Malima akubali...

Kulinda hadhi ya chama chenu na serikali, jamaa ajiuzulu tu, ni muhuni halafu anudanganya umma kwenye vyombo vya habari,bure kabisa
 
Jamani wateule wa Rais hawafanyi makosa. Tunapoteza muda kuujadili uadilifu wao...zipo habari huyu jamaa aligushi jina na kwenda South Africa kutafuta deal! Nothing has been done about that. Leo an smg kesho ana gruneti. Who knows what is next?
 
yule aliyemwibia walichezanae dili nn mi nashangaa alikodi chumba afu yy akaka sebuleni hadi alfajiri ss chumba amelipia cha nn?

Huyu Malima baada ya ziara yake ya huko Morogoro amekuja na gia ya kutaka kufuta milki ya vitalu vya wananchi wazawa wa sehemu hizo kwa kisisngizio cha kushindwa kulipa ada!! Ukweli ni kwamba huko migodini alikotembelea alihongwa pesa na nadhani ndio zile dola na watu ambao wanataka kumiliki hivyo vitalu alivyovivalia bango kuwa anataka kuvifutia milki. Huu ni ufisadi wa hali ya juu ambao ni lazima wananchi wa huko waukatae na ikibidi waweke mazingira magumu kwa watu wakutoka nje kuweza kuchimba hayo madini!!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom