanamgambo wa Israel wanavyokimbia ngiri😂

⚡️Israel's Channel 14 correspondent Hillel Biton Rosen:

"A mystery: Dozens of fires have broken out across the country — and not a single one is in an Arab area."
 
Attachments

  • IMG_20250430_195514.jpg
    IMG_20250430_195514.jpg
    60 KB · Views: 11
Wanakumbi.

Moto mkubwa wa misitu umezuka katika maeneo mengi ya Israeli.

Israel imeomba rasmi msaada wa kimataifa kutoka mataifa kadhaa kusaidia kuzima moto huo.

Malipo hapa hapa duniani Mungu anawanyesha wanachokifanya Gaza kinatokea Israel.

View: https://x.com/currentreport1/status/1917549123919659251?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Taifa teule hilo la mashoga hivi yule Mungu wao anaye jibadilisha rangi kama kinyoga 1=3 kashindwa kulitetea taifa lake linawaka moto.

Yule yahudi mwenye majina kama utitiri yuko wapi aje kutuambia vipi mungu wao kachia taifa teule lake liwake moto 😄 🤣

Wakanisani noma sana hawajui Mungu ni Allah peke yake hana mtoto wala habadiliki cha ajabu hata bibilia zao zinawambia Mungu habadiliki na pia hio hio bibilia fake yao inawambia hakuna aliye muona Mungu akaishi au aliye wahi kusikia sauti yake sa wangapi walimuona Yesu na walimsikia afu Yesu anabadilika kama kinyoga wanavyo dai wakristo hahaha

View: https://youtu.be/dz7gw5lh4qs?si=jpTbvFEuytMGl5IY

Taifa teule wanaomba msada Greece. Italy na Croatia 😄 🤣
 
Ajali za moto ni kati ya ajali mbaya sana, hasa kwa nchi na maeneo ambayo ni watunzaji wazuri wa mazingira.

Tanzania tuliwahi kupata ajali ya moto kule Mafinga, ilichukua zaidi ya mwezi kuuzima, ukiwa imeteketza ekari zaidi la laki moja na nusu.

Nchi kama Australia juwa ni wahanga wakubwa wa ajali za moto.

USA pamoja na ukubwa wa tekinolojia yake katika mambo mengi, moto umewasumbua sana mwakajana.
 
Wapelekwa Zima moto ya tz wakapate uzoefu.
 
Taifa teule hilo la mashoga hivi yule Mungu wao anaye jibadilisha rangi kama kinyoga 1=3 kashindwa kulitetea taifa lake linawaka moto.

Yule yahudi mwenye majina kama utitiri yuko wapi aje kutuambia vipi mungu wao kachia taifa teule lake liwake moto 😄 🤣

Wakanisani noma sana hawajui Mungu ni Allah peke yake hana mtoto wala habadiliki cha ajabu hata bibilia zao zinawambia Mungu habadiliki na pia hio hio bibilia fake yao inawambia hakuna aliye muona Mungu akaishi au aliye wahi kusikia sauti yake sa wangapi walimuona Yesu na walimsikia afu Yesu anabadilika kama kinyoga wanavyo dai wakristo hahaha

View: https://youtu.be/dz7gw5lh4qs?si=jpTbvFEuytMGl5IY

Taifa teule wanaomba msada Greece. Italy na Croatia 😄 🤣

View: https://x.com/suppressednws/status/1917569082909503734?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanakumbi.

Moto mkubwa wa misitu umezuka katika maeneo mengi ya Israeli.

Israel imeomba rasmi msaada wa kimataifa kutoka mataifa kadhaa kusaidia kuzima moto huo.

Malipo hapa hapa duniani Mungu anawanyesha wanachokifanya Gaza kinatokea Israel.

View: https://x.com/currentreport1/status/1917549123919659251?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wewe KIBWENGO akili zinakutosha kweli? yaani Gaza wafe watu harafu Israel mchome misitu harafu unaibuka kuwa malipo ni hapa hapa binadamu na mapori kwako sawa sawa?
Ndiyo maana Mahmoud Abbas rais wa mamlaka ya wapalestina aliwaitwa “WANA WA MBWA” kwa ujinga kama huu
 
Umekaataa na kusema Uchaguzi sio huru sawa ujalazimishwa kushiliki waachie wenye kuona upo Huru waendelee na mambo yao!!!!!

lkn tena unatunisha kifua kuwa akutofanyika Uchaguzi adi uwe vile wewe unataka !!!!

Serikali ulitaka ikusaidieje zaidi ya kukutuliza ndani Keko usiwabuguzi wengine wenye nia ya kushiliki Uchaguzi pamoja na mapungufu yake!!!!

Chedema kipo pekee kinakataa Uchaguzi!!!!

Vyama venye nia ya kushiliki Uchaguzi vipo 12+

Haki ipo wapi?????
Akili yako haiko sawa kabisa unauvuruga uzi wa Bwana wako kwa kuleta mambo ya cha dema kwenye Jukwaa la kimataifa ama kweli wewe ni mjinga sana!!
 
Back
Top Bottom