Malipo hapa duniani Moto mkubwa Israel

Malipo hapa duniani Moto mkubwa Israel


MUNGU mkubwa Jehova kakimbia moto kawaacha Mashoga wake waangamie kwann MOTO huu unachoma inch izi mbili MAREKANI NA ISRAEL !!!!!

wauwaji wakubwa wawatu wakiwemo vichanga !!

kuna mtu atasema moto Seem yoyote unatokea !!

lkn niamini huu Moto tofaut kama ule pale MAREKANI mji ulisawazishwa eneo Kubwa kuliko eneo GAZA kwann tusiamini ni uwezo wa Mungu !!!

kwann ni Israel na Marekani MUNGU MKUBWA..
 
toka jana Mvua kubwa inanyesha ile mbaya huko Israel
Ile mvua ya mafuta ya taaa ali tete mkuu. Picha uzianazo bado unafichwa zaid zaid ata Tramp alitwambia pale Marekani picha mzionazo bado mengine mmefichwa!!!

Tuache dhambi na Ujuba. Apana yupo Mungu ktk aya. Sio bule.
 
MUNGU mkubwa Jehova kakimbia moto kawaacha Mashoga wake waangamie kwann MOTO huu unachoma inch izi mbili MAREKANI NA ISRAEL !!!!!

wauwaji wakubwa wawatu wakiwemo vichanga !!

kuna mtu atasema moto Seem yoyote unatokea !!

lkn niamini huu Moto tofaut kama ule pale MAREKANI mji ulisawazishwa eneo Kubwa kuliko eneo GAZA kwann tusiamini ni uwezo wa Mungu !!!

kwann ni Israel na Marekani MUNGU MKUBWA..
Endelea kujitoa ufahamu kwa kutokuona moto uliotokea huko Iran kwenye Bandar Abbas na mjini Tehran huo huwezi kuuona maana umetokea kwa Wafuga Midevu na Majini wenzako.
 
Naomba kujua zaidi kuhusu hili. Hivi kwamfano mimi ambaye tayari ni mzee ambaye nguvu zimeshaisha za kulala na mwanamke. Je huko kwa hao bikra 72 nilioandaliwa ITAKUAJE? au nitapewa spare nyingine
Peponi unakuwa mtu kamili wewe na uvionavyo apa Duniani mfano tu !!!!!

nikiwemo mm naww tendo la ndoa tamu lkn lamuda mfupi sana nalo ni mfano tu !!!

usisaau Wadada kila mwezi wanakuwa ktk ali ngumu Wadada wa uko wanakuwa tofaut na awa Sababu ileile vwanakuwa Wamekamilika awana shida za kila mwezi !!!!

na awa tuwaonao ni Mfano tu !!!

matunda yanakokwa wadudu fundo uchungu yote ni mfano tu uko tuendako ndio kuna matunda. !!!!

Uko uwezi kukosoa chochote kila kitu kimekamilika ,,,,, !!!!

Km Mungu amekupa akili nzuri utagundua maisha ya Dunia ayajakamilika na ya ovyo sana ni mateso aijalishi ww masikini au Tajiri mateso yapo palepale !!!

Sababu iyoiyo kila kitu tuonacho apa Duniani ni mfano,,
 
Endelea kujitoa ufahamu kwa kutokuona moto uliotokea huko Iran kwenye Bandar Abbas na mjini Tehran huo huwezi kuuona maana umetokea kwa Wafuga Midevu na Majini wenzako.
Ule wa Iran umetokana na Ugaidi wa Israel sio kwa isani ya Mungu!!!!!!
 
Moto bado unawaka ww upo Dihinda mapanga utajuaje!!!!!!!
 
Ule wa Iran umetokana na Ugaidi wa Israel sio kwa isani ya Mungu!!!!!!
Na ule wa Israel umetokana na Ugaidi wa waarabu wanaoishi Israel. Angalia ushahidi hapo chini. Lakini ule wa Iran ni unaongea maneno tu bila ushahidi wowote mnaongea uongo uongo tu kujifurahisha
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    11.1 MB
⚡️Vikosi vya Al-Qassam:

Baada ya kurejea kutoka kwenye safu za vita, wapiganaji wetu walithibitisha kutekelezwa kwa operesheni tata kwenye Mtaa wa Al-Tayaran katika kitongoji cha Tal Sultan magharibi mwa jiji la Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza, alasiri ya Ijumaa, Aprili 25, 2025.

Walifanikiwa kuwarubuni askari wa Kizayuni wa kivita ambao walikuwa na magari 4 ya kijeshi ya Humvee na lori la kijeshi "Amulisa" kwenye shambulio lililokuwa limetayarishwa vizuri, wakiwalenga kwa vilipuzi kadhaa vya Shuath na guerilla. Baadaye, wapiganaji kadhaa walisonga mbele kuelekea askari wa adui waliosalia, walipambana nao kwa umbali usio na kitu, na kusababisha vifo na majeraha kati yao.


View: https://x.com/suppressednws/status/1918075317413122239?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanakumbi.

Moto mkubwa wa misitu umezuka katika maeneo mengi ya Israeli.

Israel imeomba rasmi msaada wa kimataifa kutoka mataifa kadhaa kusaidia kuzima moto huo.

Malipo hapa hapa duniani Mungu anawanyesha wanachokifanya Gaza kinatokea Israel.

View: https://x.com/currentreport1/status/1917549123919659251?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Uko nyuma ya update best. Moto ulizuka ndiyo, walioanzisha moto walikamatwa tena wengine kwa video evidence kabisa cheki kwenye internet, jumla ya watu 28 wako mikononi mwa polisi hadi sasa, ni hao hao majirani zao, na wakati wanahangaika kuuzima na kuomba msaada wa kimataifa, mvua ilinyesha. Fire was under control in just a matter of hours. Sasa hapo kaa utafakari mwenyewe.
 
MUNGU huyu anaacha kuwazuia watu kugombana, yeye anawachoma moto eti wazee ivi ungekua wewe ni baba na wanao wanahombana ingeweza kumchoma moto mmoja Kati yao ili kuonyesha maumiv ambayo mwenzie huyapata .. sure ??
Mfano wa kipumbavu aliokuambia mungu anao watoto nani ?
 
We ni mnafiki mkubwa ,,,Uzi zako nyingi za udini
Hapo ndio maana tunasema nyie wakristo mmelelewa kwenye mazingira ya uongo mpk mmeona uwongo ndio kweli kwenu
Uzuri Mimi si mdini kama wewe na sina nafasi ya kujadili na Mwislamu kwa mambo ya kikristo najua hamkawii mkizidiwa kushtaki na kusingizia watu wanalichukia li dini lenu!!
 
Back
Top Bottom