Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
aiss watamgeuza nyoka akianza kutembelea tumbo!!Hakika mkuu naona washakula ya nyuma bado ya mbele ili mwenzao atembelee tumbo
Nilisoma mahali Yesu anasema sikuja kulitangua torati bali kutimiliza! Je alikuwa na maana gani? Kulibadili torati au kuiendeleza au kuiacha kama ilivyosema torati? Maana naona wewe umelenga mstari unaokulinda kwa mambo yako! Je kwa mwanamke huyo kutokupigwa mawe hadi afe Je ameruhusu tuzini kwa vile hakuna ambaye hana dhambi? Kama ni mwelewa mzuri wa biblia saidia kufafanua habari hii! Naomba usipaniki bali tatua tatizo kwa hoja na kwa kuzingatia wewe unampenda mungu na unapenda na wenzako wamjue mungu na kumpenda vilevile!Kutoa elimu tu kwa hao mnaodandia imani zawatu juu juu ....unaposoma Biblia agano lakale lazima usome na Agano jipya pia. Uelewe kuwa agano jipya limeletwa na Yesu Kristo ambapo waislam mnamuita nabii Issa (ambaye kuzaliwa kwake kumeelezwa katika Qur'an hatua kwa hatua kwamba alizaliwa bila kuwa na baba and still waislamu wa bongo wanamdhihaki). Yesu alikuja kurekebisha mambo ambayo yamekuwa yakiendelea ikiwemo sheria ya Mussa. Ktk agano lakale wanawake walibaguliwa, watu waliuawa kwakupigwa mawe..lakini Yesu alirekebisha, kumbuka story ya Maria Magdalene ktk agano jipya..alitaka kupigwa mawe kwa uzinzi, na Yesu akawaambia asie na dhambi awe wakwanza kumpiga mawe. Kuhusu vyakula aliwaambia usikiite najisi kitu alichokiumba Mola wako, najisi nikile kitu kitokacho mwilini mwako, maneno machafu, ukitapika, nk. Watu tinaishi imani hizi kinafiki ... Kwakujionyesha kwa watu kuwa watu wa dini lakini wanayofanya nyuma yaazia noma. Tujifunze zaidi mission, themes tusing`ang`anie mambo flaniflani tu ambayo tayari yameshatafasiliwa. Unakuta mtu anajionyesha kafunga lakini huku ni mchoyo, anatusi watu hovyo, nk. Kama kweli vitabu vimesema Yesu alizaliwa bila baba na sie wakristo tunaamini kuwa na sifa ya uMungu maana ninani katika dunia hii alishazaliwa bila kuwa na baba? Akafanya miujiza, akafa na akafufuka....tusijidai viziwi tufuatilie issues natusilubumiwe nawachache
Inapendeza mno mtu anapokuwa na elimu ya imani zote mbili na kuitumia vizuri kwa manufaa ya wote
Ungeanza kusoma kuanzia mstari 1 ndipo ungejua. Lakini kwa kukusaidia, hasa soma mstari wa nne
WALAWI 11: 3-4
\v 3 Kila mnyama mwenye kwato katika miguu yake, mwenye miguu ya kupasuka kati, mwenye kucheua, katika hayawani, hao ndio mtakaowala. \v 4 Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Sura inayoharamisha nguruwe ndiyo imeharamisha ngamia pia, cha ajabu unajifanya kutoona sehemu inayoharamisha ngamia. Mnafiki mkubwa!!
Soma pia Kumbukumbu la Torati 14:7 ....Lakini, hawa msile katika wale wenye kucheua, na hao waliopasuliwa ukwato; ngamia, na sungura, na kwang'a, kwa kuwa hucheua, lakini hawakupasuliwa kwato, ni najisi kwenu;
Usafi wa ngamia unaomzidi nguruwe kwa mujibu wa maandiko umetoka wapi? au kwa kuwa nguruwe hafugiki jangwani? unafiki ni dhambi mbaya sana kuliko hata uzinzi. Jitahidi uache kuwa mnafiki.

Jee, mnakula nguruwe nae najisi au hamli? swali ni hilo. Au hamli ngamia tu?
Hili ndio neno halisi Mandingo
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 8).
waambieni madaktari wa upasuaji wasiwashonee nyuzi zinazotokana na misuli ya nguruwe zinazoozea tumboni wake zenu wakijifungua...safura haipo tena na ishu iliyosababisha kukataliwa hiyo kitu ni upishi uliokuwa duni enzi za biblia.hookworms walikuwa hawafi na matokeo yake watu walikufa sana na kuwafanya watawala wa enzi hizo kupiga marufuku kuliwa nyama inayotokana na non ruminants...
Mkuu hapa bibi bomba FF hawezi rudi hizi ngumi kali sana!
Waislam mnakula najisi na wakristo tuna kula!Ova!
FaizaFoxy umesoma lakini hujaelimika hii notion ya kusema yule no mkristo huyu ni muislam au kuchukulia chochote kwa mtazamo wa kidini ni brainwashing moja mbaya sanaIngekuwa unawafata Waislam, usingekula nguruwe.
FaizaFoxy umesoma lakini hujaelimika hii notion ya kusema yule no mkristo huyu ni muislam au kuchukulia chochote kwa mtazamo wa kidini ni brainwashing moja mbaya sana
Kwangu mimi ubinadamu ndio kitu muhimu kuliko chochote! Na hata siku moja siweki imani yangu kama kigezo cha kufanya lolote! Hizi takataka na makandokando ya kidini wengi wenu mmeshindwa kabisa kujibandua nayo! Elimu yenu imekuwa tatizo badala ya msaada
Ninazijua kuliko unavyozijua na nina elimu ya kutosha kuhusu masuala ya dini ndio maana hata siku moja siropoki kuhusu masuala yahusuyo dini na imani