JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Kosa la Kim ni nini? Kwanini atimuliwe? Malinzi ni Mbabaishaji tu kama hatukufika mbali na Tenga tusitegemee kwenda popote na huyu Ndolanga Mpya
Namaanisha Arusha........Oljoro haiko Manyara?
Kwenye ile thread yake nilimuuliza alifuata nini kwa Lowassa na hajajibu mpaka leo.............mbabaishaji tu.......unamuondoa Paulsen na kumpa timu Madadi?
Nimeshtuka sana leo asubuhi, baada ya kusikia taarifa katika kituo cha RFA kipindi cha MATUKIO -michezo kuwa Jamal Malinzi Rais wa TFF atatoa pesa zake mfukoni kufidia malipo ya kukatisha mkataba wa Kocha wa timu ya taifa ndugu Poulsen.
Hapa ndo naanza kuona harufu ya ufisadi hapa na kwa sababuJamal Malinzi yuko humu basi ntamuomba aje kutoa ufafanuzi wa yafuatayo.
- Ukiwa kama Rais wa TFF, Je shirikisho lina mgogoro wa kifedha kiasi kwamba haliwezi kabisa kulipa fidia hiyo?
- Je huoni kwamba unatujemgea wasiwasi kua unajenga mazingira ya kujilipa hapo baadaye, tena zaidi kwa njia zisizo halali?
- Je hii sio njia ya kuwa intimidate viongozi wengine ili waogope kuhoji baadhi ya matumizi yako ya pesa kwa kuwa tu umeanza na visingizio vya kutumia pesa zako Binafsi.
- Je huoni kuwa hii ni conflict of interest?? Kwa nini utumie Pesa yako tena bila kuutangazia uma ni kiasi gani wakati shirikisho lina uwezo wa kulipa pia
- kama kweli una nia hiyo thabiti, kwa nini msiwatangazie wana michezo kiasi halisi unachojitolea wewe mfukoni mwako... na kiasi anachodai Poulsen
Ndugu Jamal Malinzi, kwa watu wanaofanya "critical thinking" hii ni njia mojawapo inayotumiwa ni viongozi kujenga mazingira ya UFISADI hapo baadaye.
Tunakumbuka miaka ta tisini "CCM" iishindwa kuwalipa watumishi wake mikoani kwa takribani miezi sita, mpaka ROSTAM AZIZ alipojitolea pesa zake mfukoni na kuipa CCM ili iwalipe watumishi (nilikua pia CCM wakati huo so najua hili) lakini wote tunajua jinsi gani alijilipa hizo pesa na zaidi. mifano ya namna hii ni mingi sana.
Tupe hoja zako, unajipambanuaje katika hili??la sivyo ni kujenga mazingira ya ufisadi tuuu.
wewe ni mshambenga tu, kwa taarifa yako malinzi anaweza kukipa hivyo vijicent 160m.malinzi ana uwezo kifedha siyo kama unavyofikiria.nenda nyumbani kwake misenyi pale uone nyumbani kwake utadhani upo ulaya.wacha majungu na usimba na uyanga.unapopata nafasi ya kuongoza taasisi husitegemee ikufanyie nini, bali wee jiulize utaifanyia nini hiyo taasisi.yeye kajitolea mwache amlipe huyo kocha na kwa taarifa yako analetwa kocha toka uholanzi ndani ya wiki ijayo.wacha majungu.
Kila cku mi nasema malinzi ni mbabaishaji lkn majitu mabishi,yaani anairudisha TFF ya ndolanga. Mi namshauri akajishughulishe na golf
rudi shule ndugu...............
Yes hapo ndiyo soka letu lilipo kwa TFF kuchagua timu ya Taifa!nimesikia pia TFF ndo imechagua kikosi cha timu ya TAIFA?? seriously???
Sasa aende shule gani, za kata au St. Marian!?rudi shule ndugu...............
Toka lini LOWASSA akawa mdau wa soka? Monduli hata uwanja wa mpira hakuna acha timu.........Arusha hakuna timu kwenye VPL
Wanaopenda samaki sio wote wavuvi na sio wote wana vyombo vya uvuvi na sio wote huenda feri au mwaloni!!!!!! Mkuu hebu unganisha dots leo umekuwaje?????
Ndio maana nakupenda my dada yaani kama sponge na maji unyevu kidogo tu fasta lishafyonza!!!!!!Ha ha ha, umeeleza kwa ufasaha sana
Nimechoka kabisa kuona gharama yake imekuwa obvious kiasi hiki.