Malengo Yako Ya 2026 ni yapi?

NJe ya mada kidogo Joanah huyo uliyemuweka dp ni nan
 
Mimi ni mdau wa afya mwandamizii senior... of course naitwa dokta kwenye jamii inayo nizunguka..

Mimi ni kijana wa makamo..raia mwema.. binafsi Nina Roho ya kiume..napiga Tungi...na pesa ya kutumia Nina ka IST chakavu nasema yote haya sababu ya September 2025

Nili ingia labour kushuhudia mke wangu akijifungua nili sema na huwaa namwambia mpaka sasa watoto wawili wanatosha....Sito mpa MIMBA tena maana huu ujauzito ni nusu kifo

Mke wangu black beauty ila watoto woteeeeeee ni weupee kama Mimi na wamefanana na mimi wotee kila kitu wakiume na kike
 
Ahahahahahah hatareee natoa uzi soon...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅
Nyie kupendwa na wamama raha sana
 
Inaweza kuwa hivyo kweli, nikisema tu inakuwa ngumu sana kutekelezeka kuna muda nawaza au labda nlieshare nae kuna namna anafanya? Usiri ni muhimu sana
Ni kama vile ukiwa na kinyongo ukiongea unatua mzigo hata malengo ni hivyohivyo, usiongee ili kiwe moyoni malengo yako yakusumbue kuyatekeleza
 
Stroke imeponea muhimbili?
 
2025 ilikua mwiba hata kwangu especially kiuchumi. 2026 naona kabisa utakua mwaka wa shangwee Inshaalah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…