Kutoa elimu tu kwa hao mnaodandia imani zawatu juu juu ....unaposoma Biblia agano lakale lazima usome na Agano jipya pia. Uelewe kuwa agano jipya limeletwa na Yesu Kristo ambapo waislam mnamuita nabii Issa (ambaye kuzaliwa kwake kumeelezwa katika Qur'an hatua kwa hatua kwamba alizaliwa bila kuwa na baba and still waislamu wa bongo wanamdhihaki). Yesu alikuja kurekebisha mambo ambayo yamekuwa yakiendelea ikiwemo sheria ya Mussa. Ktk agano lakale wanawake walibaguliwa, watu waliuawa kwakupigwa mawe..lakini Yesu alirekebisha, kumbuka story ya Maria Magdalene ktk agano jipya..alitaka kupigwa mawe kwa uzinzi, na Yesu akawaambia asie na dhambi awe wakwanza kumpiga mawe. Kuhusu vyakula aliwaambia usikiite najisi kitu alichokiumba Mola wako, najisi nikile kitu kitokacho mwilini mwako, maneno machafu, ukitapika, nk. Watu tinaishi imani hizi kinafiki ... Kwakujionyesha kwa watu kuwa watu wa dini lakini wanayofanya nyuma yaazia noma. Tujifunze zaidi mission, themes tusing`ang`anie mambo flaniflani tu ambayo tayari yameshatafasiliwa. Unakuta mtu anajionyesha kafunga lakini huku ni mchoyo, anatusi watu hovyo, nk. Kama kweli vitabu vimesema Yesu alizaliwa bila baba na sie wakristo tunaamini kuwa na sifa ya uMungu maana ninani katika dunia hii alishazaliwa bila kuwa na baba? Akafanya miujiza, akafa na akafufuka....tusijidai viziwi tufuatilie issues natusilubumiwe nawachache