Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,307
- 4,595
No sio makosa kuzaliwa Bongo, hivyo kama umezaliwa Bongo na ukaishi Bongo tuu, maisha yako yote hadi ukafia Bongo, then unakuwa umekufa kiheshima ya ki bongo bongo, lakini kama umezaliwa Bongo, ukaiona Bongo kama ni bonge la nchi, siku ulifika Paris, London, New York, Tokyo, etc ndio utajua kumbe bongo ni mashenzini tuu!Ina maana ni makosa kuzaliwa Tanzania?
Washua wa ukweli ambao wamezaliwa familia za kishua, maisha bora, huwezi kuwasikia!, hawa unaowasikia ni ma mburumatata tuu, washua wenyewe wa ukwee, wako very cool, sio tuu utawasikia wapi, bali hata kuwaona, utawaonea wapi?,RIP, japo sikujui na sijawahi kukusikia.
Asante mkuu, hao watu ulionitajia sijawai kumuona hata mmoja ila ni majina nayaona kwenye financial reports za makampuni mengi pale DSE. Na ni kweli hao wote ni madon haswaa. Hapo zaidi ya saba wana net worth over USD 50 million.No sio makosa kuzaliwa Bongo, hivyo kama umezaliwa Bongo na ukaishi Bongo tuu, maisha yako yote hadi ukafia Bongo, then unakuwa umekufa kiheshima ya ki bongo bongo, lakini kama umezaliwa Bongo, ukaiona Bongo kama ni bonge la nchi, siku ulifika Paris, London, New York, Tokyo, etc ndio utajua kumbe bongo ni mashenzini tuu!
Washua wa ukweli amba wamezaliwa familia za kishua, huwezi kuwasikia!, hawa unaowasikia ni mburumatata tuu, washua wenyewe wa ukwee, wako very cool, sio teu utawasikia wapi, bali hata kuwaona, mandinga yao ni tinted full kipupwe!, apartments zao ni penthouse zenye private lift, utawaonea wapi?.
Miano kwenye haya majina 10 ninayokuwekea hapa
1. Patrick Schegg
2. Aunali Rajabali
3. Sajjad Rajabali
4. Hans Macha
5. Ernest Massawe
6. Murtaza Nasser
7. Sayed Kadri
8. Said Bakhresa
9. Arnold B.S Kilewo
10. Harold Temu
Kuna wowote umeisha wahi kuwasikia popote, au watoto wao?
P
Rajabali family ni noma sana.No sio makosa kuzaliwa Bongo, hivyo kama umezaliwa Bongo na ukaishi Bongo tuu, maisha yako yote hadi ukafia Bongo, then unakuwa umekufa kiheshima ya ki bongo bongo, lakini kama umezaliwa Bongo, ukaiona Bongo kama ni bonge la nchi, siku ulifika Paris, London, New York, Tokyo, etc ndio utajua kumbe bongo ni mashenzini tuu!
Washua wa ukweli amba wamezaliwa familia za kishua, huwezi kuwasikia!, hawa unaowasikia ni mburumatata tuu, washua wenyewe wa ukwee, wako very cool, sio teu utawasikia wapi, bali hata kuwaona, mandinga yao ni tinted full kipupwe!, apartments zao ni penthouse zenye private lift, utawaonea wapi?.
Miano kwenye haya majina 10 ninayokuwekea hapa
1. Patrick Schegg
2. Aunali Rajabali
3. Sajjad Rajabali
4. Hans Macha
5. Ernest Massawe
6. Murtaza Nasser
7. Sayed Kadri
8. Said Bakhresa
9. Arnold B.S Kilewo
10. Harold Temu
Kuna wowote umeisha wahi kuwasikia popote, au watoto wao?
P
Sio Yogesh Manek tuu, kuna wengi wameamua kufanya silent divesture ku diversify utajiri wao silently to avoid exposure Exim Towers ipo ,Exim Bank ipo, mashamba ya korosho yapo, etc.Kwenye list hapo simuoni Yogesh Manek
Kabisa mkuu, kweli matajiri wa kweli hawapigi kelele! Kwao pesa ni kama "kifaa cha kazi" na sio fimbo kwa ajili ya kuwachapa wengine!Sio Yogesh Manek tuu, kuna wengi wameamua kufanya silent divesture ku diversify utajiri wao silently to avoid exposure Exim Towers ipo ,Exim Bank ipo, mashamba ya korosho yapo, etc.
P
Hata wanawake matajiri, wako simple, wale waswahili wenzengu na mimi, ma hereni, macheni, mabangili, vipini, vikuku, mapete ya dhahabu hata za kuazima tuu ili kufanya display watu waone!. Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadadaKabisa mkuu, kweli matajiri wa kweli hawapigi kelele! Kwao pesa ni kama "kifaa cha kazi" na sio fimbo kwa ajili ya kuwachapa wengine!
Kabisa mkuu, ngoja niupitie huo uzi nipate madini. Ila kiukweli wanawake matajiri hawapendi kujionesha.Hata wanawake matajiri, wako simple, wale waswahili wenzengu na mimi, ma hereni, macheni, mabangili, vipini, vikuku, mapete ya dhahabu hata za kuazima tuu ili kufanya display watu waone!. Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada
P
Kwa wanawake, hata wale wanaojionyesha sana na kujianika maumbile yao na kuonyeshea mishepu na kujipamba sana, yale mambo mengine inakuwa ni hakuna kitu, halafu wale cool waliotulia, hawajionyeshi, hawajianiki and they behave... hatari!Kabisa mkuu, ngoja niupitie huo uzi nipate madini. Ila kiukweli wanawake matajiri hawapendi kujionesha.
Hoja ya kujionesha na inferiority complex umeiweka vizuri sana kwenye huo uzi. Halafu wanaotaka kujionesha, usipowapa attention huwa wanajisikia vibaya sana. Sijui ni kwanini ipo hivo? Maana vichwani mwao wanadhani wakiwa complicated basi watu watawapenda kwa kuwaona au kusikia taarifa zao.Kwa wanawake, hata wale wanaojionyesha sana na kujianika maumbile yao na kuonyeshea mishepu na kujipamba sana, yale mambo mengine inakuwa ni hakuna kitu, halafu wale cool waliotulia, hawajionyeshi, hawajianiki and they behave... hatari!
P