Malinzi acha kutudanganya , tena acha.

michezo imevamiwa....mwenyekiti BMT na Rais TFF ni mtu na mdogo wake...maamuzi ya michezo kwa nini yasifanyike KATELELO???
 
Toka lini LOWASSA akawa mdau wa soka? Monduli hata uwanja wa mpira hakuna acha timu.........Arusha hakuna timu kwenye VPL

Hapana mkuu Safari_ni_Safari, rekebisha hapo kwenye red. Ipo OLJORO JKT.
 
Zipo sababu kwa nini alipe kwa less take: yeye ndo ameomba kuvunja mkataba name Paulsen wala TFF. Lambda hoja ingekuwa kwanini ameomba kuvunja mkataba

Unataka kusema TFF sio taasisi? Kwamba Jamal Malinzi anaweza kufanya mabadiliko kwa maslahi yake binafsi?
 
Last edited by a moderator:
Kila cku mi nasema malinzi ni mbabaishaji lkn majitu mabishi,yaani anairudisha TFF ya ndolanga. Mi namshauri akajishughulishe na golf

Anayejishughulisha na Gofu Siyo Jamal Bali Ni Kaka Yake Dioniz wa BMT.
 
Kwenye ile thread yake nilimuuliza alifuata nini kwa Lowassa na hajajibu mpaka leo.............mbabaishaji tu.......unamuondoa Paulsen na kumpa timu Madadi?


Nakumbuka hakujibu chochote hata issue ya ukabila hakutoa ufafanuzi na style yake ya timua timua itaangamiza kabisa soka letu,kiongozi mzuri ni yule anapochukua madaraka anaendeleza strategic plans za mtangulizi wake sasa yeye anapovuruga kila kitu ina maana anataka kutuaminisha kuwa Tenga and his team they were all wrong in everything? Kitu ambacho hakiwezekani, ona sasa anamtimua Kim kisa wachezaji ambao wame prove failure tangu enzi za maximo. Kiukweli wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF wametuingiza mkenge kwa njaa njaa zao
 


ameanza kuwa msanii mapema hv

ama nani amjui malinz

hzo pesa anajua anazirudishaje lakni c wale wa kuree bk

hawa rete soda hawa rete bia hao wape heineken

hapo ni harusn

tff c hatari
 
Last edited by a moderator:


Muda si mrefu utasikia au wadau wanajiita ''Friends of TFF'' kama wale ''Friends of Simba''.

Huku ni kutengeneza mazingira ya wizi tu hapo baadaye. Kim Paulsen ni kocha wa timu ya Taifa ambayo kimsingi ipo chini ya Wizara ya Michezo na Utamaduni ndio maana wanapocheza huwa hawendi na bendera ya TFF, kama ni deni sio majukumu ya Malinzi na hao wadau wake... Hii ni timu ya Taifa.
 
Kuna makabila mawili ukimkuta Muhaya kasoma nani boss ni tabu sanaaaaa atakuwa anafanyakazi zote peke yake, au muha ni tabu sanaaaaaa.....
 
Anatoa hela mfukoni kwani yeye Mbowe??? Haya mambo yana watu wake Mbowe, Rostam n.k

Kwani Hamuwajui Wahaya Watani Zangu? Nyie Pimbi Nini????? Na hapo Bado Mtamkoma Mtani Wangu Huyo Kwa Mikogo na Jeuri Ya Pesa. Wakora Waitu Jamal Malinzi Waonyeshe Kama Sisi Wana Kanda Ya Ziwa Tuna Jeuri na Nyodo Pia Ya Pesa na Tumesoma Pia Kudadadeki........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Isije ikawa ya mbowe kukikopesha chama then alipwe cha juu.
 
Muda si mrefu utasikia au wadau wanajiita ''Friends of TFF'' kama wale ''Friends of Simba''.....

Hao ni watu wa deal tu hapa town. Baada ya hapo TFF itakuwa chini ya kikundi cha watu wachache ambao watafanya watakavyo
 
Zipo sababu kwa nini alipe kwa less take: yeye ndo ameomba kuvunja mkataba name Paulsen wala TFF. Lambda hoja ingekuwa kwanini ameomba kuvunja mkataba

Inavyoonekana uamuzi wa kumtimua Polsen ameufanya yeye binafsi ndio maana imebidi alipe fidia ya kuvunja mkataba.Sasa sijui hizo kamati alizounda na mshauri wake wanafanya kazi gani
 
Malinzi ni hatari sana

Acha Wivu Wa Kike na Mwacheni Mtani Wangu JAMAL MALINZI Afanye Kazi na Namwamini Atatusaidia Sana na Kutupeleka ktk Mafanikio Tunayoyataka. Tuwe Wavumilivu tu Kidogo na Mambo Yatajipa. Wakora Waitu Malinzi na Watani Zangu Wahaya Wote.
 
Anayejishughulisha na Gofu Siyo Jamal Bali Ni Kaka Yake Dioniz wa BMT.

Nasema akajishughulishe na golf sbb kwa kushirikiana na kaka yake dioniz wamejenga viwanja vzr vya golf huko kwao misenyi as family investment, we hukuona ile thread yao ya viwanja vya golf hapa hapa jf last two weeks? Kwahy yupo interested na golf zaidi
 
Kuna makabila mawili ukimkuta Muhaya kasoma nani boss ni tabu sanaaaaa atakuwa anafanyakazi zote peke yake, au muha ni tabu sanaaaaaa.....

Umenichekesha Sana Mkuu Kwani Makabila Yote Hayo Ni Wajomba na Mashangazi Zangu ( Watani ). Mnawaonea Lakini Mbona Hawana Matatizo? Mimi Napatana Nao Sana na Nawapenda Mno Bila Kuwasahau Wanyiramba Akina Tundu Lissu na Warangi Akina Juma Suleiman Nkamia..................!!!!!!!!!!!!!!!
 

Tupo Pamoko Mkuu Na Nimekupata Wakora Waitu Saaaaaaaaaaana..........................!!!!!!!!!!!!!!!
 
  • kama kweli una nia hiyo thabiti, kwa nini msiwatangazie wana michezo kiasi halisi unachojitolea wewe mfukoni mwako... na kiasi anachodai Poulsen
Sina uhakika kama nimekuelewa vizuri lakini nami pia nimemsikia jana jioni (nadhani BBC) akiulizwa swali juu ya gharama za kukatisha mkataba. Alijibu yeye mwenyewe na alisema kuwa huyu kocha ana mkataba na serikali lakini serikali haitawajibika kulipa hizo gharama bali kuna wadau wa michezo walioko tayari kuchangia na kulipa hiyo pesa. Sina uhakika kama naye ni miongoni mwa hao!
Fuatilia vizuri haya maelezo ili tuwekane sawa.

 
Hivi leo ndo kusema yuko bize sana ajaingia Jf kujibu hizi hoja huku,Hoja nzito na zina ukweli dani yake.
 
Ha ha ha, umeeleza kwa ufasaha sana

Nimechoka kabisa kuona gharama yake imekuwa obvious kiasi hiki.

Soka inajumuisha wadau wengi na ni kivutio cha wengi mkuu. Ndoano ni yeye,chambo ni soka na samaki ni wapenda soka!!!!!!

Nani anapenda samaki????!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…