TANZIA Mali Kimesera afariki dunia Marekani

Mimi ni wale wa longi enzi za Nyerere, tumesoma watoto wa Nyerere, Kawawa, Malecela, Mwinyi, na mawaziri karibu wote, secondari Tambaza darasa moja na mtoto wa Ben, Ilboru high school mtoto wa Warioba, UDSM, LL.B na Riz,
P
Mbona hukuingia sasa kwenye 'system' ukala maisha.

Ungekuta kwa Sasa wewe ni Mh waziri,l au katibu mkuu n.k
 
Ulikuwa wa kishua Sana
Kwani babake Mali alikuwa Nani mkuu naona umesema alisoma international school of Tanganyika.
Maana Ile shule siku hizi hakuna mbwa yoyote anabweka pale watu wanajifanya na feza tu
Mzee Kimesera alikuwa tajiri mmoja wa Kimasai kichwa sana, alipata scholarship kusoma ulaya, akaja na mke mzungu kama Sarungi, Mbilinyi, Sepetu, Malocho, na wengine, enzi hizo utajiri unapimwa kwa Mercedes-Benz, zaidi ya Benz ya Nyerere, kuna Katikaza, Bakuname, Lupembe, Mwakitwage, Rugwe na Kimesera walikuwa na Benz, Lord Rajpar akaingiza Benz kali kuliko ya Nyerere, aliozea jela kwa tuhuma za uhujumu uchumi.

P
 
Ujamaa wa Nyerere ulituharibia hii nchi.
 
Mimi ni wale wa longi enzi za Nyerere, tumesoma watoto wa Nyerere, Kawawa, Malecela, Mwinyi, na mawaziri karibu wote, secondari Tambaza darasa moja na mtoto wa Ben, Ilboru high school mtoto wa Warioba, UDSM, LL.B na Riz,
P
Paskali kuna mtoto mmoja wa Marehemu Mzee George Mbowe akiitwa Appolo yuko World Bank senior economist unamjua ?
 

Wanasema mji ulikuwa mdogo, viwanja vingi, watu walewale siyo kama sasa jiji kubwa watu hawafahamiani
 
Lord Rajpar yake nakumbuka ililetwa na ndege. Pascal Mayalla unakumbuka zile nyumba zake zilizotaifishwa na Nyerere na kupewa Polisi opposite na Tanesco Kijitonyama ? Nyerere angefufuka leo akaona miamba aki na Dura, angezimia. Kaazi kweli kweli
 
Kumbe kama taifa bado tupo vizuri, ukimuweka Manju wa muziki Mzee Masoud Masoud, Pascal Mayala, na Dudu baya unapata bonge ya archive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…