Malimwengu

Malimwengu

faiza ni aibu kwa mtu kama wewe kuuliza nini maana ya dini, kuna mtu anaweza akauliza ukaamua kumjibu kwakuwa anahitaji kufahamu halafu kuna mtu anauliza halafu unabaki na mshangao

Wewe unaesema unajuwa maana ya dini nataka ueleze dini nini?
 
Nikweli najua hasa lakini hiyo ni mada inayojitegemea na kama hutaona uvivu pitia post zangu zihusuzo mambo ya dini kule intelligence na jukwaa dini,! Huwezi kujibu kwa sentensi moja kwakuwa kila jibu litazaa swali
 
Huwezi jibu kwa sentensi kwa sababu simply hujuwi dini ni nini, unataka kuanza kuhororoja na kubwabwaja, swali moja umelipiga chenga mara chungu nzima.

Huna hadhi ya kuongelea kitu ushokijuwa ni nini?

Jibu hapa hata sentensi kumi wacha moja, au nipe link ya ulipoelezea dini ni nini.

Wacha kubwabwaja bila mpango, FF ni wrong number.
 
Hahahahaaa nimekushauri upitie post zangu kwenye majukwaa nilokwambia umefanya hivyo? Simply you didn't!!! being you wrong number can't avoid me to interact with you because am also dealing with lunatics...!! FF
 
Ni bora upige U turn mkuu maana huyu bibi ni mbishi mwanzo mwisho
 
Jee, mnakula nguruwe nae najisi au hamli? swali ni hilo. Au hamli ngamia tu?

mimi vyote sili ni najisi kwangu, hata samaki asiye na magamba kama kambale sili...period!! unafiki wa kula hiki na kukataa kingine kwa sababu ya dini zenu nimewaachia ninyi wafia dini.
 
Kutoa elimu tu kwa hao mnaodandia imani zawatu juu juu ....unaposoma Biblia agano lakale lazima usome na Agano jipya pia. Uelewe kuwa agano jipya limeletwa na Yesu Kristo ambapo waislam mnamuita nabii Issa (ambaye kuzaliwa kwake kumeelezwa katika Qur'an hatua kwa hatua kwamba alizaliwa bila kuwa na baba and still waislamu wa bongo wanamdhihaki). Yesu alikuja kurekebisha mambo ambayo yamekuwa yakiendelea ikiwemo sheria ya Mussa. Ktk agano lakale wanawake walibaguliwa, watu waliuawa kwakupigwa mawe..lakini Yesu alirekebisha, kumbuka story ya Maria Magdalene ktk agano jipya..alitaka kupigwa mawe kwa uzinzi, na Yesu akawaambia asie na dhambi awe wakwanza kumpiga mawe. Kuhusu vyakula aliwaambia usikiite najisi kitu alichokiumba Mola wako, najisi nikile kitu kitokacho mwilini mwako, maneno machafu, ukitapika, nk. Watu tinaishi imani hizi kinafiki ... Kwakujionyesha kwa watu kuwa watu wa dini lakini wanayofanya nyuma yaazia noma. Tujifunze zaidi mission, themes tusing`ang`anie mambo flaniflani tu ambayo tayari yameshatafasiliwa. Unakuta mtu anajionyesha kafunga lakini huku ni mchoyo, anatusi watu hovyo, nk. Kama kweli vitabu vimesema Yesu alizaliwa bila baba na sie wakristo tunaamini kuwa na sifa ya uMungu maana ninani katika dunia hii alishazaliwa bila kuwa na baba? Akafanya miujiza, akafa na akafufuka....tusijidai viziwi tufuatilie issues natusilubumiwe nawachache

Ubarikiwe mtumishi! Tatizo la hao watu viongozi wao wadini ndo wameanza kusoma ckuhizi , wa zamani ninao wafahamu walikiwa juma mosi wanakila viporo vilivyopikwa ijumaa, hawasafishi nyumba wala vyombo, km kuna mifugo hapo itashinda na njaa. Lakin wa cku hz kidogo wameelimika hadi wanapika na mifugo wanalisha naamini ipo siku hata kitimoto wataanza kula. Ni ignorance waliyonayo kwenye biblia, hawana tofauti na mafarisayo waliokariri tolati za musa ndo maana yesu alikuwa anawatoa nishai. Juzi kuna mtu akawa ananiambia eti xmas ni feki kwakuwa mariamu alipata ujauzito mwezi wa sita. Wanasahau kuwa system ya kuhesabu miaka wakati ule ilikuwa tofauti na system baada ya yesu kuzaliwa, yani wanahusisha system ile na hii yetu. Miaka hii tunayotumia sasa hv hadi 2014 ilianza baada ya kristo kuzaliwa. Na zilipita siku 6 ndo kalenda zikaanza kuhesabu 01/01/01 hvyo ukirudi siku 6 nyuma alizaliwa tarehe 25/12 ukitumia system hii tuliyo nayo siyo ile iliyokuwepo mwanzo maana ile ilikuwa tofauti kabisa. Wazungu wanaakiri sn usifikiri ni wajinga km waafrika, hawakurupuki na wanafanya kitu kwa research na sientifc reasons
 
Asante kwa uchambuzi mzuri na makini mangelengele
 
Last edited by a moderator:

we ndo bure kabisaaaaa, sitanii namaanisha mkuu!'
 
Back
Top Bottom