Mali za Kijerumani

Pia tujihadhar sana na matapeli hii shughuli imeingiliwa na watu wengi waliowabaya wenye nia za kutapeli watu... Nawaomba tuwasiliane kama unamzigo au unaunaemjua kuwa anao na huko Tatar kuja kufanya biashara dar kwa uhakika na usalama kumbuka mizigo ya kijeruman halisi haiwez kutapeliwa wala kuibiwa na haihitaji tamaa wasiliana nami kwa 0716637717. / 0769767771
 
Ni kweli jamaa waliacha hayo madini lakin ni vigumu sana kujua location ya sehemu yalipofichwa mimi binafsi nimebahatika kuwakuta wakiwa katika harakati za kuyatoa na baadaye wakatoa sehem flan mby mwezi wa 8 mwaka huu picha hizo hapo
 
Attachments

  • 1450802616335.jpg
    101.6 KB · Views: 476
  • 1450802629906.jpg
    81.8 KB · Views: 531
  • 1450802669801.jpg
    110.1 KB · Views: 454
  • 1450802781744.jpg
    66.5 KB · Views: 439
kwanini mnaziita MALI ZA WAJERUMANI??......walizitoa wapi?
 
nakubaliana nawe 100 percent mana huk mkoani niliko kuna kanisa ktk wilaya jirani aliacha mjerumani chini limesakafiwa kwa mbao ukikanyaga kwa kishindo mlio unasikia kama chini kuna shimo nlimuuliza mzee mmoja akanijibu kuwa kanisa hilo chini kuna vitu aliweka mkoloni ukiachana na hilo nilishawahi kwenda safar ya kitalii katika kahotel flani kaliko pembeni ya mji porini kanamilikiwa na kanisa flani hiv kubwa sana tulipofika kule kuna nyumba ambayo alijenga mjerumani na pembeni niliona mawe yamejengelezewa mfuniko design kama mfuniko wa choo nilimuuliza mhudumu wa pale yale mawe mbona yapo vile au mmetoboa kuna kitu mmeweka? akasema mi sihelewi sababu yapo hivo toka hii nyumba anaishi mjerumani na hakuna aliewahi kuyavuja na kuangalia kuna nini
 
Inabidi arudi tena ye mwenyewe kuangalia kama kuna kilichosalia
 
Dah kumbe ni vya muhim hivo vitu huku serengeti kijiji cha rung'abure kwenye mlima wa hapa rung'abure hivo vitu vipo sana coz watu walisha jaribu kuvichimba inashindikana mala wakutane gesi inayo babua na kuota mapele makubwa mala maji yana bubujika mala linyoka so watu washa ogopa hata kuvifukua tena
 
asilimia 99 ni stori. hamna ukweli wowote hapa.
 
Ni kweli jamaa waliacha hayo madini lakin ni vigumu sana kujua location ya sehemu yalipofichwa mimi binafsi nimebahatika kuwakuta wakiwa katika harakati za kuyatoa na baadaye wakatoa sehem flan mby mwezi wa 8 mwaka huu picha hizo hapo

yaonekana jamaa walitoa mzigo wa maana so walisafiri nao vp airport?!
 
Poa Nitakutafuta kwa namba yako kwani haya mambo ni ya kweli sana
 
Hii kitu mpaka Leo baba yangu maskin nakumbuka wakati Mdogo aliuza nyumba atukujua alipeleka wap ela
Tumekaa akaja akaiba ela kazi mpaka akafungwa ilabaadae alitoka
Tisa kumi ela ya penshen milioni 64 ata mia atukula zote kajidai anaenda kununua pasi na rupia mpaka Leo ana ata sent na bado anakwambia anatafuta izo Mali tuna mwaka nyumbani atuja muona kamtelekeza bi Mkubwa
Anajidaigi kanipigia sijui nimwazime laki tano kapata rupia na mjibugi baba toka ujana wako mpaka Leo Mzee izi rupia zimekusaidia nn zaidi ya umaskin? Ata mia sikupi
 
Hapa kilwa mkuu kuna rupia zipo kwenye magofu ya waarabu lakini ukichukua hata moja tu huoni mlango wa kutokea nje...anaebisha ani PM niko kilwa nimpeleke maana naona mnabisha sana

nakupa mbinu ya kuchukua nenda na kamba rupia si ina tobo katikati usiinue pitisha kamba kwa kufunga rupia hio alaf iache we toka nje alafu vuta kamba hio. tayari ushapata
enyoy life
 
HAzina ya nini ?
 
nakupa mbinu ya kuchukua nenda na kamba rupia si ina tobo katikati usiinue pitisha kamba kwa kufunga rupia hio alaf iache we toka nje alafu vuta kamba hio. tayari ushapata
enyoy life
Hahaha naogopa mkuu maana hayo mambo yapo kisiwani naeza nikafanikiwa kuyatia lakini nisiweze kuvuka bahar maana majini majini tupu
 
Mwenye FUFUMARK... PASI ...MERCURY NYEKUNDU..NYEUSI AMA NJANO PIA MWENYE KOROFINDO TUWASILIANE TAJIRI YUPO TAFADHALI TUWE SIRIASI PIA MATAPELI NA WASUMBUFU SIWAHITAJI TAFADHAL.. 0716637717......... 0769767771
 
Upo serious au?
 
Ambao hawajafanikiwa ni wengi kuliko walio fanikiwa na hao ndo wanatoa ushuhuda huo na wengine ambao hawajafanikiwa ile rupia imeisha waingia penye damu ndo wanao zidi kuteketeza pesa zao mambo yakisha ingizwa imani za giza mwisho wa siku ni utapeli.
Vijana tufanye kazi huu utajiri wa pupapupa huu tutazeeka tunatafuta mali ya jeremani.
 
Mwenye FUFUMARK... PASI ...MERCURY NYEKUNDU..NYEUSI AMA NJANO PIA MWENYE KOROFINDO TUWASILIANE TAJIRI YUPO TAFADHALI TUWE SIRIASI PIA MATAPELI NA WASUMBUFU SIWAHITAJI TAFADHAL.. 0716637717......... 0769767771
Namba hipi unatumia whatsapp nikutumie picha kwanza uone..
 
nawasihi ndugu zangu msijiingize kwe kazi hii.mtapoteza muda mtaumia na mwisho mnaeza ishia kuwa wachawi.nawasihi nina uzoefu na hili.tafuteni kazi zingine za kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…